Search results

  1. A

    Augustino Lyatonga MREMA, Namvulia Kofia

    . Mtoa maada. Tunakushuru sana. umeonyesha uzalendo kwa kumkumbuka huyu mzee wetu.Hii maada imenigusa sana.Ubarikiwe ndugu. Afande samwel
  2. A

    Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

    Mkuu,Mallaba. Hiyo Barua ingeandikwa na Mbowe au Dr Slaa, JF yote ingeshangilia.Kwa sababu ni Makamba wa ccm basi ni crap.Shame
  3. A

    Members walioadimika

    . Mkuu Masaiti, Mimi nipo. Nimeamua kukaa kimya na kuwaachia watu kama akina Kail. Ambaye kutokana na ufinyu wa mawazo yake,basi kila mtu anayechangia na ni tofauti na mawazo yake basi huyo ni afande samwel. Tunawalaumu viongozi wa nchi yetu na wakati hapa jf kuna watu close minded na negative...
  4. A

    Vita ya ufisadi CCM, nani kuchukua jukumu?

    . kupigana na ufisdi sio bungeni peke yake.Kama tatizo ilikuwa sio njaa zao,basi waonyeshe kwenye wizara walizopewa
  5. A

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    . Kizuri zaidi ni Harrison Mwakyembe kupewa unaibu waziri.Sasa sijui atatwambia nini tena kuhusu ukwamishaji wa maendeleo wilayani kyela.Baado tatizo litakuwa ni mkuu wa mkoa wa mbeya?
  6. A

    Elections 2010 Kutumia nguvu (violence) kwenye siasa kunaruhusiwa

    . Mkuu 3D, 1.Tunashukuru kwa post yako. Nafikiri tukichapana kidogo,itapunguza madudu yote haya.vita ni vibaya sana, lakini ufundisha. 2.Walianza kufanyiana wenyewe ccm kwenye kura zao za maoni na watu tuliandika,lakini JF mkayapuuza.Ata reseachers waliokuja hapa kyela,nao waliandika,lakini...
  7. A

    Elections 2010 TAKUKURU yamkamata Magreth Sitta Tabora; Aachiwa kwa dhamana

    Na wasimwachie. Hawa ndiyo mafisadi wakubwa.
  8. A

    Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

    Mbona anavyeti vingi sana.Anaelimu ya kuunga nini?
  9. A

    Elections 2010 TAKUKURU yamkamata Magreth Sitta Tabora; Aachiwa kwa dhamana

    . Jamani, Hapo ndipo mnapotuchanganya sasa. Taarifa inasema amekamatwa akitaka kutoa rushwa.Sasa kelele zote hizo za nini?.Si kuna mahakama na atakwenda kujitetea huko?Ushabiki gani huu wa kutotumia akili.
  10. A

    Elections 2010 Exclussive: RO and TISS are intefering with CCM's Primaries

    . 3.Kuna kundi lingine la wanaojiita vinara wa kupigana na ufisadi.Nalo linamtandao wao ambapo wamejipanga kuhakikisha wanarudi bungeni, wakifadhaliwa na mfadhali wao wakila siku.
  11. A

    Mahojiano ya Dr. Mwakyembe juu ya Madai ya Lowassa...

    Sasa Maswali uliyomuuliza Dr Mwakyembe, mbona hakuna utofauti na Mwaswali aliyoulizwa Lowassa na TBC. Unauliza mswali na wakati majibu unayo? au ni kampeni? shame!
  12. A

    Elections 2010 Anne Kilango: Wanataka kuniua

    Huu ndiyo upumbavu mkubwa.Kila anayejitokeza kugombea, katumwa na mafisadi?So stupid. wasomi kuwa na idea ya kijinga namna hiyo.Watu watashindwa kutumia demokrasia yao,eti wametumwa na mafisadi. Kama yeye hana kesi, sasa anaogopa nini?.
  13. A

    Gaza Humanitarian Ships Leave Cyprus, attacked by Israeli Commandos

    Huu unaitwa upumbavu. Kuna njia nyingi,lakini sio kuua raia. Hiyo lecture yako ni mbuzi na ni mambo ya kizamani na ushamba mkubwa sana kufurahia mauaji.Ni u pumbavu!
  14. A

    Gaza Humanitarian Ships Leave Cyprus, attacked by Israeli Commandos

    mimi ninafikiri ni upumbavu mkubwa sana kuunga mkono mauaji kama haya.tuache ushabiki, lakini huo ni upumbavu kuua raia wema kwa namna hiyo.na sema ni upumbavu ku support kitu hiki.ni upumbavu
  15. A

    Madudu mengine ya Kikwete haya hapa

    Huyu Kubenea naye ameishiwa. Anatafutatafuta tu majungu ya kuandika.
  16. A

    Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kyela afariki dunia

    Kazi ya mungu haina makosa,mungu aiweke roho ya marahemu mahali pema pepon.Amen
  17. A

    Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

    Huu ndiyo ujinga ambao tuwahi kujadili huko nyumba. Mtu ku-join jana inamaanisha alikuwa hasomi post za jf?. Badala ya kuuda hoja na tujadili,mtu anaanza kuangalia mtu ali join lini?.
  18. A

    Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

    . Nakupa 100% mkuu abunwasi
Back
Top Bottom