Search results

  1. Z

    Mchaga apata ajali Switzerland

    Duh Mate kibao mdomoni hi kitu hii ni hatali sana ndani kuna nyama kibaoooo usipime
  2. Z

    Dar es salaam: Wanaume na supu ya pweza!

    Ha ha ha ha ha ha ah
  3. Z

    Mtuhumiwa

    Jamani mtuhumiwa atakuwa kwanza siyo mzima pili hatakama mtu ulikuwa unamtaka for a long time sasa ndio mtumie na wengine jamani huyo ni mnyama tena mmmh haoni haya kujibu eti ndio nimekubaka atakuwa mwehu lazima.
  4. Z

    Sifa za wanawake/wadada wanene

    Kinyume chake mbona hamsemi jamani kwa mfano mm ni mwembamba so???
  5. Z

    Wamasai bwana!

    Ha ha ha ha ha jamani mbavu zangu
  6. Z

    ~**~ Ni Msemo wa Kikwetu ~**~

    Hahahaahaha Preta umenikumbusha mbali kweli na haka kaneno bwana. mwee.that is my msacha
  7. Z

    Taa izimwe isizimwe?

    Na kwa nini izimwe?? kunauwalakini hapo wala sikubali. Taa isizimwee
  8. Z

    Lady Jay Dee ajibu hoja ya Wakurya!

    Asante ndugu Selengias nadhani kwa jibu hilo linatosha kusafisha miyoyo ya watu kwa majibu ya huyu dada infact majibu yake yako sahihi wala si hasira hata kama ungekuwa wewe. asante
  9. Z

    Fina mango

    Watu bwana!! FirstLady umeonaeee
  10. Z

    Rose muhando aipasua ndoa ya alex msama

    Tena ukweli wamewakosea adabu sana hawa wanandoa ingekuwa vinginevyo huyu mwandishi alitakiwa kushitakiwa. maana wenye ndoa wamesha sema hakuna tatizo bado yeye analazimisha, kama hana pesa na anatafuta kwa njia hiyo basi hiyo pesa wala haina faida kamwe tena ashindwe na kulegea.
  11. Z

    Enzi zetu za shule

    wakwetu tulikuwa tunamuita kishazi alikuwa wa kiswahili
  12. Z

    Fundi cherehani na msichana mrembo!

    Tena kila abishaye hufunguliwa
  13. Z

    Kwanini?

    Kah ebwana ndio Lils nakukubali maana umetoa kitu kamili hapo hakuna uwongo mwana.Bigirita umeonaeee Lils alivyojibu mwake safi.
  14. Z

    Pwani Raha Jamani lol!!

    hahahahahahahahahahah jmani mambo hayo kweli raha
  15. Z

    Huyu dogo ni nooma!

    Duh ni noma wanatudanganya tuu
  16. Z

    Tattoo and Express yourself

    Kah Jamano Msododooo
  17. Z

    Joto la Mwili

    Heeeeeeeeeeeeeeeeee wajameni kaka kwanza hongera maana ama kwa hakika wewe ni chiboko uko juu kwa utunzi mwanakijiji. sasa swali langu kwa nini yule binti alidondoka? kujua yule ni pastor au? anyway hadithi nzuri sana, lkn je inatufundisha nini, mwanamke kwa mwanaume?? kaka nimeipenda
  18. Z

    Nani mwongo zaidi?

    Kah hapo nimeshindwa mimi mwenzenu duh!
Back
Top Bottom