Search results

  1. Man Eric

    Nimefika Katavi na kujionea jinsi watu wanavyotajirika kupitia Kilimo

    Ni kweli. Unaweza kujisemesha kuwa umechelewa. Kwa sasa vijiji hasa Mwese wilaya ya Tanganyika, naona kuna uwekezaji mkubwa wa parachichi. Na hali ya hewa inasapoti vizuri zao hilo.
  2. Man Eric

    Msaada Namna ya kuweka nyimbo ktk Iphone 6s

    Kwa nini usitoe hapa maelekezo kwa faida ya wengi?
  3. Man Eric

    Tushare app za live TV katka smartphone

    Azam two na azam hd zina giza. Wanasema tatizo wanaijua na wanarekebisha!
  4. Man Eric

    Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

    Rutuba imeisha na pia mabadiliko ya sura ya nchi. Jua pia Ug hutumia sana mazao yenye GMO.
  5. Man Eric

    Ongeza Spidi katika Smartphone/Tablet Yako

    Tanx. Simu yangu sasa imefumuka...
  6. Man Eric

    Msaada tecno W4 nikiwasha data inakua slow sana

    Ni vizuri mtu anapoomba msaada, tumsaidie. Sio kuonyesha majigambo! Kama huna utaalam, basi pita njia.
  7. Man Eric

    Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

    thanx, shatupia
  8. Man Eric

    Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

    Kama haupo mbali na Mbeya, tembelea Rungwe Avocado Company. Ni kampuni inayozalisha maparachichi na miche ya hass avocado kwa kufuata kanuni za kilimo endelevu na huuzwa masoko ya ulaya. kuna wakulima kama 4000 ambao huzalisha kwa mkataba na hii kampuni. miche huuzwa sh 3500/, ekari moja kwa...
  9. Man Eric

    Download Speed: Shkamoo Halotel

    Halotel ni mkombozi. Huko vijijini kulikokuwa hakushiki mtandao wowote, halotel ipo. Maeneo ya Mbeya vijijini, Ileje na Chunya huwaambii kitu halafu net huko inasoma +H
  10. Man Eric

    AZAM DECODER NA LOCAL CHANNELS

    Mpira wa uingereza bure?
  11. Man Eric

    WADADA: "Tunawapiga Pesa, alafu X.Mas Na Mwaka Mpya Tunavaa Ped"

    Aiisee. Kweli inabidi kuwa makini.
  12. Man Eric

    Voda unlimited bundle zimeyeyuka!?

    Huu ni wizi. Kutuibia kimya kimya bila taarifa. Namimi sasa najitafutia mtandao nafuu, nihamue huko ktk ishu nzima za data.
  13. Man Eric

    Tukio gani la kisiasa hutolisahau mwaka huu wa 2015?

    Kipigo kwa wananchi wasio na hatia kwa kisa cha kushinikiza matokeo ya kura kutangazwa kabla ya kuchakachiliwa...
  14. Man Eric

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Nielekeze sasa, so kuni criticize bila hata kuniongoza, wengine sisi vipofu
  15. Man Eric

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Nina Tecno L3, nili lock screen. Sasa mdau ka unlock mara kadhaa. Ime lock jumla. Sasa hapo nafanyaje? Msaada tafadhari!
  16. Man Eric

    Kwa vifurushi vipya vya Tigo na Voda, wenye michepuko kazi mnayo

    Tatizo nini sasa? Wameshawahi kuja kukulalamia juu ya kuzidiwa gharama???
  17. Man Eric

    Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    Hii ni tabia tu... "Majuto ni mjukuu"
Back
Top Bottom