Search results

  1. Jacque Maritain

    Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

    Tanzania nchi ya kufikiria sanaaa..... Kila kitu kina sababu yake...sababu inayokidhi fikra za mtu fulani
  2. Jacque Maritain

    Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

    Hata siku moja... KUWA NA MAADUI WENGI SI SIFA NZURI! Hao wapiga dili, Wapinzani, Mabeberu na Wahujumu uchumi .... HAKUNA ALIYEWAHI KUHUKUMIWA MAHAKAMANI AKAKUTWA NA HATIA... ILA VIROBA VYA SANDARUSI VYENYE MIILI YA WATU! IS IT NECESSARY THAT EVERY ONE WHO DIES... RESTS IN PEACE!!! NAOMBA...
  3. Jacque Maritain

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    KATIKA SOMO LA MANTIKI...LOGIG!! Waafrika wanaishia kuwa wachawi kwa sababu ya kutengeneze hitimisho kwa vigezo (premises) moja tu, au kuunganisha matukio yasiyo na uhusiano katika kufikia sababu ya tukio Mfano: MAMA MJA MZITO ASILE MAYAI... ATAZAA MTOTO HANA NYWELE!! Mfano: MTIKILA ALIMSEMA ...
  4. Jacque Maritain

    Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    Hakuna umoja katika uovu... Mwisho wake ni mwanguko mkuu... HATA WEZI WANAUANA WAKATI WA KUGAWANA MALI YA DHULUMA....!!!
  5. Jacque Maritain

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Nani kampaka kiwi huyu mzee! Haoni Mbele!
  6. Jacque Maritain

    I SUSPECT my wife of having an affair with another woman.

    Too early to conclude... tell us... 've you noted some changes in... I mean....
  7. Jacque Maritain

    Airtel wamepandisha bei ya Vifurushi

    Kuna tofauti kati ya surfing bundle ya mb 400 na data bundle zinazoanzia 25mb. huoni hiyo ya 400mb hawaitangazi hata kidogo!!!!!
  8. Jacque Maritain

    CHADEMA yaandaa mapokezi ya kifalme kwa Millya

    Necessity knows no law! Priority ni kugain momentum ya m4c! Anaweza kuanzia popote..kwa milya etc!
  9. Jacque Maritain

    CHADEMA yaandaa mapokezi ya kifalme kwa Millya

    Lowasa akija leo apewe kazi kwenye M4C!
  10. Jacque Maritain

    Millya: Nape ni vuvuzela na saratani ndani ya CCM

    I am a northerner but NO you cant drag me into this.... unatumia kanda ya kaskazini kutengeneza chaumvinism isiyo ya kweli.
  11. Jacque Maritain

    Millya: Nape ni vuvuzela na saratani ndani ya CCM

    Hii ni trailer tu.... movie yenyewe itakuja! AMANI AU BILA AMANI! Tanzania bila SISIEM inawezekana!!!!!!!!!!
  12. Jacque Maritain

    Jinsi Lowassa alivyojichomeka sherehe za RC Ifakara na kumchefua kardinali Pengo

    Sikilizieni Hotuba ya Nyerere ya mwaka 1995 ktk mkutano wa CCM - Dodoma. Huyu Kardinal anasema baada ya mtu kuhutubia yaani sherehe ya kanisa Lowassa aliingia vipi jukwaani kama hakualikwa..Mambo mengine bana sasa kama Lowassa akisiomama ndfio inaharibu jina la kanisa na dini au sii kweli...
  13. Jacque Maritain

    Barua kwa Dr. W. Slaa

    Mimi sio mwanasheria ila ni gwiji wa mchezo wa CHESS! Luteni ana-predict two moves za mpinzani wake (wetu)! LAKINI counter attack yake inampa adui muda mrefu wa kufikiri...LUTENI NA PASCO peanieni contacts za kweli then do something!
  14. Jacque Maritain

    CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

    Thanx for deleting the post... we understand your feelings... but moderate your thought...THIS IS A HOME FOR GREAT THINKERS...Deploy your brains not your guts!
  15. Jacque Maritain

    CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

    Mungu wangu....MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA...
  16. Jacque Maritain

    Kwa hili Godbless Lema unakosea

    Hivi MAGAMBA wangeshinda ARUMERU MASHARIKI tungeweza kutengua matokeo yao kwa matusi yaliyotumiwa na baadhi ya wapambe! BABATI imekuwaje...Mpango mkakati wa MAGAMBA utashindwa kabla haujaanza...
  17. Jacque Maritain

    Arumeru Mashariki: Wanachama na viongozi UVCCM kuhamia CHADEMA

    Kaka wa ICU afe tu kabla ya uchaguzi! Vinginevyo ana uwezo wa kutoa chai kwa nchi nzima!
  18. Jacque Maritain

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Tatizo ni fikra finyu....... Stay on the dead receiving end...WE WILL BOMB YOU!
Back
Top Bottom