Search results

  1. Bugududu Sududu

    Whatsapp account yangu imeibiwa Kuna mtu mwingine ambaye anaitumia

    Habarini wanajukwaa Samahani, ninaomba msaada kwa mwenye kujua, maana hii account inaonekana inawatumia watu sms za kazi ambayo malipo yake kwa siku ni 50,000 kitu ambacho si kweli ni utapeli. Samahani mwenye kujua jinsi ya kuondosha hili jambo anisaidie tafadhali
  2. Bugududu Sududu

    Ngano imepanda bei, bia inatengenezwa kwa ngano je nayo imepanda?

    Habarini wakuu Kama tunavyo sikia kwenye vyombo vya Habari kuwa vita vinavyoendelea RUSSIA na UKRAINE vimepelekea mfumko wa bei, Afrika ipo mbali nao hao wanaopigana cha ajabu inasemekana madhara ya vita yameishafika hadi huku ukiliguru, ninacho Jiuliza kama ni mafuta na gesi ya Russia...
  3. Bugududu Sududu

    Tunahitaji taa za Barabara ya Makongoro kuelekea Airport Mwanza

    Habarini wana jamvi, Ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa mwanza,mkurugenzi wa jiji pamoja na uongozi wote wa mkoa,Tatueni kero hii ya ukosekanaji wa mataa katika barabara ya makongoro kuelekea Airport awali kabla ya upanuzi barabara hii ilikuwa na taa baadhi ya sehemu. Serikali ilipoa amua kuifanyia...
  4. Bugududu Sududu

    Kozi ya Assistant Laboratory kutoka VETA

    Habari wakuu, Samahani mie ni kijana mpambanaji mwenzenu Sasa kulingana na ukosefu wa ajira niliamua kwenda kunitafuta fursa upande mwingine nikaachana na kuisubiria ajira kwa kile nilichosomea. Nikaamua kuingia Geita kwa wachimbaji wadogo Sasa huku katika kuchenjua dhahabu Kuna kitu kinaitwa...
  5. Bugududu Sududu

    Kapumzike Prof. Assad,ni bora kuhudumia kuku wako kuliko watu

    Niwazi yawezekana profesa umeumia ila sisi tulio nje ya uwanja yawezekana tumeumia zaidi,Ni sawa na mchezo wa mpira sie mashabiki ndio huwa tunaumia zaidi kuliko hata wachezaji. Hakuna kocha mkini anayeweza kumuweka benchi mchezaji wake machachali ambaye kila mechi anafunga goli, kocha...
  6. Bugududu Sududu

    Binaadamu wanaliwa kama kitoweo

    Habari zenu, Mimi ni mfugaji nafuga kuku leo asubuhi kuna kuku wangu nimemvumilia kwa siku 5 kutokana na ugonjwa wake nikidhani angepona maana ana vifaranga vya wiki moja ila kadri muda ulivyokuwa unazidi kwenda ndio hali yake inazidi kuwa mbaya.mwisho nimeamua nimchinje baada ya kumvumilia kwa...
  7. Bugududu Sududu

    NIDA toeni elimu jinsi ya kupata vitambulisho vya uraia. Imefikia hatua ya kuhusisha malipo

    Habarini wana wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Katika mchakato wa kufuatilia vitambulisho vya uraia kwa wale ambao hatukupata fursa ya kujiandikisha mwanzoni mwa huu mchakato kiukweli kwa hivi sasa tumekua tunakumbana na kadhia ya cheti cha kuzaliwa cha mzazi mmoja. Sasa kuna wengine...
  8. Bugududu Sududu

    Hivi ulijisikiaje siku uliyoanzisha uzi kisha ukapuuzwa kama huu wangu

    Habarin wana ndugu, Hakika inauma sana pale unapo anzisha uzi afu watu wanaupita kwa kuupuuza kama huu wangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Bugududu Sududu

    Una miaka mingapi haujaimba wimbo wa taifa

    Leo nikiwa katika harakati zangu, Ghafla katokea mtoto mwanafunzi wa shule ya msingi, Nadhan ndio yupo darasa la kwanza. Wakati wanacheza akaanza kuimba wimbo wa TAIFA. kanikumbusha mbali nina mingi sijaimba huu wimbo mara ya mwisho kuimba nilikuwa darasa la 6. Nawe sema ukweli mara ya mwisho...
  10. Bugududu Sududu

    TRA kwa hili sijawaelewa mwenye ujuzi anisaidie

    Habari zenu wakuu, Mi nimeshindwa kuielewa hii kodi, Huu mwezi wa 11 nimefanikiwa kuanzisha biashara yangu sasa nimefuatilia kila kitu na kwa levo yangu kodi nikaambiwa ni 150000 ambayo unaweza kuigawa mara 4, Sasa ilipofika wakati wa kukadiriwa kodi naambiwa nilipe yote laki na nusu ambayo ni...
  11. Bugududu Sududu

    Jnsi ya kukuza utalii kwa kutumia ndege zetu

    Habari wana JF kuna jambo nilikuwa ninaliwaza kuhusu sekta ya utalii maana ili kupata watalii wengi watakao tembelea vivutio vyetu na kuvitangaza. Ilisemekana kuwa wakati wa safari ndan ya ndege yetu kubwa Dreamliner kuna video za mizik ya bongo flava zitakuwa zinapigwa katika kipindi cha...
  12. Bugududu Sududu

    Mwenye uelewa atujuze kuhusu matumizi ya ving'amuzi au tochi za barabarani

    Habarini wanajukwaa Kuna jambo nimelioona leo asubuhi standi ya mabasi kiukweli nimeshindwa kulielewa, nimeona niliwasilishe humu ili mamlaka husika au yoyote mwenye uelewa atujuze kuhusu matumizi ya ving'amuzi au tochi za barabarani. Moja ya masharti na matumizi ya hizo tochi ni askari...
  13. Bugududu Sududu

    Mtoa dawa anahitajika (ADDO)

    Habari wana jukwaa,kama kichwa habari kinavyo jieleza anahitajika mtoa dawa aliyepitia mafunzo ya utoaji wa dawa katika duka la dawa muhimu, mwenye uhitaji tafadhali ani pm kwa mawasiliano zaidi,Asanteni kwa kuchagua JF
  14. Bugududu Sududu

    HIVI MADAKTARI WAMEENDA LIKIZO??

    Habari zenu wana jukwaa.kama inavyofahamika JF DOCTOR ni moja ya majukwaa ambayo watu wengi wenye matatizo ya kiafya uwasilisha matatizo yao wakitaraji kupata msaada wa ushauri pamoja na maelekezo lakini kwa hivi karibuni hali imekuwa tofauti, watu wamekuwa wakipost matatizo yao bila kupata...
  15. Bugududu Sududu

    NAOMBENI MSAADA NINATATIZO SUGU LA NGOZI

    Habari wa jf, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nina tatizo la ngozi ambalo nimedumu nalo kwa muda wa miaka 6 mpaka hivi sasa, nilitokewa na vipele ndani ya tabaka la ngozi ya juu vipele hivi vikiwa katika hatua za mwanzo ukivifinya vinatoa maji maji yenye asili ya mafuta ila...
  16. Bugududu Sududu

    Ushauri kwa wahitimu was vyuo

    Habari zenu watanzania wenzangu na vijana wenzangu.Ninaomba niwapatie ushauri kwenu mliohitimu na kwa wale ambao bado wapo vyuoni.Fanya haya mambo matatu ili kujiongezea thamani kwenye soko la ajira hakika utakuwa na wigo mpana wa kujiajiri au kuajiriwa (1)Hakikisha unajifunza lugha ya...
  17. Bugududu Sududu

    Tafadhali anae fahamu kuhusu EDMARK

    Habari zenu waungwana,Siku ya jana nikiwa na rafiki yangu kwenye matembezi alinishawishi tukaudhurie semina katika moja ya makampuni ya kusambaza dawa kama jinsi alivyo nieleza,cha ajabu mafunzo yaliyokuwa yanaendelea kwenye semina hiyo hayanatofauti na baadhi ya mada ambazo nimeziona hapa JF...
  18. Bugududu Sududu

    Msaada juu ya ugonjwa huu ngozi

    Habari zenu wakuu,samahani mi ninasumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa ngozi takribani miaka 4,nimekuwa nikitokewa na vipele ambavyo huanza vikiwa vidogo na laini ukiviminya vinatoa majimaji mfano wa mafuta kadri vinavyokuwa huwa vigumu ukiviminya vinatoka vitu vyeupe katika mfano kama itokavyo...
  19. Bugududu Sududu

    Hivi karibuni idadi ya watu wanaosoma itapungua na kizazi cha wajinga kitapoanza

    Mafanikio ya elimu ya Tanzania yameanza kuonekana katika miaka ya 2000,hapo ndipo watu walipoanza kuamini mafanikio katika elimu leo 2017 takribani miaka 17 ni muda mchache tu hali imebadilika.Leo watu wameanza kupoteza matumaini ya mafanikio kupitia elimu,utasikia mtoto anasema"kusoma hakuna...
  20. Bugududu Sududu

    Hivi Dar es salaam ni nchi?

    Siku hizi kumezuka kasumba kwa wakazi wengi waishio Dar es salaam kutumia neno MKOANI kwa kila kitu ambacho si cha Dar es salaam utasikia wanaume wa mikoani, wanawake wa mikoani, tabia za mikoani, shule za mikoani, mapenzi ya mikoani, na kila kilicho kibaya mikoani, kisichopendeza mikoani...
Back
Top Bottom