Search results

  1. M

    Tanganyika na Zanzibar zinatumia kikokotoo gani kugawana fedha?

    Mnalipa nyiynyi ki vipi? Kama ni Kodi TRA Wanakusanya kama kawaida zanzibar, Mahoteli yote ya Kitalii Zanzibar wakusanyaji Kodi ni wao. Sasa hizi kodi zetu miunazipeleka wapi?
  2. M

    Tanganyika na Zanzibar zinatumia kikokotoo gani kugawana fedha?

    Wewe unajua BOT ililianzishwaje? sasa nakuueleza. Wakati wa East Africa Community Zanzibar ilikuwa mwanchama na Tanganyika Pia. Wakati ilipovunjika ndipo ulipoanzishwa Muungano. Pesa zilizokuwepo kwenye Benki ya East Afrika ziligawiwa kwa wanachama wote na Zanziba ilipata zake na Tanganyika...
  3. M

    Tanganyika na Zanzibar zinatumia kikokotoo gani kugawana fedha?

    Pascal umesema kweli, lakini hili tatizo mumelisababisha nyinyi. Ifufueni Tanganyika yenu
  4. M

    Tanganyika na Zanzibar zinatumia kikokotoo gani kugawana fedha?

    Tuseme Sawa Zanziba inapewa mao wa 4,5%, lakini katika Kuanzishwa Benki yenyewe (BOT) Zanzibar ilitowa Hisa ya 22% ni nyaraka zipo. Sasa Nania anyenyonwa?
  5. M

    Tanganyika na Zanzibar zinatumia kikokotoo gani kugawana fedha?

    Sasa kama hayo unayosema ni ya kweli, kwanza ifufuke hio Tanganyika. Halafu tuweke wazi matumizi na Mapato ya Muungano, ya Zanzibar na Ya Tanganyika ni yepi. Hapo ndio utajuilikana ukweli
  6. M

    Tanganyika na Zanzibar zinatumia kikokotoo gani kugawana fedha?

    Ilipoanzishwa BOT - Pesa za Zanzibar zilizokuweko East Africa Community zilichukuliwa zikaanzishiwa hio BOT na Mpaka leo Zanzibar haipati mgawo wowote kutoka BOT- Nafikiri tungelianzia hapo na Tukaweka wazi kati ya Zanzibar na Tanganyika share zilikuwaje?
  7. M

    Mbona harakati za kuidai Zanzibar huru ni kama zimekufa awamu hii?

    Sisi tuko Kimya, tunajua kutokana na hali ilivyofikia nyinyi ndio mutakaouvunja Muungano
  8. M

    2021 AFCON Special Thread

    Nani anawakilisha Afrika mashariki?
  9. M

    Autocad : Autocad :kwa Civil Engineers karibuni tujadili

    Kwanza Civil Engineer yeye hatakiwi kuchora, Mchoraji ni Profession mbali, Kama Engineer unatakiwa ujuwe AutoCad, kwani Software nyingi za kuesign siku unaweza kuchukuwa infomation nyingi direct kutoka kwenye Autocad. Siku hizi kuna BIM . Model inakuwa Moja, lakini Archtecture, Engineer...
  10. M

    Experience kwa ambae amewahi ishi na demu wa kizungu

    Wazungu ni sawa na Waswahili kila mmoja na tabia zake, inategemea na huyo mwanamkewako ana Tabia gani. Utakavyomuhandle Gongo movie star, ni tofauti na mwankhe kutoka kijijini
  11. M

    Suala la ardhi halimo kwenye Muungano, Zanzibar wapo makini kulinda ardhi yao lakini wametuzidi akili kuimiliki ardhi ya bara

    Tatizo liko Palepale, nyinyi kuiuwa Tanganyika yene kiujanja na nyinyi kujifanya ndio Tanzania, Kutokana na katiba ya Tanzania , Mzanzibari anayo haki ya kumiliki ardhi Tanzania Bara, kwani na yeye ni Mtanzania. Lakini mtanzania Bara (mTanganyika) yeye hawezi kumiliki Zanzibar kwani yeye sio...
  12. M

    Kwanini viongozi pamoja na mishahara mizuri bado wanapewa nyumba na magari?

    Nchi zote haziko hivyo, tuchukulie Ujerumani ambao kwa Pato wanatupita kwa kila kitu, mbunge analipwa 10,012.89 Euro kwa mwezi na Kanzela analipwa 351,552 Euro kwa mwaka ambayo ni sawa na29,296€ kwa mwezi. Hawa wote wanalipa nyumba kwa Pesa Zao, gari wanayotupia wanapewa leasing, maana yake...
  13. M

    Mnielimishe: Ni kitu gani haswa Nyerere alikitaka kwenye Muungano, maana nachoona tunapigwa wazi wazi

    Muulize Lukuvi atakujibu, alikwishalisema hilo kanisani
  14. M

    Masharti ya kuwekeza Zanzibar kwa Mtanzania bara na mgeni

    Wazanzibari ndio wanataka usawa kwenye muungano huu. Tokea hapo zamani wanataka kuwe na Serikali ya tanganyika na ya Zanzibar na ijuilikane matuizi na mapato yake. Kwa kujifanya wajanja mukaiuwa Tanganyika yenu na nyinyi mukawa Watanzania tu. Wazanzibari wao ni Wanzanziabari na vile vile ni...
  15. M

    CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?

    Kwani ATC ina miaka mingapi tokea ianzishwe hata ikawa hawajui kuwa hio Biashara inafaida au la?
  16. M

    CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?

    Ndio hapo, kwanza walikuwa wafanye utafiti, jee Biashara hio inalipa? Kinachotokea sasa ni kwabebesha mzigo walipa kodi. Kama ni shirika tu na limechukua leasing na wameshindwa kulipa unalitaifisha. Lakini hivi sas hio haara wanayotia ATC tunabeba sis walipa kodi wewe na mimi
  17. M

    CAG Assad alisema ni mtu mjinga pekee ndo anaweza kufanya manunuzi cash: Anajifunza nini Entebbe Airport?

    Alichozunguzia Prof. Assad ni kunua ndege kwa Cash. Ndenge ni Vitu vya kufanyia Biashara. Mashirika makubwa mengi ya Ndege duniani hawanunui ndege kwa Cash, bali wana lease na Faida wanayoipata ndio wanalipia deni la kulease. Pili hakuna Serikali hata moja Duniani ambayo inafanya biashara...
  18. M

    Masharti ya kuwekeza Zanzibar kwa Mtanzania bara na mgeni

    Mimi nataka nyama kwanza urojo Baadae
  19. M

    Masharti ya kuwekeza Zanzibar kwa Mtanzania bara na mgeni

    Hebu nitajie Kisiwa kimoja ambach unaruhusiwa kunuaua ardhi bila masharti yoyote? Nataka hoja yenye mashiko kutoka kwako, unaniele ni kisiwa gani na unatuwekea na sheria ya ya Ardhi ya nchi hio tujadili. Hujui usiseme. Mimi najua vipo visiwa vingi unavyoruhusiwa kununua Property kwa mgeni na...
Back
Top Bottom