Search results

  1. mzamifu

    Maandamano ya Chadema yaanza kuiunguza CCM, Viongozi wake waweweseka

    Tamthilia ya The Brothers inawafumbua macho watazamaji kuhusu kinachojiri , sio huko Ufilipino tu...
  2. mzamifu

    CCM inamdhalilisha Rais Samia

    Ccm wawe jasiri kuachana na huu utaratibu wa sasa. Unaweza kuja kuwaletea madhara ikiwa wananchi watamkataa kwa kura nyingi. Isitoshe rais si malaika, anaweza kuwa dhaifu nchi ikaharibika, miaka 10 si mchezo kuja kurekebisha. Ipo siku huu ubabe utafika mwisho, tuangalie historia ya nchi jirani...
  3. mzamifu

    Kwanini mtu akiwa CCM mnamuita chawa?

    Mama mwenyewe aliwahi kutamka "chawa wangu..."
  4. mzamifu

    Mnaomshambulia RC wa Arusha, mnafurahia kiongozi wetu kutukanwa?

    Nakubaliana na wewe, kwa nini wamtukane kifichoni, labd wameona mapungufu mengi kwake na wanashindwa kumueleza... Pamoja na hayo, kwa nini waendelee na uwaziri, huo ni uwoga na unafiki.
  5. mzamifu

    Paul Christian Makonda, the terminator, the true leader

    Tujue wanatunaje, tuseme wanamkashifu au wanamsema vibaya au wanasema madhaifu yake. Kusema tu wanatukana is too general for people to get the inner side...
  6. mzamifu

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Yeye anawawajua na wao wanaju hivo kwa hiyo wanajuana sasa inakuwaje au imetokeaje?
  7. mzamifu

    Kuteua Watu walewale ni dalili kuwa nchi haina Rasilimali Watu

    Ukifuatilia muvi ya Brothers ... kwenye Startime utagundua ufanano wa kinachoteke katika mifumo yetu. Watu ambao hawafai na mafisadi wana ushawishi mkubwa kwa wananchi. Yaani wanachuliwa kama viongozi wema kumbe wamejivika tu ngozi ya kondoo kumbe ni chui. Sifa kubwa ni kujionyesha kama watetezi...
  8. mzamifu

    Kutokana na upungufu mkubwa wa walimu wa vyuo vya VETA nchini, Kamati ya Bunge ya PAC yaishauri serikalini iajiri walimu toka India na China

    Kwani inachukua muda gani kupata mafundi na kuwapiga msasa wa ualimu kisha wakapelekwa huko veta?
  9. mzamifu

    Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Sijui kama ipo sheria inayoelekeza matumizi ya wimbo wa taifa. Mashule mengi wanafunzi wanaimba wimbo wa taifa kabla ya kuingia darasani.
  10. mzamifu

    Awamu ya 5 Biswalo Mganga alikuwa Kinara wa Plea Bargain aliyetumia sheria za mfukoni mwake , Pesa alizokusanya hazijulikani ziliko

    Aliyempa mpunga mbowe ni nani? Huoni pia ni mlolongo wa makosa, kwa nini wamhonge? Sasa wewe unasimamia wapi mkuu...
  11. mzamifu

    Gavana Tutuba: Maisha Hayajawahi Kuwa Rahisi tangu mwanadamu alipoumbwa, fanyeni Kazi

    Nimekuja huku vijijini kulima na kweli naona watu wanafanya kazi hadi huruma. Lakini wanakabiliwa na changamoto nyingi sana, wadudu, mvua, pmbejeo na utaalam. Mwisho hata wakivuna bei inadondoka. Nguvu waliyowekeza ni kubwa sana ukilinganisha na kipato. Hawa watu hawana msaada hata wa maafisa...
  12. mzamifu

    CCM imebobea, siyo rahisi kubadilika ghafla

    Mijini wananchi wameamka, vijijini bado tangazeni kote vijijini wananchi waelewe ccm itatikisika
  13. mzamifu

    Thomas Sabaya: Mkichagua Wapinzani Serikali haitawaletea Maendeleo

    Huyo anaweweseka, je, kama mkoa mzima utachagua wapinzani ugeuke nchi huru?
  14. mzamifu

    Miaka ya 90 pale uwanja wa ndege mzee Mwinyi aliwahi kunipa hela, fulana kwa mkono wake mwenyewe kisha akanambia maneno haya...

    Hakuwa na makuu hata. Siku moja alifika kwenye shule moja akajaribishwa bites kwe darasa akapata, kisha akaenda kujisaidia katika choo cha mkuu wa shule akisindikizwa na askari, alitushika mkono kusalimia. Hakukuwa na mbwembwe hata...
  15. mzamifu

    Rais Samia: Hatutazuia Maandamano na Mikutano ya Hadhara

    Sidhani kama ni sahihi, ikiwa wanachosema ni kweli wanchi watawaelewa
  16. mzamifu

    Kwanini CHADEMA haifanyi maandamano Moshi?

    Kwa nini umesema Moshi?
  17. mzamifu

    Je, Makonda ni asset au liability kwa CCM?

    Hitler na wengine kama yeye alipenyapenya hivohivo, hakuna cha talanta hapo
  18. mzamifu

    Je, Makonda ni asset au liability kwa CCM?

    Ni kweli wajinga wanapenda watu wapendao kugombeza, kutisha, kubeza na kulaumu watu wenye vyeo na kujifanya wanawaonea huruma wanyonge. Wajinga wanamuona huyo kijana yuko sahihi. Anayifanya kama angekuwa naibu waziri mkuu ingekuwa balaa, walio chini wangelazimika kujuuzulu, Kiukweli katiba mpya...
Back
Top Bottom