Search results

  1. Mandela Jr.

    Habari katika picha: Mbozi hawajakubali kubaki nyuma, wako tayari kwa mabadiliko

    Hivi ndivyo ilivyokuwa leo; Mgombea ubunge udiwani wakiwa Mbozi kijiji cha Isansa. Pamoja na kunadi sera za UKAWA, wamejikita katika haki, amani na kuonesha jinsi viongozi waliopo walivyoshindwa kufanya maamuzi sahihi, wameishiwa pumzi!
  2. Mandela Jr.

    Si kwamba CCM hawakufanya 'kazi' la hasa, bali kazi walioifanya inawataka wapumzike

    Isifike mahali tukaona kubadilisha s/kali (chama) ni uasi, usaliti, upumbavu, ujinga ama ulofa. 'Mtu anapofanya maamuzi anatumia raslimali na fikra alizonazo muda huo kwaajili ya matokeo ya baadae' ; TANU na ASP (ccm) wamekuwa na miaka zaidi ya 50 ya kufanya maamuzi lakini imefika mahali ni...
  3. Mandela Jr.

    NEC kuweni wazalendo kwa hili, wasikilizeni watu hawaaa !

    Salaam wanaJF ! Hivi karibuni tume ya taifa inayoshughulikia uchaguzi NEC, kupitia kwa mkurugenzi wake wa uchaguzi imetoa taarifa kuwa mpiga kura ataruhusiwa kupiga kura ya udiwani, ubunge na uraisi katika kituo alichojiandikishia tu na si vinginevyo. Nashangaa maamuzi haya ya NEC wakiwa na...
  4. Mandela Jr.

    Hatimaye askari tarajali waitwa Moshi !

    Jeshi la polisi limetoa majina ya 'raia' wanaotakiwa kwenda Moshi tar 29/08 ! # policeforce.go.tz
  5. Mandela Jr.

    EWURA watangaza kushuka kwa bei ya petroli

    Ewura wamesema petroli imeshuka bei kwa shilingi za kitanzania 187 kuanzia jana. Hii ni baada ya 'Sugu' kumbana waziri mwenye dhamana juzi bungeni kwa swali la nyongeza. Source tbc habari.
  6. Mandela Jr.

    Assist on this 'DS' question please

    Development is of people for the people and by people. Discuss
  7. Mandela Jr.

    Moto umezuka Chuo cha Sokoine (SUA)

    Moto umezuka maeneo ya chuo cha Sokoine cha kilimo(SUA) karibu na round cafeteria ya main campus. Moto huo umezuka na kuathiri baadhi ya grocery ambapo wanajamii 'wa SUA' hujipatia mahitaji mbalimbali. Wadau wengi wanasema chanzo ni hitilafu ya umeme katika grocery hizo lakini chanzo bado...
  8. Mandela Jr.

    Hongera wanamabadiliko wote, hongera kwa wana-UKAWA wote , Tumalize safari vyema !

    Ni dhahiri kabisa matunda ya juhudi za viongozi wa vyama vinavyo ongoza harakati za mabadiliko yameonekana. Juhudi hizo zinaongonzwa na wao lakini wanaoicheza ngoma hii ni wengi sana, hawa nao wanamchango muhimu kabisa kwa nafasi zao. Kama ni safari inakaribia mwisho wala hatuko katikati. Na...
  9. Mandela Jr.

    Jeshi kwa Mujibu wa Sheria Inamaanisha Nini?

    Nimesikia mara nyingi kuwa 'vijana waliohitimu kidato cha sita wanajiunga JKT kwa mujibu wa sheria', sasa nauliza ni sheria ipi hiyo na matakwa yake ni yepi ?
  10. Mandela Jr.

    Kwanini walio hai wasiamue suala hili?

    Salaam wanaJf ! Hatua tuliofikia kama taifa si nzuri kabisa kwaajili ya maridhiano na mwafaka wa katiba mpya huku suala la muungano likizidi kutokotesha msuguano. Na ikumbukwe malumbano ya muungano yanajirudia kwa viwango tofaui na hatimae yaweza kututia kasirani. Kati ya mambo...
  11. Mandela Jr.

    Ndivyo ilivyo.

    Hata kama wote wageni sharti aliyetangulia amkaribishe ajae. One love !
Back
Top Bottom