Maisha yetu huwa na thamani pale tunapoona uwezo wetu wa kutatua changamoto ni mkubwa. Maisha yetu hukosa thamani pale tunapojihisi hatuna kile kinachoweza kuongeza thamani katika maisha yetu.
Uwezo wa kutatua changamoto katika maisha hujengwa ili kutoa matokeo kusudiwa. Leo katika Story of...
Leo hii Report ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali 2019/2020 imewasilishwa Bungeni. Kinachoshika headline kwa sasa ni juu ya ubadhirifu/ufisadi, pamoja na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.
Tukiangazia kwa mapana, tutagundua kuwa hata report za ukaguzi kwa miaka ya nyuma zimekuwa zikifunua...
Mitandao ya kijamii imekuwa ni sehemu ya kufahamiana na watu, kubadilishana mawazo, kupashana habari, kuuza bidhaa nk.
Linapokuja suala la mwanaume kuomba kuonana na mwanadada, kumekuwa na hii sijui nini maana'ke. Unaomba kuonana na mwanadada, mdada anauliza "kunionaje". Swali langu ni hili...
Kumekuwepo na nadharia (conspiracy theories) kuhusu namba kwenye Muda (Mwezi, Siku na Saa) kubeba siri nyingi za matukio mbalimbali yanayotokea dunia. Matukio yanaweza kuwa ni vifo nk.
Je, ni kweli kuna siri katika namba au fikra zetu tu katika kujenga taswira kuhusu matukio? Lissu...
Siku kadhaa zilizopita niliibiwa simu yangu, na nilichofanya ni kufata taratibu zote za kipolisi kama kufungua kesi. Kwa sasa file la kesi liko kwa mpelelezi na akanambia atakachofanya ni kuandika barua kwenda kwenye mitandao (Tigo, voda, nk), halafu wao watarudisha majibu kwamba IMEI ya simu...
Used laptop inauzwa, imetumika miezi michache na ina tatizo kwenye kioo. Kioo kilipata hitilafu, kitu cha ncha kali kiligonga. Napatikana Dar, mawasiliano WhatsApp
Laptop yangu ina tatizo kwenye display, sijajua nini hasa kimesabisha maana jamaa yangu niliyempa anadai kuna kitu chenye ncha kiligonga display. Mwanzo nilihisi ni crack kutokana na alivyodai, lakini naona siyo crack baada ya kuikagua.
Sijajua ndani ya display ni nini, maana kama wino...
Juzi nilikwenda kwa fundi wa nguo kuchukua nguo zangu nilizompa kunishonea...
Wakatika nasubiri zoezi zima la kunishonea likamilike, tukawa tunapiga soga moja mbili tatu. Akagusia jambo ambalo limefanya niandike uzi huu, ili kujiridhisha zaidi "curiosity" kuwa hii imekaaje.
Akanieleza kuhusu...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, simu yangu "S7 edge" imedondoka na kioo cha mbele kime_crack. Naomba kufahamu kwa Dar wapi kuna mafundi wazuri wakufanya replacement. Natanguliza shukrani.
Pia kuna video hiyo nimeona YouTube ikanivutia...
URL]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.