Nadhani mtoa hoja hajui umuhimu wa consults na hajui wanapatikana kwa njia gani.
Huwezi kusema tu kwamba mradi wa kijiji kimoja consultant analipwa mabilioni ya pesa. Wakati wa kuomba kazi consultants wanaandika technical proposal na financial proposal zao. Team ya client ambao ni wahandisi...
Barabara hii imekuwa kwenye ukarabati kwa muda mrefu sasa. Lakini kwa miezi kadhaa sasa toka ujenzi uanze kumekuwa na kusuasua. Kitu cha kushangaza hakuna hatua inayopigwa na hivyo kupelekea usumbufu kwa watumiaji na wakazi wa pembeni mwa barabara hiyo kutokana na vumbi kubwa linalotimuliwa na...
Sisi tuliokuwa nyumbani tukiangalia uzinduzi wa kampeini za CDM kupitia TBC1 tunajua kero tuliyosababishiwa na TBC1.
Hakukuwa na namna nzuri zaidi ya kuwataka waondoke. Kuondolewa kwao, pengine kuliwasaidia kujua namna nzuri ya kuchukua na kurusha matukio mubashara.
Unaweza kuona utofauti...
Hili neno kwa CRDB limeshakuwa kama wimbo wao wa kazi. Kila ukienda Bank yao utakuatana na hii habari "mtandao upo chini". Mbona mitandao ya bank zingine haiendi chini. Wao wanaweza wana nini kiasi kwamba ninyi mmeshindwa, mnabaki kubahatisha.
My advice: Employ competent people who can serve...
Japo leo sikutazama ila mara nyingi mhubiri wa kanisa hilo huwa anahubiri akiwa amezungukwa na body guards 2 nyuma yake. Japo nao huvaa nguo nyeupe kama yeye. Lakini utaona kila mara wakijitahidi kucover nafasi zao pale anapokuwa ana tembea huku akihubiri madhabahuni. Walinzi wake ni kijana 1...
Kabla sijakuweka kwenye list ya watu niliowa-ignore whenever I see there posts naomba unihakikishie kuwa upo vizuri upstairs.
Ikiwa hao uliowashuku ndio walifanya matukio kama unavyodai ni nini kazi na wajibu wa polisi basi?
Mbona kwa muda wote wameshindwa kuwakamata na kuwafikisha kwenye...
Ni mapema sana kujua sababu ya wao kuondolewa. Hizo ulizotoa zaweza kuwa hisia zako licha ya wewe kuziita tetesi
Ikumbukwe kuwa mkuu wa nchi aliiagiza Uamiaji kujisafisha yenyewe baada ya kuwa na ongezeko la wahamiaji haramu kuongezeka na wengine kukamatiwa katikati ya nchi huku wakiwa wamepita...
Badala ya kutumia colour kama inavyoandikwa kwa British English basi tumia color kama inavyotumiwa na US English. Nami najaribu. Ikibadilika fanya hivyo kwa kubadili spelling.
Wakati Rais Dr. Sheini ameenda kugombea Zanzibar 2010 alikuwa mpiga kura wa wapi kama una kumbukumbu nzuri? Je alijipigia kura? Jibu ni HAPANA
Kutojiandikisha jimbo hilo sioni kama ni sababu kubwa na hasa ikiwa mtu anasababu za maana ambazo nadhani Mwalimu anazo. Hata rais wa sasa...
Shukrani sana kwa mwazilishi wa uzi huu mkuu Kipilipili . Shukrani pia ziwafikie Software Engineer na socrate jr pamoja nawatu wote mlioshiriki toka mwanzo katika mjadala huu kwa kuchangia na wengine kuuliza maswali. Laiti watanzani wengi angekuwa na moyo huu wa kupeana taarifa kwa mambo...
Kwanini usirushe hapa ili watu wapate wengi kama vile wewe unapapata vitabu vingine bure vinavyowekwa na wadau. Kama si bure basi ungeenda direct kwenye point ili watu wajue kuwa offer ni watu wachache kisha utaanza kuuza baada ya kuona mwitikio wao.
Sidhani, muda wangu wa kukodoa kwenye TV ni mchache, hivyo mara nyingi mi ni taarifa za habari na vipindi vya uchambuzi kwa TV tofauti ambavyo najua muda wake. Labda wanaojua zaidi watakujuza. Kuhusu gharama, sikumbuki sasa ni kiasi gani wakati ule kilikuwa cheap ukilinganisha na vilivyokuwa...
Digitek hawajawahi niangusha. Kwanza ni bure, hakuna malipo yoyote baada ya kununua king'amuzi. ITV, TBC1, Channel 10, Star TV, EATV, Capital, Algezeera, Citizens TV, Emmanuel TV, Ipo nyingine ya Kiislam, na zingine kibao kama za Japan na maigizo n.k.
Kwa matumizi nyumbani na kwa kuwa sina muda...
Tujiulize ujambazi umepungua hasa kipindi hiki tunapoelekea sikukuu?
Ni matukio mangapi ya benki kuvamiwa ambayo tumeyasikia toka zoezi hili la kuwashughulikia kimya kimya limeanza.
Vipi kuhusu wale waliokuwa wanavizia watu wanaoenda benki na kuwavamia kwa bastora baada ya kuwa wamewafuatilia...
Safari njema mkuu.
Kufika kule itakubidi upitie Lusaka-Zambia au Lilongwe-Malawi kisha ndo upate basi za kukupeleka Namibia.
Kuhusu maeneo ya kufikia, unaweza kufikia Windhoek mji mkuu wao au ukaenda Swakopmund na Wavis miji iliyopembeni magharibi mwa nchi ikipakana na bahari ya Atlantic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.