Barabara hii imekuwa kwenye ukarabati kwa muda mrefu sasa. Lakini kwa miezi kadhaa sasa toka ujenzi uanze kumekuwa na kusuasua. Kitu cha kushangaza hakuna hatua inayopigwa na hivyo kupelekea usumbufu kwa watumiaji na wakazi wa pembeni mwa barabara hiyo kutokana na vumbi kubwa linalotimuliwa na...
Nianze kwa angalau kwa kupongeza juhudi zao wanazozifanya katika kukusanya kodi. Ni ukweli uliowazi kuwa wafanyabiashara wengi hawapendi kulipa kodi. Hii inachagizwa zaidi pale walipakodi wanapokuwa hawaoni faida anayoipata kwa kulipa kodi. Wanapolipa kodi wanategemea huduma kwao ziboreke...
Kumekuwa na tabia ambayo imezuka na inazidi kukua kwa kasi hasa juu ya muungano wa wafanyabiashara linapokuja suala linalogusa maslahi yao. Suala la muungano ni jambo jema ila muungano usiokuwa na maslahi kwa wananchi na nchi kwa ujumla huku ukiwaumiza wananchi kwangu mimi ni upuuzi.
Toka...
Kwa muda mrefu kumekuwa na kilio cha wadau wengi kuilalamikia serikali kwa kutoboresha reli ya kati ili iweze kusafirisha mizigo inayokwenda kanda ya ziwa, Kigoma, Burundi na Rwanda . Kilio hiki kinasababishwa na ukweli usiopingika kuwa barabara zetu zimekuwa zikitengenezwa kwa gharama kubwa...
Si kawaida yangu kumattack mtu personally ila kwa hili nimeshindwa kujizuia. Nilipata msituko baada ya kusikiliza vidokezo vya habari kwenye taarifa ya habari ya leo 30 july 2013 saa 2 usiku iliyotangazwa kwenye kituo cha redio cha Radio One.
Kisa chenyewe ni kwamba mtangazaji wakati...
Wengi mtakuwa mnatambua eneo hili. Eneo hili lipo kati ya kituo cha daladala cha Sayansi na Kituo cha Bamaga.
Lengo langu kuu ni kuwafahaisha wahusika wa Tanesco kuwa kuna nguzo moja ya umeme maeneo hayo nyanya zake nadhani hazipo sawa. Kila ninapopita hasa kama kuna foreni utasikia sauti kama...
[MTU mmoja raia wa Ujerumani, amewaliza Watanzania wengi baada ya kufanikiwa kuiba kwa njia za kitapeli mamilioni ya fedha.
Raia huyo ambaye amekuwa akibadilisha majina, kwa zaidi ya miezi miwili sasa, amejichimbia katika hoteli kubwa za kitalii akijifanya kuwa wakala wa dawa za mifugo na...
Kisa hiki si kigeni masikioni pa wengi lakini pia nishikuru ndugu yetu Majjid Mjengwa kwa kukiweka katika maandishi nami nimetumia maandishi yake kuwakumbushia watu.
Ndugu zangu,
Kuna kisa cha mtego wa panya uliosababisha madhara hata kwa wasio panya.
Panya kwenye nyumba aliubaini mtego wa...
Kwa muda mrefu kumekuwa na malalamiko kuwa baadhi ya makampuni, NGO, Mashule, Taasisi, Viwanda na sehemu zingine za kazi kumekuwa na ongezekeo kubwa la wafanyakazi wa Kigeni, hali inayoashiria kuwa nafasi nyingi ambazo zingeweza kukaliwa na wazawa na kupunguza tatizo la ajira sasa zinakaliwa na...
Nimekuwa nikijiuliza bila kupata jawabu sahihi. Nikaona leo labda niwaulize wa JF pengine mnaweza kunipa jawabu la hiki ninacho jiuliza.
Nchi hii ilipata uhuru wake miaka 50 iliyopita, na kwasababu hiyo tumekuwa na baadhi ya mikoa na wilaya zilizoundwa kwa muda mrefu zaidi ya miaka 30. Lakini...
Siku zote nimekuwa nikihamini kuwa serikali yetu haina uthubutu na wala jitihada za kumsaidia mtu wa chini (watu wasiokuwa na uwezo/ watu wa hali ya chini).
Katika kuthibitisha hilo jana waziri mkuu Mizengo Pinda aliutangazia umma na hasa Madaktari waliogoma kushinikiza kutafutiwa ufumbuzi kwa...
Wakuu nimejaribu kwa muda wa week nzima sasa kujaribu kujaza form za mkopo kwa ajili ya ya ndg yangu anayetarajia kujiunga chuo mwaka huu. Licha ya kufanikiwa kupata Password na username baada ya kujaza preliminary information lakini imeniwia vigumu ku log in tena. Kila nikijaribu ku log in...
Wakuu kuna ndugu yangu anatakufungua Butcher ya kisasa Mkoani. Ameniagiza nimtafutie vifaa kwa ajili ya ofisi yake hiyo mpya kwa hapa Dar. Nadhani vifaa kama machine ya kukatia nyama, mizani ya kupimia nadhani nikipata ile inayopima kwa digital, vyuma vya kutundikia nyama (viko kama hook) na...
Unaweza kupata orodha ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2011
Kwa wasichana bonyeza hapa
http://www.moe.go.tz/PDF/Orodha%20ya%20Wasichana-2011.pdf
Wavulana bonyeza hapa
http://www.moe.go.tz/PDF/Orodha%20ya%20Wavulana-2011.pdf
Ikiwa ni tayari saa 6 usiku na ni tarehe 31 october 2010. Ni siku iliyosubiliwa kwa hamu kubwa ili watanzania wafanye mabadiliko makubwa. Mabadiliko yatakayo kumbukwa na vizazi vijavyo kwa watakao fuatilia ukombozi na maendeleo ya taifa ili. Ni siku ambayo watanzania walisema sasa imetosha...
Naisikitikia nchi yangu Tanzania kwa kile kilichokilichotangazwa na Prof. Magembe kuwa serikali itafuta mitihani ya Darasa la saba ili kuwawezesha wanafunzi wote kuingia kidato cha kwanza. Najiuliza swali, Je tatizo ni mitihani au tatizo ni ufahuru wao. Na kama tatizo ni ufahuru wao jibu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.