Search results

  1. billionea alpha

    Nilipoteza kazi akanikataa, sasa anataka turudiane!

    Piga chini, hiyo ng'ombe. Usithubutu kumrudia....
  2. billionea alpha

    Mume HIV+ uko wapi mwenza wangu?

    Pole sana,Mungu akupe haja ya moyp wako.Wenye vigezo watakuja.Amini hivyo....
  3. billionea alpha

    Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Watu wenye lodge na migahawa wanapambania ugali wao.....
  4. billionea alpha

    Nimesikitika baada ya kuona Nigeria ina GDP karibu mara tano ya Tanzania

    Ujasikitika kuona Wanaija ni 200M+ na WATz ni 60M+
  5. billionea alpha

    Huyu mwanamke amekuwa mhitaji sana wa pesa

    Kmmk ,wewe ni fala haswa.
  6. billionea alpha

    Una mipango gani kwa miaka 10-20 ijayo?

    10-20 years ijayo, nataka Forbes wanitambue kama billionea kutoka Tz.Asanteni!
  7. billionea alpha

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Jitafakari ndugu yangu [emoji2],unatia aibu ndugu yangu.kama wewe ujipendi waonee huruma hao wanao na wajukuu zako basi.
  8. billionea alpha

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Huyu jamaa ni bonge la jinga ,na Watu kama hawa ndo mtaji.mkubwa wa CCM.Waarabu wanaona mbali future za watoto zao na wajukuu zao.Kaachini fikiria vyema utajua kuwa wamekosea...
  9. billionea alpha

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Unakuja kutetea kitu usicho kijua!Inashangaza sana!
  10. billionea alpha

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Mahakama walisema hawana uwezo wa kuufuta huo mkataba,na mapungufu waliyaona kama vile :-utowaji wa maoni Ulikuwa ni muda mchache -yaan siku 1 na Watu 7 tuu ndo walitoa maoni.
  11. billionea alpha

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Nanyie mnataka tukilubali?Nyie kinanani nchi hii?Uwezi kukubali upambavu kama huu wa mkataba wa bandari ,ikiwa kichwani ni timamu .
  12. billionea alpha

    Nataka kumuoa huyu binti ila tabia zake zinatetemesha sana

    Chukua kombe Hilo,akizingua unapiga chini.
  13. billionea alpha

    Afghanistan: Taliban waamuru saluni za wanawake zifungwe

    Huko ndo Kuna Raha,mtoto wa kiume unaheshimika.
  14. billionea alpha

    Rate ya wanachuo mtaani ni kubwa, Wazungu njooni mtuajiri

    Ningekuona wa maana ,kama ungesema waweke utaratibu wa mtu kufanya kazi Miaka 10,then unapisha wenzio. Hakuna anayependa, kukaa nyumbani tuu bure bure.Kazi ziwe za mkataba Kwa miaka 10 .
  15. billionea alpha

    Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Kama mwanaume,utakiwi kuwa mwoga wakujaribu na hata ukianguka unabidi urudi tena kwenye mapambano.Mimi nachoongea matarajio yawe Kwa kiasi .. mtu anajua kuwa biashara ya bajaji itamletea 20000 Kila siku, lakini Kuna siku haifikii hiyo hesabu au Kuna service za kufanya n.k Daima usiache kujaribu!
  16. billionea alpha

    Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Hakuna anayependa yamkute ,ila yapo na yanatokea.Kama Ningekuwa mwoga basi nisingekuwa na biashara ya usafirishaji.Matarajio.yasiwe makubwa kupitiliza...Maisha ni kujaribu na kuwa hodari na shujaa mwingi.
Back
Top Bottom