Search results

  1. K

    Maji maji kabla ya kumwaga shahawa

    Naomba kufahamishwa kama niko na tatizo au hali hii hutokea kwa wanaume wote, nikiwa na mpenzi wangu tukiwa tunafanya oral sex huwa natokwa na maji maji kwenye uume wangu yaaani kama nimevaa boxer basi inaweza kuloana, hii ni hali ya kawaida au?
  2. K

    ASSISTANCE: Condomu kubaki ndani ya uke!

    sasa wewe ulikuwa umeingiza wapi? manake sehemu ya kukojolea na sehemu ya kuingiza mtalimbo ni vitu viwili tofauti? kwanza how old are u
  3. K

    Tanzania employment services agency (TaESA)

    Taasisi ikishakuwa ya serikali uchakachuaji unakuwa ni mwingi sana, cha msingi hangaika kutumia private requiting angencies huku huwa hakuna uchakachuaji mwingi
  4. K

    Godwin Gondwe wa ITV asilazimishe fani

    Double G is one of the best radio and Tv presenter in town, hebu mfananishe na mwingine tangu akiwa radio free africa alikuwa best in lake zone na mpaka akaja radio one alikuwa bora sana. Lakini unatakiwa kutenganisha kati ya presenter na mtu wa kufanya interview yawezekana kidogo anakosa...
  5. K

    Ndo nini sasa mbwa kaoa He!

    Nilishawahi kuskia kuwa hivi vijibwa vyenye manyoya sura nzima vinaufundi sana wa kuwaingia uvinza hawa wanawake wanavyovibeba sijui kuna ukweli
  6. K

    Nani alimpa u-'SIR' George Kahama?, Tanzania wenye cheo hiki wapo wangapi?

    Wakati bado tukiwa chini ya Ukoloni wa Mwingereza kulikuwa na bunge la Africa Mashariki likijumuisha nchi tatu, na mwanzoni katika hili bunge kulikuwa na uwakilishi wa wazungu na waasia peke yao. Baada ya harakati za ukombozi na kutaka waafrika wajumuishwe kwenye hili bunge (LEGCO) George Kahama...
  7. K

    Habari za Kiintelijensia Kuhusiana na Gazeti ya Mwanahalisi

    kuna uwezekano kweli hilo gazeti limekuwa edited manake tangu nianze kusoma mwana halisi kila week takribani miaka miwili sasa hivi sikumbuki siku ambayo gazeti hilo lilikosa picha au habari ya lowasa front page, lakini la week hii haliko na picha yake
  8. K

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Nimekuwa msomaji mzuri wa gazeti la Mwanahalisi kwa kupindi cha miaka miwili sasa hizi, kumbukumbu zangu kama ziko sawa sikumbuki siku ambayo nimenunua gazeti la Mwanahali likakosa habari ya Rostam Aziz. Kila wiki lazima kuna picha au story ya Rostam tena front page, nahakika gazeti hili...
  9. K

    Biashara ya internet

    Jamani ninataku kuanzisha biashara ya internet cafe maeneo ya chuo kimoja hapa jijini, naomba munisaidie nitumie inetrnet service provider wapi wazuri ambayo watanipa speed nzuri kwa ajiri ya wateja wangu kwa gharama inayofanana na huduma wanayonipatia. Nimepita kwenye sasatel, vodacom, zantel...
  10. K

    Nisaidie ushauri wenu muhim sana kwangu

    Sija haja ya kukupa pole maana sioni tatizo hapa, kuwa positive sio tatizo kabisa unatakiwa kuikubali hali yako, kuna watu walio kwenye ndoa mmoja kati ya wanandoa yuko positive na mwingine yuko negative lkn wanaishi miaka mingi bila ya kumuambukiza mwingine ilimradi tu kuepuka mazingira yote...
  11. K

    Mradi wa Digital Broadcasting TBC

    Mimi sina wasiwasi na kuanza kwa digital, tena tutakuwa tumepiga hatua sana; Ila shida iko kwenye content tu, kama wana 65% inamaana wako na uwezo mkubwa wa kudecide what to broadcast na mwisho wa siku tutakuwa tunalishwa mambo ya wachina na kizazi kijacho kitakuwa hakijui tena issue za kwetu...
  12. K

    Hii nayo ni taaluma rasmi?

    Ulimwenguni kote kwa sasa kuna kitu kinaitwa media commercialization, kweny hii kitu wamiliki wa vyombo vya habari wako zaidi kutafuta faida na ili wapate faida wanaangalia ni kitu gani kinapendwa na wasikilizaji wengi, na kama kitu kinapendwa na wasikilizaji wengi hii inamaana kuwa watapata...
  13. K

    Ben Hinn kuachana na mkewe

    Hiyo habari ya benn Hinn kuachana na mkewe mimi niliisoma february mwaka huu kwenye gazeti moja la Uganda maarufu kwa kuandika habari za mastaa red pepper. Gazeti liliandika kuwa mkewe bann hinn anaomba talaka kwa sababu wakati mtumishi wa mungu yuko Uganda alifanya mapenzi na pastor wa kiume...
Back
Top Bottom