Search results

  1. MWAISEMBA CR

    Je, ulinzi shirikishi ni biashara haramu?

    ✳️JE ULINZI SHIRIKISHI NI BIASHARA HARAMU!? 🔜JE, NI NANI MWAJIRI WA HAWA POLISI JAMII, NA JE WAPO KISHERIA NA MAFUNZO YAO WAMEYATOA WAPI!? 🔜KWANINI WANANCHI TULIPIE ULINZI SHIRIKISHI WAKATI TUNALIPA KODI!? 🔜NA IKIWA TUNALIPIA, JE POLISI JAMII WATAWAJIBIKA KUTULIPA FIDIA IKIWA WAMESHINDWA...
  2. MWAISEMBA CR

    Raisi Samia sio mfalme na sio mungu wa kuombwa kufanya kila kitu katika nchi yetu

    ✳️RAISI WA NCHI SAMIA SULUHU HASSAN SIO MFALME NA SIO MUNGU WA KUOMBWA KUFANYA KILA KITU KATIKA NCHI YETU‼️ 🔵Na:Shujaa©️®️Ⓜ️ Ni kawaida katika jamii zetu za kiafrika kusikia wananchi wakikimbilia kwa maraisi wao kueleza shida, kuomba misaada kutoka kwao, kuwaomba wawafanyie maendeleo haya...
  3. MWAISEMBA CR

    Tatizo la nchi ya Tanzania ni kukosa katiba mpya

    ✳️NAOMBA NISAIDIENI KUMWAMBIA MAMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, TATIZO LA NCHI HII NI NINI❓ 🔵Na:Shujaa Charles Richard Mwaisemba(©️®️Ⓜ️) Kama ningelipata nafasi ya kukutana na Rais wangu Samia Suluhu Hassan, ningelimwambia ajue hasa Tatizo la nchi hii ya Tanzania ni Nini? Ila nafasi hiyo sina na...
  4. MWAISEMBA CR

    Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu katiba mpya (sehemu ya pili)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBA MPYA (SEHEMU YA PILI) Mwendelezo......... 🔵 KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️) Tabata,Dar,Tanzania stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KATIBA MPYA Mama...
  5. MWAISEMBA CR

    Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Katiba Mpya (Sehemu ya kwanza)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN (SEHEMU YA KWANZA) 🔵KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️ Tabata,Dar es salaaam stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA Shikamoo mama,Pole na majukumu mazito...
  6. MWAISEMBA CR

    Katika hili la tozo, Sioni hatia yoyote juu Rais wetu, Samia Suluhu Hassan

    Ni ukweli usiopingika hali ya maisha ya watu yamebadilika na imezidi kuwa mbaya zaidi, hali ya uchumi imeporoka sana wala hakuna pa kupumulia, na ni kweli vitu vimepanda bei kuliko mwanzo na Zaidi ya yote wananchi tumetwishwa Msalaba mkubwa wa Kulipia kodi kila huduma tunayoifanya hasa katika...
  7. MWAISEMBA CR

    #COVID19 Ni ujinga na ukosefu wa maarifa unawasumbua waafrika na watanzania kuhusu chanjo ya COVID-19

    NI UJINGA TU NA UKOSEFU WA MAARIFA NDIO UNAWASUMBUA WAAFRIKA NA WATANZANIA KUHUSU CHANJO YA COVID 19 Na: Shujaa Ujue kinachofanya Africa kuwa bara maskini tofauti na mengine ya wazungu na Tanzania kuwa miongoni mwa Nchi maskini duniani pamoja na utajiri na rasilimali nyingi walizo nazo Sio...
  8. MWAISEMBA CR

    #COVID19 Hoja za Askofu Gwajima kuhusu chanjo ya Corona hazina mashiko, isipokuwa zina agenda nyingine nyuma yake

    ✳️HOJA ZA ASKOFU GWAJIMA KUHUSU CHANJO YA CORONA HAZINA MASHIKO(ZINA MAPUNGUFU MENGI), ISIPOKUWA ZINA AGENDA NYINGINE NYUMA YAKE 🔵Na:Shujaa©️®️Ⓜ️ Leo nimeona mjadala mkubwa unao-trend kwenye mitandao yote ya kijamii kuhusu hoja za Askofu Gwajima kuhusu CHANJO YA CORONA ambayo akishauri...
  9. MWAISEMBA CR

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ana Nini? Mbona kuna hofu Kubwa ameileta kwa watawala na wananchi?

    ✳️HUYU TUNDU LISSU ANA NINI KWANI ? MBONA KAMA KUNA HOFU KUBWA AMEILETA KWA WATAWALA NA WANANCHI ? 🔵Na: Shujaa Charles Richard Mwaisemba ( ©️®️ M ) Ni muda mrefu sana ulipita karibu miaka mitatu hivi tangu September 7, 2017, mhe Tundu Lissu apigwe risasi na kuwa kwenye hatari ya kifo, lakini...
  10. MWAISEMBA CR

    Lipi ni hitaji kuu la Watanzania kwa Rais wanatemtaka 2020? Je ni Tundu Lissu au Magufuli?

    ✳LIPI NI HITAJI KUU LA WATANZANIA KWA RAIS WANAYEMTAKA 2020? JE NI TUNDU LISSU AU MAGUFULI❓ 🔵Na: Shujaa Charles Richard Mwaisemba( ©️®️M ) Kwanza nilazima tukubaliane na tuheshimiane kuwa kila mtu anamitizamo yake, matamanio yake na itikadi zake juu ya yule anayetamani awe Rais wake .Yale...
  11. MWAISEMBA CR

    Uchaguzi 2020 Ujumbe wa wazi kwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu

    ✳UJUMBE WA WAZI KWA MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHADEMA, TUNDU LISSU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU🆕 🔵From : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️ M ) stmwaisembac@gmail.com 0712-054498/0759-420202 Kwanza kabisa nianze kwa kukupongeza sana sana niliposikia kuwa umefanya ibada ya shukurani Agosti...
  12. MWAISEMBA CR

    Siri iliyofichika nyuma ya Sumaye na Lowassa kurudi tena CCM

    🆕SIRI KIJASUSI ILIYOFICHIKA NYUMA YA SUMAYE NA LOWASA KURUDI TENA CCM 🔵Na: Shujaa Charles Richard Mwaisemba (CRM) Watu wengi kwa kutokuelewa kilichopo nyuma haya hayo yote wanaweza kutoa sababu zao ambazo kwa juu juu zinaakisi ukweli kutokana na hali ya nchi inavyoendeshwa sasa kutokana na...
  13. MWAISEMBA CR

    Kauli za kipuuzi za viongozi wa kisiasa dhidi ya vyombo vya dini zinapaswa zipingwe vikali

    KAULI ZA KIPUUZI ZA VIONGOZI WA KISIASA DHIDI YA VYOMBO ZA DINI ZINAPASWA ZIPINGWE VIKALI Na: Shujaa Charles Richard Mwaisemba (CRM) Kwa muda mrefu sasa imeanza kuzoeleka na kuonekana ni desturi kwa viongozi wa kisiasa hasa hawa Ma-DC na RC(Wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa) kutoa...
  14. MWAISEMBA CR

    Askofu Kakobe awaonya mitume na manabii juu ya huduma ya maombezi

    BREAKING NEWS: ASKOFU KAKOBE AWAONYA HAWA MITUME NA MANABII KUACHA KUJENGA KANISA KWA MSINGI WA MAOMBEZI Na mwandishi :Shujaa Charles Richard Mwaisemba (CRM) Mapema katika ibada ya Jumapili iliyopita ya tarehe 7/10/2018 katika...
  15. MWAISEMBA CR

    Je, mradi wa umeme wa msongo kv 132 wa sh bil 34 umepitezwa kwasababu ya ujenzi wa flyover?

    NAOMBA KUULIZA KUHUSU UMEME WA MSONGO WA KV 132 ULIOKUWA UMEPITISHWA PALE UBONGO TO MAKUMBUSHO? Nilikuwa Nimeambiwa Ule mradi wa Umeme wa Msongo wa KV 132 uliokuwa unaanzia Ubungo to makumbusho Unafanya Kazi na unaendelea kupitisha umeme kama kawaida, ambao ulianzishwa na Serikali ya Jakaya...
  16. MWAISEMBA CR

    Jubilee ya miaka 70 ya taifa la Israel na ufunguzi wa ubalozi wa Marekani katika jiji la Yerusalem

    ✳UHUSIANO WA JUBILEE YA MIAKA 70 YA ISRAEL NA KURUDI KWA YESU KULINYAKUA KANISA✳ *Na: Shujaa Charles Mwaisemba* _▶SHEREHE YA MIAKA 70(JUBEILEE) YA TAIFA LA ISRAEL_ _▶UFUNGUZI WA UBALOZI WA MAREKANI HUKO JERUSALEM_ _▶MAANDAMANO YA WAPALESTINA...
  17. MWAISEMBA CR

    Yah: Kukata rufaa juu ya uamuzi wa chaso ARU kunifukuza uanachama

    YAH: KUKATA RUFAA JUU YA UAMUZI WA CHASO ARU KUNIFUKUZA UANACHAMA Kichwa cha barua hapo juu chahusika. Mimi naitwa Simon Rogasian Chrispini mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu ARDHI nasoma shahada ya mipango miji na viji. Nakata rufaa hii Kwa sababu ya uamuzi uliofanywa na Kamati Tendaji ya...
  18. MWAISEMBA CR

    Bora nisipige kura,chaguo langu ni dr. Slaa,Lowassa pandikizi wa CCM

    BORA NISIPIGE KURA,CHAGUO LANGU NI DR SLAA,LOWASSA PANDIKIZI WA CCM Kumetokea Umati pia wa watu ambao wamepanga kutokupiga kura kabisa eti kwa kuwa DR SLAA ndie alikuwa chaguo lao na kuona LOWASSA ni Pandikizi la ccm ndani ya UKAWA.Ingawa bado wanaichukia CCM hivyo wameamua Sio tu kuhama UKAWA...
  19. MWAISEMBA CR

    Mungu kamwe hawachagulii wanadamu kiongozi

    Hivyo katika kipindi hichi cha uchaguzi wa Rais,wabunge na madiwani,hatunabudi kufanya mambo yafuatayo ili kuweza Kumpata kiongozi bora tunayemtaka:- 1)Katika daftari la kupiga kura,Serikali wanatakiwa watoe elimu ya uraia wananchi wajue umuhumu wa kupiga kura na ni haki yao kikatiba 2)Tume...
  20. MWAISEMBA CR

    Je dr slaa na lipumba kweli walikuwa wana uchungu na nchi au wananchi?

    JE DR SLAA NA LIPUMBA KWELI WALIKUWA WANA UCHUNGU NA NCHI AU WANANCHI? Kama kweli wana uchungu kwanini waondoke na wakate tamaa na kuachana kabisa kujihusisha na mambo ya kisiasa yanayowahusu wananchi wao kwa makosa au unafki wanaouona wamefanyiwa na Vyama vyao? Shujaa huwa hakati...
Back
Top Bottom