Search results

  1. baby boy17

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huu mwandiko unatia mashaka sana. Especially sentensi ya mwisho
  2. baby boy17

    Nashindwa kumsahau mpenzi wangu wa zamani, moyo bado wamuhitaji

    Kama hauna chemistry weka catalyst itakubali tuu
  3. baby boy17

    Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

    Ayaaaaa ishatoka kwenya masikhara Sent using Jamii Forums mobile app
  4. baby boy17

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo kaimba jamaa flani nadhani alimshirikisa A.Y. Kiitikio wanaimba hivi "Sikikiza wimboooo na historia nakumbuka maisha ya zamani na historia ......." Mwenye kuufahamu anisaidie tafadhali
  5. baby boy17

    Pongezi kwenu Single Mothers

    Mwanamke akishazalishwa anakua anajituma Sana kwenye mapenzi. Sijui hata kwa Nini.
  6. baby boy17

    Sitaisahau hii siku

    Story nimeielewa. Ila dhumuni la story sijalielewa.
  7. baby boy17

    Nisaidieni nahisi nina ngoma

    Hapo sio ukimwi. Utakua umerogwa[emoji6]
  8. baby boy17

    Ni kweli mapenzi yana nguvu

    Ukiona mapenzi yanakupa tabu achana nayo fanya mambo mengine.
  9. baby boy17

    Aliyekudhuru ndo akuhudumie?

    kila nikisoma signature yako huwa nabaki na maswali lukuki.
  10. baby boy17

    INAUZWA Vifungashio vya plastic.

    ubungo mkuu
  11. baby boy17

    INAUZWA Vifungashio vya plastic.

    tutakusaidia jinsi ya kuprint
  12. baby boy17

    INAUZWA Vifungashio vya plastic.

    Tunauza vifungashio vya plastic vilivyo bora kabisa na kwa bei nafuu. Vifungashio tulivyonavyo kwa kiitaalamu vinaitwa plastic zip bag. Vipo vya ujazo tofauti kama inavyoonekana hapo chini na bei yake tumeambatanisha. 1Kg = bei Tsh 580/= @ bag Nusu kilo = bei Tsh 350/= @ bag 140g = bei Tsh...
  13. baby boy17

    My future wife

    hahahaha simple and clear sema unatafuta mchumba
  14. baby boy17

    Nani anastahili msaada wa kwanza hapa?

    hesabu rahisi sanaaaaa chukua kiasi chako cha fedha gawanya Kwa mbili jibu utakalopata ndicho unachotakiwa kupeleka Kwa make na mama
  15. baby boy17

    Mechi hakuna lakini ameniganda kama ruba

    kua mwanaume kaka..... kuku kashaingia kwenye mtego we kamata chinja wala usiongee sana
  16. baby boy17

    Mfaham binadamu wa kwanza aliyegundua kusoma na kuandika

    dah namjua alie yafanya maisha ya science yawe magumu nae sio mwingine ni Newton. na wenzakr kama pascal...... waliobaki vilaza tuu
  17. baby boy17

    Ipi gym nzuri DSM

    Ukipiga Chuma lazima ukaze mku.ndu ukiwa unapiga Chuma kwa mda mrefu razima mku.ndu ukaze kwa muda mrefu mwisho wa siku mku.ndu unalegea na ukilegea tuu ushakosa nguvu
Back
Top Bottom