Search results

  1. hassan mdidi

    Nimekosa point moja kuapply degree nifanye nini?

    ndugu kutoka 4m6 na kuanzia diploma maja kwa moja inategemea na koz husika unayotaka kusomea kwa mfao koz zote za uandisi lazma uanzie nta level 4 to 6 so miaka mitatu inakuhusu ha po ila kwa wale wa koz zingine za social science kama za biashara ukitoka 4m6 na kwa ufaulu huo ndo unzia diploma
  2. hassan mdidi

    NACTE iwe na mitihani kama NECTA

    nilimaliza 2008 na nikachaguliwa na govt coz top three sikuweka shule za advance hapo utajua mm sikuamliza kpind cha gpa za akina mulugo
  3. hassan mdidi

    NACTE iwe na mitihani kama NECTA

    kumbe ulisikia hpo means akuna ushahid
  4. hassan mdidi

    NACTE iwe na mitihani kama NECTA

    ayo matatizo yako kwa kila chuo na ni kama changamoto tu had universities ayo mambo yapo kuchelewa kutoka kwa matokeo
  5. hassan mdidi

    NACTE iwe na mitihani kama NECTA

    ha ha ha udsm wenywe cku hiz nao wanato masomo ya chet kwa kwa sheria na ict
  6. hassan mdidi

    NACTE iwe na mitihani kama NECTA

    me nilijua utamshauri wazili wako apunguze idadi ya masomo olevel coz mtu anafaulu masomo9 au 7 mwisho wasiku masomo matatu tu ndiyo anayochukua kwenda nayo advance na haya mengine anamwachia nan? huku ndio kukalilikwenyewe ili mtu afaulu na ndo mana mitihan itaendelea kuvuja kila mwaka sasa ww...
  7. hassan mdidi

    Kuna uwezekano wanafunzi wote kupata mikopo mwaka 2018/2019?

    Upinzani tutatumia weakness hiyo ya mikopo kuinyoa thithiem 2020
  8. hassan mdidi

    NACTE iwe na mitihani kama NECTA

    mitihan hata ya necta inavuja pia jalibu kumtafuta yule aliye malza form6 mwaka huu atadhilisha hii
  9. hassan mdidi

    NACTE iwe na mitihani kama NECTA

    wewe ulitaka waanzie na ds ngap? je huo ni ufaulu au sio ufaulu? na ndoo maana mfumo ukamwelekeza apitie long pass kuanzia cert to diploma je ww ulitaka aende advance na je unajua maana ya kuferi? hzo ds nne ni pass yaan dv4 na kuferi ni zero kabisa sasa kuna watu wenye upeo mdogo wanachanganya...
  10. hassan mdidi

    NACTE iwe na mitihani kama NECTA

    tafuta cv yake usome alafu uje tena usiwe unaongea tu nikuulze tena diploma na form6 wakiwa ktk coz moja chuo wakadisco mwaka wa kwanza au wapili je wakilud mtaan nani atakufa njaa? kwa hayo maswali niliyojupa sample zake ninazo zaid ya tano as good research just want to be alaf nan...
  11. hassan mdidi

    NACTE iwe na mitihani kama NECTA

    suala la kupewa max za bule na kupandishiwa gpa lipo hadi university nina ishuhuda wa hali ya juu na sample za kutosha juu ya hili alaf suala la kudisco lipo waz hata kwa waliotokea form6 kwa tatizo hili kwann usimshauri wazili wako wa elimu kuwe na mtiana mmoja utungwao na tcu? najua umeongea...
  12. hassan mdidi

    Bwiru boys sekondary - sayansi bila physics

    yes engineering science is more than physics
  13. hassan mdidi

    MPYA: Majibu ya HESLB (LoanBoard) kwa diploma walio unga degree mwaka huu yana sikitisha

    advance upige govt school na co private coz icho pia ndo kigezo chao cha kupata mkopo ili upate mkopo inatikiwa olevel na advance uwe umepitia school gvt hapa chuon wapo wanafunz kibao wamekosa tena unakuta kasoma pcm pcb au pgm na wanaaply coz za uandisi ukiulza kisa bod wanakwambia et olevel...
  14. hassan mdidi

    Advanced Diploma: Ni Digrii ama nini?

    advanced diploma mbona iko kimataifa ukienda german, uk, usa, hispain, france nk mfumo wa diploma na advanced diploma upo so msikalili na degree wakat waliowaletea elimu wanatumia hiyo mifumo na hpo mpaka saaa ila ikumbukwe tu si nchi zote zina mfumo wa long pass kama wa form6 mfano kenya...
  15. hassan mdidi

    Tujadili tamko la Waziri wa Elimu kuhusu masuala ya udahili

    kumbuka mkuu wa kaya nae kapitia diploma ndo anaetuongoza
  16. hassan mdidi

    Nilichokiona Chuo cha Usafirishaji(NIT)

    hakuna me mwenyewe nipo nit nafanya reg wanafunz tumelunikwa ktk kieneo kimoja km mayai utaratibu ni mmbovu sana coz watu ni weng mno
  17. hassan mdidi

    Eti kwa waliofaulu PC O' level wanaweza chaguliwa shule za goverment A' level?

    ukitaka kuamin hili angalia second selection ya mwaka huu utaona code no. ya baadhi ya wanafunzi imeanzia P baada ya S
  18. hassan mdidi

    Eti kwa waliofaulu PC O' level wanaweza chaguliwa shule za goverment A' level?

    inawezekan ila vigezo kuzingatiwa mfano kabla ya pepa unatikwa kujisajili na elimu ya watu wazima then umri wako usiwe zaid ya miaka 24 yaan kuanzia 23 and below
  19. hassan mdidi

    Hali yazidi kuwa tete: Stashahada ya Juu ya ualimu shule ya msingi yafutwa

    hii issue niliona ktk gazet la daily news toleo la jana
Back
Top Bottom