Search results

  1. S

    Mabadiliko ya muundo wa shirika la TPDC wageuka chochoro wa vigogo kuwaingiza watu wao

    Kwa akili ya muandishi wa makala hii na mhariri wake hapo wanamaanisha Tanzania Diaspora SIO WATANZANIA..!!!
  2. S

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Mkuu, Hongera kwa kuleta hii mada naomba nitumie huo mchanganuo kwenye e-mail yangu LORDTICAL@GMAIL.COM Mengine naona itakuwa rahisi nikifika Kigamboni kujifunza zaidi. Natanguliza shukrani.
  3. S

    Wale wa serikali moja.....

    In order...top to bottom. 1. Nchi moja, Serikali Moja. 2. Nchi Mbili, Serikali Tatu...haki sawa kila upande (arthi, makazi n.k). 3 Kila Nchi Kivyake...!!
  4. S

    Waumini wa Serikali Mbili Sasa ni Wakati Wetu wa Kujipanga Kujibu Mapigo The Damage Was Done Today!!

    KUREKEBISHWA..!!! Miaka 50 Kaka imepita, matatizo ya muungano yapo tuuu...Wizara nzima imeundwa kurekebisha lakini matatizo bado yapo...na kana kwamba yote hayakutosha Zanzibar wamerekebisha Katiba, Wamefanya Referendum, Imepitishwa na Baraza la Wawakilishi na hatimaye kujitambua kama nchi...
  5. S

    Wito kwa Bunge la Katiba: Kura iwe ya Siri kwasababu Hakuna aliyetumwa na Watu Kuwawakilisha!

    Mkuu, Hili suala ni la muhimu sana sioni wadau wakiligusia...rasimu inatamka Serikali Tatu yaani Tanganyika imetakwa karibu kile ibara ya Rasimu...sasa wakianza na kukataa Serikali Tatu...bora kila mtu arudi makwao na huu mchakato wa Katibu ndio utakuwa umekufia hapo.
  6. S

    Uraia wa nchi mbili na Rasimu ya Katiba Mpya: Toa maoni yako

    Uduni wa Elimu sio tusi, ila sishangai kwa nini unaona ni tusi kwa sababu chanzo ni Elimu mbovu. Hicho ndio kikwazo cha mambo membi ya msingi yanayoifanya Tanzania iende mwendo wa kusuasua kwenye mambo ya msingi, kuanzia Elimu yenyewe mpaka fujo na migomo ya EFD...hayo yote ni mazao ya elimu...
  7. S

    Uraia wa nchi mbili na Rasimu ya Katiba Mpya: Toa maoni yako

    Wewe mwenye uwezo wa kufikiri ulio juu kabisa, ndiye unayekuja na kuiita wachangiaji wenzako puppets!! Wewe mwenye uwezo wa kufikiri ulio juu kabisa, ndiye unayekuja na hoja kuwa hao waliopo nje hawastahili kuwa Watanzania kwa sababu WAO (unawajua wote) hawakusoma, akili zako za juu zinakufanya...
  8. S

    Uraia wa nchi mbili na Rasimu ya Katiba Mpya: Toa maoni yako

    Binadamu ana tabia ya kuogopa sana jambo asilolijua...ndio picha ninayoipata hapa. Watanzania wachache wanaogopa sana suala hili la Uraia Pacha kwa sababu tu ya elimu duni inayopelekea wengi kufuata mkumbo. Inanikumbusha enzi zile ya Rais Mwinyi, Watanzania tulipoulizwa tunataka vyama vingi au...
  9. S

    FULL TEXT: Hotuba ya Rais Kikwete kuufunga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014

    Ndugu Wananachi; Sekta zilizochangia sana katika kasi ya ukuaji wa uchumi mwaka 2013 ni pamoja na mawasiliano asilimia 20.6, huduma ya fedha asilimia 13.2, uzalishaji viwandani asilimia 8.2, madini asilimia 7.8, ujenzi asilimia 7.8, biashara asilimia 7.7 na uchukuzi asilimia 7.1. Bado kasi ya...
  10. S

    Je, ni kweli Rostam Ameuza Share zake Vodacom?

    Hili swali la Field Marshall ES ni la msingi sana...lakini kwa sababu JF ya siku hizi imeingiliwa, ni mchangiaji mmoja tu amekuja na maoni yenye elimu, wengi hawalichukulii kwa uzito stahili...na-miss sana JF ile ya late 1990's mpaka Mid 2005. Weekend Njema!
  11. S

    Mchango wa sekta ya madini katika uchumi wa Taifa - Tanzania - Indaba

    Wadau, Leo nimeweza kuhudhuria Mkutano wa Sekta za Madini, Nishati na Miundombinu Tanzania - Indaba, uliofanyika Ukumbi wa J.K. Nyerere Convention Centre. Mojawapo ya mada zilizotolewa na wadau wa Madini na Nishati ni hii: MCHANGO WA SEKTA YA MADINI KATIKA UCHUMI WA TAIFA. Mada hii ilitolewa...
  12. S

    Dr. Kafumu ageuka kuwa mtetezi wa migodi inayotuibia mchana kweupe

    Wakati Serikali inajitahidi kutafuta ufumbuzi wa kilio cha Wananchi dhidi ya hii migodi kwenye suala la ulipaji kodi...Dr Kafumu yeye anatumia muda wake kuwatetea!!! Njaa ni mbaya sana, yaani Dr Kafumu amekuwa msemaji wa wenye migodi dhidi ya Serikali.!!!
  13. S

    Ripoti: Tanzania dhaifu kulinda rasilimali zake

    Hizo kasoro mwandishi wa hii ripoti uchwara ameziona wapi wakati taarifa na takwimu zinapatikana kwenye mtandao kwa Wananchi wote kuona...!!?? Tanzania Minerals Audit Agency - TMAA | Publication / Report - TMAA Annual Report 2012
  14. S

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Nnauye Jr, Heshima mbele. Wewe ukiwa kiongozi wa chama hupaswi kuja kwenye jukwaa makini kama hili na kuleta porojo. Nakusihi sana laiti umeamua kuja hapa kutoa hoja zako basi ungetupa heshima stahili sisi wasomaji kwa kuja na ushahidi uliokamilika. Hii habari kutufanya wasomaji wa JF kama...
  15. S

    The US Presidential Elections-2012

    One word: drones.
  16. S

    Hawa Nghumbi amrudisha John Mnyika Mahakamani...

    naamini kuwa, hii ndio sababu hasa!!
  17. S

    kwa mwenye uzoefu na water pump msaada

    Unalima mazao ya aina gani?
  18. S

    Zitto kweli ni wakati muafaka kutangaza hili?

    Hivi Zitto alisema anataka kugombea uraisi 2015?
  19. S

    "Dr" Shayo kuwania ubunge wa Afrika Mashariki!

    Sasa mbona kila msomi nchi hii anatamani political post!! Tutafika kweli??
  20. S

    NEC ya dharura Dodoma kishindo gani?

    Mkuu, kikao cha NEC kwa dharura, wamepata wapi wajumbe wote kwa dharura...nahisi walishajua watakutana.
Back
Top Bottom