Search results

  1. promiseme

    Shemeji kumlinda mdogo wa mke wake wa kike inaelewekaje?

    Huyu Shemeji Baraaaaaaaa... sio Balaa.........
  2. promiseme

    Wanawake na dhana ya "we can just be friends

    Mbona mnaweza kua juast friends na mkasaidiana,mpe mwenzio she is your friend...
  3. promiseme

    Kuwa na mwanaume wa aina hii kwenye mahusiano ni raha sana

    Nikisema Smart simanishi wa mavazi... MKUU
  4. promiseme

    Kuwa na mwanaume wa aina hii kwenye mahusiano ni raha sana

    Mie napenda mume smart lakini sio wa aina hiyo apo juu hapo ni too much,ukimpata wa aina hiyo akili yako itahamia kwake utakua huna Uhuru wakufukiria vitu na kunipa fursa na mimi nifanye, huyo apo juu hata nyumba anaweza kujenga mwenye kama anafanya yote hao,sijui nimapenzi au ubahili au sijui...
  5. promiseme

    Boyfrend: Amekuaga anaenda kusoma, baada ya miaka 3 ndipo muoane?

    Mie mambo ya kufungana apana aende akinikuta sawa hakunikuta haikua rizki yake miaka mitatu halafu mwenzio akija anaanza kukukwepa mara unasikia oooh nimeambiwa na Baba Chambuli wewe ulikua hutulii kila mara unashushwa na gari usiku na yule mtoto wa kigogo mara oooooh wazazi wamenichagulia...
  6. promiseme

    Maamuzi yake yanashangaza, anakataa kuolewa mke wa pili

    Ivi mkuu ni bora akatae yaishe au akubali halafu yamkute ya kumkuta au awatie aibu ya kufumaniwa na mwanamme mwengine na wewe uletewe kesi ya aibu kama hiyo ukiwa kama sijui ndio kaka kama unavyosema? hakuna asie penda pesa wala maisha mazuri na huenda mdogo wako anakataa kwa sababu maalum...
  7. promiseme

    Wakina Dada usiumize kichwa, sio kila mwanaume anacheat kwasababu

    KULA 5 ths boss umenigusa ndiko..............
  8. promiseme

    Ananiamsha saa 10 alfajiri niwahi daladala nisichelewe kazini,kumbe huku nyuma!Daa

    Bwana weye unataka kutia watu dhambi sasa,ivi kweli hujuinini chakufanya kweli mpaka ukahakikisha au huyo alokwambia hawezi kukusaidia mbinu kama anakupenda kweli.... Angalia sana sio kila unaloambiwa ni kweli,chakufanya huyo alokwambia mwambie atakua kwenye nafasi nzuri SANAAAAAAAAA...
  9. promiseme

    Ana mchumba, lakini amepata ujauzito wa mwanaume mwingine

    Ivi kweli wewe ni mwanamke? hujawahi kusoma au kuona japo kwa majirani wasio kua na watoto? huisi ukimsihi asitoe mimba huenda akakuelewa na utakua ume save maisha ya huyo kiumbe? una miaka mingapi? nisijekua naongea na chekechea..........
  10. promiseme

    Hata week haijaisha toka kumzika mumewe anafanya mapenzi sasa hivi

    Sidhani kama ni kazi yako kupekura ya watu,ikuume wewe ndugu wa marehemu? nnahakika unayako kibao yanahitaji ufumbuzi,sasa baada ya kupoteza mda na kuchelewa kufanya yako achana na habari za watu..kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe...........
  11. promiseme

    Mke yamemshinda, anataka mke mwenza

    Sasa huyo rafiki yako anataka kuumiza watu vichwa labda hivi labda vile? asikushughulishe sababau anaijua mwambie akiwa tayari anataka mshenga ndio uende au nenda kamulize mkewe eti kweli umesema mumeo aoe mke wa pili? as long as muhusika yupo kwanini ujipe tabu yakufikia unatia nakutoa na jibu...
  12. promiseme

    Nini cha kujifunza kwenye mgogoro wa ndoa ya Flora Mbasha?

    Kuna watu wana moyo jamani,Mbasha kama amerudi sijui nimueleweje..... yani ingekua mimi ningemsamehe lakini ndio basi kila mtu awe na lake yani huyo mwanamke ni balaaa.............
  13. promiseme

    Mapenzi ya house girl

    mmmmmmmmmmmmmm langu jicho mkono na shavu langu.........
  14. promiseme

    Mama na kaka yangu hawamtaki shemeji (mke wa kaka yangu)

    Kama Shemeji yako ameamua kuondoka hata umwambie nini hatakuelewa sasa chakufanya mwache aamue ,anajua yeye dhiki na raha anazozopata...
  15. promiseme

    Nanyimwa penzi na mke wangu

    Mkuu huyu mke/mchumba hii tabia ni mpya au tangu zamani ya nipe nikupe? manake mie nahisi nikama vile anakuuziaaa, Jengine jaribu sana kutafakari kwenye kuchagua mwanamke /mwanamme atakae kua mzazi mwenzio kwani yeye ndio atakua mlezi wawatoto wako sasa kama Mama akiwa na tabia ya sikupi nanihii...
  16. promiseme

    Tangu nimekuwa na huyu mwanaume sina amani katika maisha yangu

    Ukisema mapenzi ya kulazimisha unamanisha wewe ndio umelazimisha kupendwa au yeye anakulazimisha kukupenda? sikia shosti mapenzi hayalazimishwi na kama kweli unakereka na tabia zake am sure ungesha ji SORT zamani sanaaaaa Ebu sema kweli kilichokupeleka kwa mlevi nikitugani? au unataka kusema...
Back
Top Bottom