Search results

  1. M

    Usajili wa namba za simu, piga *106# ok.

    hapana bana mimi nimejaribu kufuatilia sana baadhi zimeniambia nimeshasajiliwa na nyingine zimeleta jibu la bado
  2. M

    Usajili wa namba za simu, piga *106# ok.

    Hata mimi hivyo hivyo tigo nilisajili toka mwaka jana lakini inaniambia sijasajili, Kwa tigo tuma ujumbe mtupu kwenda 106 watakuletea jibu
  3. M

    Inakera sana!

    Habari wana JF! Jamani wananikera wale watu ambao wakiona ndugu yao amefariki ndio wanajitia kiherehere cha haraka kuanza kuanza kufuatilia mali za ndugu yao huku wakijua ameacha familia yaani mke na watoto au mtoto. Na kipindi chote cha uhai wake hawakusaidia kutafuta ila sababu amekufa ndio...
  4. M

    Jamani tujaribu kuwa wawazi katka mahusiano!

    Mapenzi ya dhati yalikuwapo zamani kwa sasa tunaongopeana tu!
  5. M

    Jamani tujaribu kuwa wawazi katka mahusiano!

    yeah kweli kabisa huo ni utapeli mkubwa mnoooooooo Hivi hawa watu wataacha lini hizo tabia zao?
  6. M

    Jamani tujaribu kuwa wawazi katka mahusiano!

    Alimuuliza kabisa na kujifanya usisikilize ya watu, matokeo yake akawa anawapigia simu marafiki zake na kuwatukana eti kwa nini mmemwambia!
  7. M

    Jamani tujaribu kuwa wawazi katka mahusiano!

    Yaani hiyo ni kweli kabisa na alithibitisha hayo baada ya kufanya upelelezi wa kina. Yeah ni kweli wanawake tunatakiwa kukaa mguu moja ndani wa pili nje!
  8. M

    Kwa wanawake waliozaa

    Kama ulipanga na kuamua kupata huo ujauzito utajisikia furahana amani lakini kama imekuwa ndio vile lazima upate tumbo joto!
  9. M

    Jamani tujaribu kuwa wawazi katka mahusiano!

    Hivi mwanaume anapoamua kwenda kumchumbia mtu mwingine huku akiwa na msichana mwingine ambaye anamwonyeshea mapenzi kama kwamba ndiye mtarajiwa kumbe anamng'ong'a kisogo na kujifanya mkali kama ndiye baba mwenye nyumba kumbe loh. Ni hivi kulikuwa na mtu kaka na kaka mmoja ana girl friend wake...
  10. M

    Inasikitisha sanaaaaa!

    Jamani au mganga wake alimwambia afanye hivyo kwa ajili ya yale mambo fulani nini????????????? Maanaaaaaaaaaaaaaaa!
  11. M

    Inasikitisha sanaaaaa!

    Hakuna cha Ibilisi wala nini ni kujiendekeza tu, hata mimi nafikiri malezi yanachangia pia. Ibilisi gani huyo akufanye uangamize familia yako bila hatia yeyote pamoja na watoto zako mwenyewe? Basi si angemwacha na mkewe ili naye awe mmoja wapo! Sasa pamoja na kufanikiwa kumuua baba yake na mama...
  12. M

    Inasikitisha sanaaaaa!

    Mtu kuangamiza familia yako sababu ya mapito ya dunia? Nazungumzia suala la mtu mmoja kuchoma nyumba makusudi kwa nia ya kumwangamiza baba yake na mama yake wa kambo, Hii ishu ilitokea siku mbili zilizopita huku Mbeya, Soweto ambapo kijana mmoja alikuwa amekorofishana na baba yake ndio akaamua...
  13. M

    sikieni story ya rafiki yangu huyu..

    Mungu yu pamoja nasi kila wakati, kila sehemu na huona shida zetu, husikikiliza mahitaji yetu, Na hakuna linaloshindikana kwake. Ila tunachotakiwa kutokata tamaa hata siku moja. Hatuna budi kumshukuru, kumsifu na kumtukuza.
  14. M

    Enyi waume zipendeni Familia zenu

    Asante sana Mbogela Ujumbe umewafikis!
  15. M

    Zilipendwa

    kweli nimekubali JamiiForum ipo juu.
Back
Top Bottom