Search results

  1. Loner

    Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

    @ PakaJimmy Akiwa Bagamoyo!!! Kuna usalama kweli? Huko si wzoefu wa vipapai wako??
  2. Loner

    Werawera Arusha-Wing! safari ya kufunga mwaka hii hapa!

    Mlio kua mnanitafuta haya nimekuja.... Sema msikike...
  3. Loner

    Amazing Race in our beloved Country

    hii ni mara ya pili tena wamekuja Tanzania. na ni coverage nzuri sana kwa nchi yetu. tena kuna episode mbili ambazo shooting yake ilifanyika TZ.
  4. Loner

    Come join us for the 2nd Annual Safari Marathon, on 18th September, Arusha

    mwaka huu ni tarehe 9 mwezi wa tisa. karibu sana.
  5. Loner

    Come join us for the 2nd Annual Safari Marathon, on 18th September, Arusha

    Hamna chakusema ni jinsi ilivyo...
  6. Loner

    Come join us for the 2nd Annual Safari Marathon, on 18th September, Arusha

    Ni muda wakufanyiya kazi hilo kifurushi chako.. Kinaweza kupungua na kwa saizi ya kipotable... Siri ya urembo ni kukimbia kidogo na kutembea muda mrefu zaidi...
  7. Loner

    Come join us for the 2nd Annual Safari Marathon, on 18th September, Arusha

    Tena ulivyo na mwili kama mbulu lazima upate nafasi ya kwanzzaaaaa.... Karibu sana...
  8. Loner

    Come join us for the 2nd Annual Safari Marathon, on 18th September, Arusha

    Tunayo mbiyo za watu wenye vitambi ni ile 5 km... Inatakiwa kuwa fun day nyingine kwa wana JF Arusha Wing...
  9. Loner

    Come join us for the 2nd Annual Safari Marathon, on 18th September, Arusha

    Wana JF Arusha mpo!!! Mbona kimya?
  10. Loner

    Come join us for the 2nd Annual Safari Marathon, on 18th September, Arusha

    Vipi wana JF Arusha Hq mna timu tiyari??
  11. Loner

    Come join us for the 2nd Annual Safari Marathon, on 18th September, Arusha

    kwa kujisajili pigeni namba 0685250061 ama tutembele www.safarimarathon.com
  12. Loner

    I lost My Only Brother I have

    Pole Sana kaka, Mungu akupe nguvu katika muda huu mgumu.
  13. Loner

    Daladala za Arusha zagoma

    Wakigoma wiki hivi naweza ni pendeza na labda kuwa kiportable... Lakini kuna watu wananipenda na unene wangu hivi hivi...
  14. Loner

    Daladala za Arusha zagoma

    Unajua kuisha aga ni noma kuridi tena... Nita endelea na zoezi langu lakutembea kutoka Nduruma mpaka mjini...
  15. Loner

    JF Arusha; Beyond keyboards......!!!!

    Mimi nilikua na swali kwa Sahara Voice ivi Jumamosi unajua nilifikaje nyumbani?
  16. Loner

    Daladala za Arusha zagoma

    Ni poa tu nimepata kisingizio cha kufanya mazoezi leo asubuhi nahisi wakiendelea wiki hivi nitakua fiti mbaya...
  17. Loner

    JF Arusha; Beyond keyboards......!!!!

    Nipo hapa..
  18. Loner

    JF Arusha; Beyond keyboards......!!!!

    Sina ninaye mtaraji... Poa ni ta jaribu kuwa karibu na wewe zaidi..
  19. Loner

    JF Arusha; Beyond keyboards......!!!!

    Karibu sana Arusha, na hii baridi inayoko lazina utafute attachement yaku couple nayo.
  20. Loner

    JF Arusha; Beyond keyboards......!!!!

    NIlifika salama lakini Sahara voice ushauri ulio kuwa unawapa kondoo wako umenitisha sana, na ndiyo maana nika konclude wewe unagia nyingi..
Back
Top Bottom