Search results

  1. K

    Tigo 5G inapatikana wapi?

    Hii 5G ya tigo inashika wapi na wapi mbona sie tunaoshinda city centre na masaki hatuioni au geresha? Fanyeni kweli kama ya voda mpaka buza inashika
  2. K

    Naomba kujua ni Engine oil yenye grade gani inafaa kwenye Toyota harrier

    Habari wakuu! Naomba kujua ni Engine oil yenye grade gani inafaa kwenye Toyota harrier ya mwaka 2003 Engine 2AZ-FE 2400cc inayotumia petrol na inatumika hapa dar es salaam,maana nimeona mkanganyiko sana wengine wanasema 10W40 wengine 5W30 wengine 20W50, tupe muongozo wako kitaalam...
  3. K

    Gari gani ina injini bora kati ya Townace na Liteace Truck

    Wakuu habari ya muda huu! Naomba msaada wa kujuzwa Engine gani ni nzuri kwenye hizi Gari Townace au Liteace truck maana nimeona kuna engine nyingi sana kama 2Y,3Y,2C,4K,5K na 7K carburated na 7K enjection.Natanguliza shukrani
  4. K

    KARIBUNI LADY HANDBAG(Mikoba ya kike)

    Habari wadau! Tunauza lady handbag(mikoba ya kike) jumla na rejareja tunapatikana Tabata-kinyerezi dar es salaam Bei zetu ni nafuu sana Contact-0712504655
  5. K

    LOCATION ZA KUPIGA PICHA ZA HARUSI DSM

    Wakuu habari Naomba kujuzwa location nzuri za kupiga picha za harusi kwa hapa dsm,ikiwezekana na price zake
  6. K

    Nissan civilian inahitajika

    Wakuu habari! Naitaji gari aina ya nissan civilian iwe engine ya six na pia iwe ndefu namba C au D.Budget yangu ni 15M kama unayo njoo pm tuongee
  7. K

    Ushauri wako ni muhimu sana

    Habari wana mmu! nimekuwa kwenye mahusiani na binti mmoja takribani miaka 3 tulianza mahusiano kipindi tukiwa chuo kiukweli tulipendana sana na kupeana support ya kimaisha kwani familia zetu zina uwezo wa kati,baada ya kumaliza chuo mwenzangu alipata kibarua lakini pia nilikuwa namsupport kwa...
  8. K

    SMS RECOVERY APPLICATION

    wakuu habari zenu naombeni msaada naitaji kupata application inayoweza nisaidia kirecovery sms zilifutika kwenye android device ambayo ni samsung galaxy note 4
  9. K

    Kwa milioni 10, ninaweza kupata kiwanja maeneo ya Kigamboni?

    Wakuu habari nina 10M nataka kiwanja maeneo ya kigamboni. Atleast sqm 800 Maji na umeme visiwe mbali sana.Kiwe kipo tambalale.
  10. K

    Kiwanja kinauzwa Kiluvya

    Wakuu habari nauza. kiwanja kipo kiluvya kwa komba kina ukubwa wa Mita 40 kwa 23 Maji na umeme vipo. Kipo kwenye ramani ya kijiji . Bei 8M Negotiable Mimi ni mmiliki halali wa kiwanja na sio dalali. Karibuni
  11. K

    Kiwanja kinahitajika kati ya Goba au Kigamboni

    Wakuu, Habari ya muda huu,naitaji kiwanja at least square meter 1000 kati ya haya maeneo mawili Goba au Kigamboni(isizidi 10 km) kutoka ferry. NB: Naitaji Goba sio Tegeta A
  12. K

    Samsung galaxy s3 for sale

    Nauza simu samsung galaxy S3 black used with fully accesories. Price 330,000/= Nipo dsm,pm for business BASIC SPECIFICATION OS- Android 4.3 jelly bean Display-4.8" super Amoled CPU-Quad-core 1.4 GHZ cortex-A9 Primary camera 8M Secondary camera 1.9M
  13. K

    Is it possible,samsung galaxy Note 4 for 500,000

    Wakuu habari, naomba kujua hivi samsung galaxy note 4 kwa 500,000 inawezekana? Nimemkuta mkenya kwenye kupatana anauza hiyo bei.nataka kununua je ni kweli au utapeli.
  14. K

    Kwa 4m kiwanja

    Wakuu habari! Naomba kujuzwa kwa 4M naweza pata kiwanja maeneo ya Goba?
  15. K

    Kwa milioni 4 Naweza kupata kiwanja?

    Wakuu habari! Kwa 4M naweza kupata kiwanja maeneo ya Goba
  16. K

    Gari aina ya Terios kid

    Wakuu habari, naomba kujuzwa juu ya hii gari kabla kufanya maamuzi
  17. K

    Toyota IST Vs Terios Kid (Daihatus)

    Wakuu naombeni ushauri kati ya hizi gari mbili ipi ni bora zaidi kwa kuzingatia ulaji wa mafuta, spare parts na nguvu.
  18. K

    Cancer ya kizazi kwa wanawake

    Wadau habari ya muda huu,naitaji kujua huu ugonjwa kwa undani kwa yeyote anayefahamu chochote kuhusu huu ugonjwa anijuze maana kinakopita nasikia kafa au anaugua cancer ya kizazi Brief on it ikiwemo dalili,visababishI,prevention na tiba pia. Karibuni tujuzane!!!!
  19. K

    Kiluvya vs Chanika

    Wakuu habari ya muda huu, naombeni ushauri juu ya haya maeneo.nimepata viwanja viwili pande zote mbili vipo sawa kwa vipimo yani 30*40 na bei kote ni 6m cha kiluvya kipo kwa komba na chanika kipo mji mpya (kibaoni) naombeni ushauri wapi ni bora ukiangalia kuwa na maendeleo ya haraka.Natanguliza...
  20. K

    Samsung galaxy s2 (gt-i9100) inauzwa

    Wakuu habari nauza simu tajwa hapo juu kwa sh.290,000/.Nipo dsm, ni pm tufanye biashara.
Back
Top Bottom