Nenda Ustawi wa Jamii katoe taarifa. Kwa kuwa wote wapo under 18, mvulana atachapwa viboko na kesi itaisha. Ila kwa shuleni mvulana huyo atafukuzwa shule kwa kuwa mwanafunzi haruhusiwi kujihusisha na mapenzi. Hili ndio kosa. Ila binti na shule ndio bye bye! Labda asubiri akijifungua kuna fursa...
Ukiingia dukani kununua bidhaa, tegemea yafuatayo:
1. Majadiliano ya bei ya bidhaa unayoitaka
2. Aina ya risiti unayoitaka
3. Ukitaka risiti ya Nchi utapata bidhaa hiyo kwa bei ya moto
4. Ukitaka risiti ya kawaida utapata bidhaa hiyo kwa bei iliyopoa.
Huyu Mh alinukuliwa hivi karibuni akisema kuwa hajui mgao utaisha lini. Leo anasema umeisha. Hapa ninapoandika ujumbe huu hakuna umeme hapa nilipo. Hii inji ni pasua kichwa kweli kweli
Yaani nimeona sendozi aina ya Teva inauzwa instagram 250,000! Nimepita huku mtaani nikazikuta kwa mmachinga, mpya kabisa. Nimempa elfu ishirini akapokea kiroho safi maisha yanaendelea!
Kuna kijana mmoja nilimshangaa sana. Katotoka zake gesh.i akaanza mwaka wa kwanza shahada. Nilimshangaa sana kumkuta anachemsha maji ya kuoga saa saba mchana huku jua liliwaka ile mbaya!
Usishangae UDSM peke yake, wale wanasayansi/wagunduzi wa Kigiriki miaka hiyo mbona miaka hii yetu hawapo? Akili ya binadamu kadiri vizazi vinapoongezeka IQ inashuka. Kuna version mbalimbali za binadamu! I'm sorry to say this.
Hongera kwa majukumu yako ya kila siku.
Najua unapitapita humu jukwaani. Kuna jambo la kimazingira ambalo pengine halisemwi ila lipo katika maisha yetu ya kila siku. Jambo lenyewe limetoa ajira kwa watu wengi ila ni hatari kwa mazingira yetu.
Jambo lenyewe ni namna bora ya uteketezaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.