Naamini wewe kama ilivyo Mimi, hujaona hata kipengele kimoja kwenye huo Mkataba, kwa hiyo kushupalia tu hao Mabwana wapewe huo mradi bila kujua masharti yao, ni jambo la ajabu.
Inawezekana ni kweli hatuna upekee wowote kwa mtizamo wa nchi zingine, ila sisi ni wa pekee.
Kama kuna kwingine...
Haiwezekani tukubaliane na kila sharti lao kwa jina la kwamba wao wameweka mitaji, kwa hiyo hata kama masharti ni wa kinyonyaji tukubaliane nayo tu blindly?
Kama Taifa tunauhitaji huu mradi ila sidhani kama ni kwa hizo sababu ulizoainisha.
Hichi siyo kizazi cha mwisho cha Watanzania, bado kuna...
Ndugu inawezekana ume-graduate karibuni, kama sivyo basi uzoefu wako ni mdogo sana. Ukiachana na kazi za ukufunzi pengine na utafiti, hakuna sehemu GPA inazingatiwa kama kigezo cha mtu kupewa kazi.
Mkuu hongera na shukrani kwa mchango wako mzuri.
Ni vizuri kwamba Bunge lingetumika kuchuja watendaji wa baadhi ya taasisi, lakini pia ili tuwe na imani na bunge, ni vyema utaratibu wa kuwapata wagombea ubunge pia ubadilike.
Kwa mchakato uliopo wa upatikanaji wa Wabunge, ni sahihi mtu kusema...
Jibu la alipo linaweza likawa lipo kwenye ufafanuzi huu hapa chini.
Wanasaisa (mathalani Wabunge) wana taswira tatu;
Mosi, kuna wenye taswira ya Kijimbo.
Hawa wakiwa bungeni unakuta michongo yao mingi inalenga masuala yahusuyo jimbo lao tu. Mifano ipo mingi ila mmojawao ni aliyekuwa M'bunge wa...
Bila shaka mu bukheri wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku.
Leo ningependa tujadiliane kidogo kuhusiana na manufaa tuyapatayo sisi Wahandisi tuliosajiliwa (Professional Engineers).
Kwa Wahandisi tofauti na wale Civil Enginners, tuchukulie mfano Mechanical Engineers na wengine...
Nina imani na Jeshi letu lakini kusema kwamba tuna intelijensia nzuri kuliko majeshi mengine (jambo ambalo ningejivunia kwalo), inaweza ikawa ngumu kidogo kudhibitisha.
Tanzania ni miongoni mwa mataifa machache yaliyobarikiwa kutokuwa na vihatarishi vikubwa vya ugaidi. Kwa hiyo, walao when it...
Ukweli ni kwamba Muundo wa Muungano wetu ni wa kipekee, pengine kidogo unaweza ukawa unafanana na ule uliokuwa wa Senegal na Gambia.
Kama alivyouliza Askofu, ni jambo la kushangaza kwamba kwa upande wa bara, mambo yasiyo ya muungano yanasimamiwa na Rais wa Jamhuri wa Muungano. Hata kuna nyakati...
Corridor ya Lobito ilikuwa operational kabla ya miundombinu kuharibika kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe (Wa-Angola). Kuharibika kwa miundombinu ndiko kulikoipelekea Zambia kutumia reli ya TAZARA na bandari ya DSM kama m'badala wa kusafirisha bidhaa zake.
Kumekuwa na mipango ambayo...
Pengine swali langu halijaeleweka, namaanisha mtu labda kafanya kazi private sector kwa miaka miwili (akawa anachangia NSSF) then akapata Serikalini (ambapo atakuwa anachangia PSSSF), Je akaitaka kuchukua hiyo michango yake ya NSSF punde tu baada ya ku-resign ili ajiiunge PSSF itawezekana?
Ahsante.
Wizara ya maji haina ugumu wowote kama kuna bajeti, ukishakua na bajeti kinachobaki ni usimamizi tu ambao mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kufanya.
Hakuna mambo yoyote ya ajabu kutoka kwenye wizara ya maji ambayo yashafanyika tangu yeye awe Waziri. Tungemuona wa maana sana kama angegusa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.