Search results

  1. B

    Hivi nyie mnafanyaje?

    Naombeni mnisaidie jinsi mnavyofanya mfano mtu kapost thread yake halafu mtu anareply lakini maneno ya post ya kwanza yanajitokeza yakiwa na kwe kivuli chenye rangi.Kama bandugu tupeane maujuzi namna mnavyofanya hasa kwe simu.
  2. B

    Mr Paul - Ndani ya Love (2002)

    Ingia google andika 'mzibo net-mr paul'
  3. B

    Msaada Wakuu, Ni Wapi Nitapata Mercury!!!

    Nicheck kwe 0715255179 kuna mzee mmoja anayo ila ni liquid form
  4. B

    Uchambuzi "Waite" Mrisho Mpoto

    Nimekuelewa sana siku nyingine ukija njoo na 'salaamu kwako' ya huyo huyo jamaa
  5. B

    Napenda kufahamu maneno haya kwa Kisukuma na Nyamwezi

    1Ng'wenhwa ndege 2.Makono malonja 3.Manhya melu 4.nzoka yi henge 5.nso bhuhemba 6.nsumba ndoto 7.Mbiti ya njingi 8.mlolansaa 9.sheja mabhu 10.Lugwisha helu
  6. B

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Mwalimu wa Kigoma msingi anatafuta wa kubadilishana nae atoke kati ya wilaya hizi:- 1.Sengerema 2.Bunda 3.Misungwi 4.Ukerewe 5.Chato 6.Geita-wilaya zake zote kwa aliye tayari mcheck kwe 0718347136
  7. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu wa Kigoma idara ya msingi anatafuta mtu wa kubadilishana nae atoke kati ya wilaya hizi:- 1.Sengerema 2.Ukerewe 3.Bunda 4.Misungwi 5.Chato 6.Geita-wilaya zake Kama uko tayari mcheki no 0718347136
  8. B

    Tubadililishane ujuzi na uelewa hapa

    Nashukru sana kwahiyo kama imeandika 3 gp haiplay kwe deck?
  9. B

    Tubadililishane ujuzi na uelewa hapa

    Kuna ki-deck fulani hivi nilikachukua hivi majuzi ili nikatumie sehemu fulani katika mishe zangu lakini tatizo ni kwamba ukiweka USB na Adapter kanasoma Audio na Emage video haionyeshi.Sijui tatizo nini maana mi hizo issue za kutumia USB sijui adapter nilikuwa sizitumii sana ila vijana nilokuwa...
  10. B

    Msaada-Nimekamata Mwizi

    Nawashukru kwa ushauri mliompa ila simu haipati na hiyo mitego yenu ya kitoto mnayomdanganya amkamate nani? Mtu mwenyewe ana papara kama nini
  11. B

    SOMA HAPA:ni muhimu kwangu na kwako

    Jamani hebu mwenye kujua tarehe ya mwisho kupeleka barua za kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa walimu kwenda TAMISEMI ni ipi anijuze pia majina ya waliokubaliwa kuhama mara nyingi hutoka mwezi gani anijuze.Tafadhari nisaidieni hili maana kuna mdogo wangu yuko kwe process.Ahsanteni
  12. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani mwenye kuelewa tarehe ya mwisho kutuma barua za kubadilishana vituo TAMISEMI anijuze pia na majina yanatoka lini ya wale waliokubaliwa kubadilishana
  13. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hivi jamani tarehe ya mwisho kupeleka barua ya kubadilishana vituo kwa Tamisemi ni ngapi?
  14. B

    MSAADA:mnaojua nisaidieni tafadhali

    Wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi mwezi june
  15. B

    MSAADA:mnaojua nisaidieni tafadhali

    Jamani naomba mwenye kujua tarehe ya mwisho ya kupeleka barua za kubadilishana vituo vya kazi kwa walimu anijuze tafadhari
  16. B

    Huu ndo ukweli kwa miaka 50 ya Tanzania

    Tanzania imekuwa nchi ya amani kwa kipindi chote cha miaka 50 lakini nimejaribu kufatilia chanzo cha yote haya ni uongozi imara wa CHAMA CHA MAPINDUZI ambacho ndo chama chenye upendo wa hali ya juu kwa wananchi wake. Kwa hili sidhani kuna wakupinga labda wale wa dakika 3 mbele na vidole vyao...
Back
Top Bottom