Search results

  1. mende 2014

    Noela: Mwanafunzi aliyeshangaza watu kwa kuandika hotuba ya Waziri Mkuu

    Hongera sana Noela Mungu yuko pamoja nawe kaza buti ili ufikie malengo yako ya baadae. Hongera sana tena sana.
  2. mende 2014

    Je, ni kweli kulitokea hii mvua ya samaki nchini Thailand?

    Niliwaona hao samaki ktk group la WhatsApp
  3. mende 2014

    Huyu CCM haimwezi, ni untouchable

    Lowassa alikuwa na tamaa ya uongozi.
  4. mende 2014

    Hongera DC wa Ilala Sofia Mjema kwa busara yako kutii na kuwaondoa FFU katika mkutano wake!!

    Usiseme kuwa watanzania ni wajinga inaonekana kuwa wewe ndiye mjinga sio watanzania. Hatutaki anayewapotosha watu kama wewe.
  5. mende 2014

    Kwa hali hii mishikaki itaisha?

    Kwa kweli sheria iwekwe Kali sana ya kuwabana
  6. mende 2014

    Ugumu wa Biashara: Nakumatt tawi la Mlimani City Jijini Dar es Salaam yafungwa kisa kushindwa kulipa kodi

    Hata hivyo wananyanyasa wafanyakazi jambo ambalo halimpendezi Mungu. Wamrudie Mungu wao. Kumbukeni kikichitokeaga NAKUMATT MOSHI hadi taarifa zilifika kwa mkuu wa Mkoa King kimanjaro enzi hizo na humu mjadala ulikuwa mkubwa sana.
  7. mende 2014

    Wameshafariki watoto wawili , sasa anadai ana mimba tena! Msaada!

    Tafadhali usichukue uamuzi wa haraka kiasi hicho maana hata mama mwenye mtoto nadhani anajiuliza sana kuwa ana mkosi gani. Kumbuka mtoto wa kwanza alifariki wakakati akijifungua na yule wa Pili mimba iliharibika. Fanya uchunguzi kupitia kwa madaktari ili waone kama kuna tatizo linalosababisha...
  8. mende 2014

    Shemeji yangu ananifikisha kileleni kuliko mpenzi wangu!

    Huna akili kuleta mada kama hii humu naona hajitambui
  9. mende 2014

    Bodaboda kutii sheria bila shuruti ni kazi sana

    Hawa wanastahili adhabu kali maana faini ya sh. 30,000 wameizoea.
  10. mende 2014

    Bodaboda kutii sheria bila shuruti ni kazi sana

    Huyu bodaboda amebeba abiria wawili halafu wote hawana helmet akikamatwa eti ameonewa. Hivi ni kwa nini hawatii sheria bila shuruti?
  11. mende 2014

    Mwanafunzi wa IFM apigwa risasi 4 na mtu anayesadikiwa kuwa ni askari

    Angejisalimisha Mara ngapi ama hujasoma hapo vizuri.
  12. mende 2014

    Tetemeko dogo la ardhi limetoea mikoa kadhaa Tanzania

    Hapa Bunda mkoani Mara pia limepita lakini halikuwa na nguvu
  13. mende 2014

    Waziri wa Tamisemi tazama Rorya.

    Vijijini wananyanyaswa mno
  14. mende 2014

    Mbunge wa Jimbo la Bunda mjini, Esther Bulaya yuko wapi?

    Hili Jimbo lilichukuliwa na Esther Bulaya baada ya wananchi kumkataa Steven Wassira. Sasa tangu achaguliwe hadi leo hii hata haeleweki na hatujui kuwa yako wapi maana tangu bunge limeisha wabunge wengine tunawaona majimboni mwao lakini huyu wa kwetu hatumuoni. Je, tulimchagua ili apate nafasi ya...
Back
Top Bottom