Search results

  1. nkosikazi

    Swali la Ugomvi: Kwani Wenzetu Hawa Walisomea Nini? - Part 1

    Siyo lazima uonekane umeandika hata kama huna facts zozote. Mleta mada kaja na hoja nzito na nyeti kwa mstakabali wa maendeleo ya taifa letu lakini wewe unakuja na ngonjera za Tanesco hugawiwa hela na serikali! Tanesco hawauzi umeme? Una uhakika kuwa bunge hupitisha bajeti ya Tanesco?
  2. nkosikazi

    Hujuma ya kutosha TANESCO, Naibu Waziri Mkuu Biteko acharuka, avunja bodi

    Katika mashirika ya umma ambayo ni ya ovyo sidhani kama kuna shirika bovu kuliko hili! Sisi kwetu Handeni hatuna umeme siku ya 3 sasa!
  3. nkosikazi

    Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa

    Matatizo ya kukatika ovyo kwa umeme yako pale pale! Actually kwa mwezi wa February ndiyo hali inazidi kuwa mbaya zaidi. Umeme tunajua ulimuwepo siku zote bali miundombinu na infrastructure nzima ya usambazaji has collapsed. Ndiyo maana walianza kusema tatizo ni ukame, mvua zikinyesha tutapata...
  4. nkosikazi

    Hivi ndivyo viongozi wa CCM wanavyoandaa watoto wao kuja kulinda mali zilizochumwa kifisadi

    Hivi ulitegemea mtoto wa mwanasiasa afanye shughuli gani? Huwa tunawasifu watoto wa wakulima kama Magufuli na Mwigulu kuweza kupigana hadi kufikia level ya juu kisiasa na kiungozi na kielimu. Sasa ulitegemea watoto wao wafanye ninj zaidi ya kuwaiga wazazi wao? Tunasikitika sana kama mtoto wa...
  5. nkosikazi

    Rais Samia unaamini mtu kama Mchechu anastahili kuwa msajili wa Hazina?

    Wewe unaweza nini zaidi ya majungu na analysis ya darasa la saba? Elimu yako ni ndogo sana kuweza kuongelea uwezo wa kina Mchechu. Unaamini wewe ndiyo mjmjuaji kuliko serikali iliyomuamini ikitumia vyombo vyake vyote vya vetting?
  6. nkosikazi

    Tanesco waliingia mikataba mingapi na Waarabu? Makamba na Maharage jitokezeni mtueleze

    Tatizo mnakazana kutunga maneno na hadithi wakati wenzenu wanapiga kazi na pesa wanayo. Wivu haukusaidii kitu. Huongezi pesa kwenye maisha yako kwa kupoteza muda kuwatungia majungu waliokuzidi. Aliyepewa kapewa. Fanya kazi, kijana. Don't waste your time. Ukizeeka ukiwa maskini utatisha sana
  7. nkosikazi

    Mbona Tunapiga Sana Kelele Kuhusu Sukari?!.Hii ni Bidhaa Muhimu au ni Starehe Tuu!.

    Ilboru ilikuwa tamu sana. Hanang. Rungwe. Oldonyo. Hahaaaa
  8. nkosikazi

    Dr. Slaa: Serikali ya Magufuli inaelekea kubaya, adai kunasa nyaraka

    Umeongea mawazo yangu haswa! Magufuli lazima akae vizuri na hawa watu. Wao wana uwezo wa kuamua kuwa Kenya usifanye biashara na Tanzania otherwise tutakublacklist na ikawa hivo kweli. Tukubali ukweli kuwa hatuna uwezo wa kujitegemea. Tuwatumie vizuri ili tuweze kupiga hatua. Cuba iko pua na...
  9. nkosikazi

    The English of President Magufuli of Tanzania

    Wewe mwenyewe hujui kabisa kiingereza. Kwani kuna kitu kunaitwa "The English of Magufuli?" . Swala ni content
  10. nkosikazi

    Umoja wa Waangalizi wa ndani wa uchaguzi(Cemot) wakataa kushiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar

    Ina maana wanakubali kuusimamia uchaguzi ujao alimradi wapewe hela. Serikali izitafute
  11. nkosikazi

    Tulichojifunza kutoka kwa watu wa Vietnam

    Hakuna mahali popote pale ambapo Barafu kazungumzia mchakato mzima wa jinsi huyo rais wa Vietnam alivyoishia kuja Tanzania. Maudhui ya bandiko lake ni sisi Watanzania tunajifunza nini kutoka kwa Wavietnam ambao huko nyuma walikuja kwetu kujifunza juu ya kilimo bora cha korosho na sasa wametupita...
  12. nkosikazi

    Tulichojifunza kutoka kwa watu wa Vietnam

    Bar Barafu kaja na ujumbe mzito sana wenye kutafakurisha. Wewe huu ndio mchango wako? Seriously?
  13. nkosikazi

    Tigo ni wezi sana

    Pamoja na kwamba Tigo ndio mtandao aghali kuliko yote Tanzania (nina sim cards za mitandao yote) na pia ukilipia bundle zao muda wanauiba. Ukilipia 50 minutes wanakukata 20 minutes na wanakwambia muda umeisha. Hayo hawafanyi mara moja, bali mara chungu nzima.
  14. nkosikazi

    UDA: Hatujafilisika na hatuna dalili za kufilisika

    U UDA ni private company na haiwajibiki kutoa mahesabu yake kwenu public. So hii yote msemayo ni majungu tu. Hesabu za Air Tanzania ambalo ni shirika la umma, unazijua?
  15. nkosikazi

    New Dar Master Plan to render millions homeless

    Tutakuwaje na masterplan ya jiji inayodumu miaka 20 tu? So kila baada ya miaka 20 tunaibadili na kuiboresha? We cant be serious! Wenzetu wanazo plan za miaka 100 sisi tunaongelea 20? Mungu atusaidie sana
  16. nkosikazi

    Busara itumike ziara za kushitukiza sekta binafsi

    Umeongea vizuri sana sana tena bila emotions! Mtu anahangaika kivyake kwa jasho na damu yake, leo serikali inataka kumshusha wakati haikumpa msaada wowote alipokuwa anapigana. Ni mbaya sana sana.
  17. nkosikazi

    Jipu Jingine TPA: Thousands of containers, vehicles dodged wharfage

    ICD haiwezi kuwa na dosari yoyote, bali wafanyakazi wa TPA wanaofanya kazi kwenye hizo ICD.Mbona hamuelewi jambo jepesi hivi? Shuleni mlielewa kitu kweli? Pathetic!
  18. nkosikazi

    Jipu Jingine TPA: Thousands of containers, vehicles dodged wharfage

    Watu msichojua ni hivi: ICD zote ni extension ya bandari. Container lolote halitoki ICD bila kibali cha TRA na TPA. TRA na TPA wameweka wafanyakazi kibao kwenye ICD ambao wana ofisi zao kabisa. Hawa ndiyo wanaotoa vibali kuruhusu container litolewe au la. Mwenye ICD hutoza gharama za kuhifadhi...
Back
Top Bottom