Search results

  1. M

    Uzalendo kitu gani?

    Aandika Mohammed Ghassani Uzalendo gani!? Mpendwa muheshimiwa, anapanda jukwaani huku mbweu anatowa, anukia biriani tutakaohutubiwa, hatuna kitu tumboni Muheshimiwa ajuwa kwamba watu wana njaa lakini kalewa pawa. Basi anatuhimiza: “uzalendo ndu’ zanguni!” “uzalendo!” “nchi yetu!”, hii...
  2. M

    Anaandika aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman

    Kwa asiyekuwa mweledi, Bwana Humphrey Polepole ni mpigadebe mzuri, ni mpambaji mjuzi na dalali anayeweza kumuuzia mtu jaa [jalala] kwa jina la kasri ya mtindo wa Mediterranean. Wazanzibari tumemsikia katibu huyo wa itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) anavyonadi kwamba wanakusudia...
  3. M

    Suala Fikirishi - Dunia wapi tumekosa?

    Wapi tulikosea duniani- It seems some Thing is ging wrong. Inaonekana wanaume wanafanya kazi za kike na wanawake wanafanya kazi za kiume. Wapi tumekosea?
  4. M

    Fasihi - - Diwani ya MG

    Nimeona waraka fulani ukisambazwa leo na ukiwa na sahihi za wazee wawili wa Chama. Nimeusoma na kuurejea tena na tena. Sina uhakika wa ukweli wala uongo wake, lakini kitu cha mwanzo kilichonijia akilini ni shairi “Dubwana”, ambalo limo kwenye diwani ya “Machozi Yamenishiya!” Tusome sote...
  5. M

    Maoni ya Dotto Rangimoto Baada ya kuangalia Video

    Dotto Rangimoto Chamchua HAYA NI MAONI YANGU NILIYOANDIKA HUKO YOUTUBE BAADA YA KUTAZAMA HII VIDEO. Kuna Mambo Ya Msingi Matatu Mwanasheria Kayafafanuwa kwa kisomi na kizalendo kabisa. 1. Hati ya Muungano ilivyofasiriwa na katiba ya mda na hii ya kudumu ya mwaka 1977. Ameeleza vizuri jinsi...
  6. M

    Mzunguko wa matendo ya kinyama unaodhihirisha ushamba wa madaraka

    MZUNGUKO WA MATENDO YA KINYAMA UNAO DHIHIRISHA USHAMBA WA MADARAKA Anaandika Dr, Farrell Jnr. Mawaziri wa Emperor wana mambo makubwa. Kingwagala akiwa waziri wa utalii na mali asili anatoa amri ya kuuliwa kwa watuhumiwa wa uhalifu na sababu kubwa ni kuwa nao wanatuhumiwa kuuwa wa kwetu...
  7. M

    Wale wasiojua sababu za Muarabu kuja Zanzibar wajifunze hapa

    Portuguese rule By the mid 15th century, Prince Henry 'the navigator' of Portugal was encouraging voyages of exploration around the african coast. He hoped to find a sea route to the east, as well as the christian kingdom of the legendary Prester John (or 'priest-king') of Abyssinia. With the...
  8. M

    CCM siasa imewashinda, sasa ni fujo tupu

    Written by mzeekondo // 22/04/2017 Naomba kidogo niongelee haya matukio yanayo shamiri katika nchi hii,utekaji wa watu kiholela,uvamizi wa mikutano ya ndani ya kisiasa iliyoruhusiwa,kupotea na huenda kuuwawa kwa Ben Saanane mmoja kati ya viongozi wa juu wa chadema,uharamia wa kuwadhibiti...
  9. M

    Trackers kujiepusha na kutekwa

    Nimeamua kuleta Trackers Tanzania nitaziuza kwa yoyote anayetaka. Nichombo kidogo tu uanaweza kukishona kata kwenye belt ya Surrualia. Kinatumia GPS, kwa hio kwa kutumia Smartphone Mtu yoyote anaweza kukutrack na kujua uko Numba gani umefichwa. Bei itakuwa 80000 Tsh. Anayetaka aseme June...
  10. M

    Wenye deni la Umeme Zanziba ni Serikali sio wananchi wa kawaida

    Wakati tukisubiri SMZ ilipe madeni nusu nusu huko SMT basi ni vyema Taasisi hizi zinazodaiwa na serikali zikalilipa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) ili Shirika liweze kuwalipa TANESCO. Deni hili ni kubwa ni mzigo kwa ZECO. Dawa ya deni ni kulipa SMZ lipeni. 1) Mamlaka ya Maji inadaiwa Shs...
  11. M

    TANESCO pia inaendeshwa kwa Rasilimali za Muungano

    MAGUFULI WAKATI POVU LA MDOMO LIKIKUTOKA NA “KA-TA” UMEME ZANZIBAR KWA DENI LA BILLIONI 121 TUNAKUKUMBUSHA KUWA TANESCO INAENDESHWA KWA RASLIMALI ZA MUUNGANO IKIWA NI PAMOJA NA KODI YA MAPATO KUTOKA ZANZIBAR MBALI YA MADENI MENGINE TUNAYOIDAI TANGANYIKA. Bahati njema Bodi ilipeleka Paundi za...
  12. M

    Miujiza ya August: Tusubiri ya mwezi ujao

    Mwezi wa August 1. Wiki ya kwanza ilishuhudia safari ya kurudi nyumbani kwa Maalim Seif huku kukiwa na kelele za IGP kutaka kumkamata. Alipokewa na akafurahiwa kwa kurudi zake salama pamoja na kuyaeleza mafanikio ya safari zake. Magazeti na ulimwengu ulikuwa hai kutazama hatima ya kamata kamata...
  13. M

    Siri ya kuchomwa Tawi la CCM na kuchora Nyumba X Pemba yafichuka

    MI NILIJUA TU MAZOMBI PEMBA WATAAMBULIA ZIRO KATIKA SIFURI. HAYA SIRI SI SIRI TENA. ... Siri imefichuka... Wiki iliyopita mazombi wamepelekwa pemba kufanya hujuma, ila walipofika kule ikaamuliwa watumie mbinu tofauti, kwa kushirikiana na CCM wakapita usiku na kuweka X nyumba za CCM mkoani ili...
  14. M

    CCM Zanzibar wamuandikia Magufuli

    BARUA YA WAZI KWA RAIS. Mheshimiwa Rais, kwa heshima kubwa tunaandika barua hii kwa hisia kali tukiamini nawe unaudhiwa na watu wachache wanaoidhalilisha na kuichafua sifa nzuri ya Taifa letu kwa makusudi kwa faida zao binafsi na makundi yao. Mheshimiwa Rais ikumbukwe kuwa Octobar, 25 mwaka...
  15. M

    CCM haina la kuomba radhi kwa siasa za Uchotara

    Taarifa iliyotolewa siku ya tarehe 12 Januari 2016 na Daniel Chongolo, aliyejitambulisha kuwa mkuu wa mawasiliano na umma wa Chama cha Mapinduzi (CCM) inasema chama hicho “kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya mabango yaliyobebwa na mmoja wa wananchi...
  16. M

    Wazanzibari: Tuthamini Katiba Ya Nchi Yetu

    By FATMA KARUME Jr. MWANASHERIA MWANDAMIZI ZANZIBAR AMESEMA KISHERIA UCHAGUZI HAUJAFUTWA (SHALL BE NULL AND VOID AB INITIO) NA HIVYO KAULI YA MWENYEKITI WA ZEC KUFUTA UCHAGUZI NI HADITHI KAMA ZILIVYO ZA KITABU CHA WAGAGAGIGIKOKO! Sheria ya Uchaguzi ya Zanzibar ya mwaka 1984 (Zanzibar Election...
  17. M

    Sheria ya mpya ya makosa ya mtandao mwisho Chumbe?

    Wanadiaspora wameelezea wasiwasi wao kuwa sheria mpya ya Makosa Ya Mtandao iliyoanza kufanya kazi tarehe mosi mwezi huu nchini Tanzania, huenda ikaishia Chumbe, imefahamika. Hayo yamekuja kwenye kongamano maalum lililoandaliwa na Jumuiya Ya Wazanzibari Waishio nchini Marekani (ZADIA)...
  18. M

    Elena Hanga anelewa kila kitu kifo cha Baba yake

    https://www.youtube.com/watch?v=2y-HEvbVSwM Angalia hiyo video hapa juu Kwenye hii video Nimeiangalia kwa maneno yake anaelewa mengi kuhusu kifo cha Baba yake. Kwenye Film hii anasema yafuatayo Alipokufa Baba yake yeye alikuwa na miaka miwili hafamu. Lakini baada ya Muda wakati yeye ni...
  19. M

    UVCCM Ina mpango Wa kuchoma Makanisa kama Ukawa watafanya mikutano Zanzibar

    Written by zamko 23/04/2014 Ndugu Wazalendo wa Zanzibar na Wale wa Tanganyika/Tanzania Bara ambao wanaipendelea Nchi yetu hii impya ya Tanzania kuwa na Umoja, amani, Utulivu na Muungano wenye Muundo wa Serikali 3 ambao utaondoa kero na manunguniko. Napenda kuwajuilisha kwamba nimepata...
Back
Top Bottom