Search results

  1. V

    Mo ndiye hataki kuweka Tsh. bilioni 20 au Serikali ndiyo hairusu mtu mmoja kuwekeza kwenye hivi vilabu?

    Nimekuwa nikifuhatilia kwa muda sana linapofikia swala mtu kutaka kuwekeza kwenye hivi vilabu vya Yanga na Simba panapofikia Mwisho kabisa mchakato kukamilika panatokea mkwamo tena kwa wale wale waliokuwa wanataka mabadiliko mbaya zaidi kufikia hata kutoleana maneno makali ya kutishiana, mfano...
  2. V

    Hii ndoa hainipi amani

    Kwanza Napenda kukupa pole sana kwa unayopitia, kuna tatizo kubwa sana linao msumbua mke wako. > wasiwasi wangu atakuwa na jini mahaba,so linamfanya akuchukie sana, ushauri unatakiwa mpeleke haraka kwenye Maombi hiyo hali itakwisha na atakuwa anakukumbatia mpaka unaona ulikuwa umechelewa wapi na...
  3. V

    Ni kweli Tanganyika tulipata uhuru bila kumwaga Damu?

    Ahsante sana kwa majibu yako mazuri , Ila bado sijapata jibu nililouliza kwa upande wetu Tanganyika na Africa kama ulivyosema tulipewa bahada ya vita ya pili ya Dunia 1918 ila tulisubiri ili tuweze kujitambua kwahiyo wazee wetu walikuwa hawajitambui kabla ya uhuru?
  4. V

    Ni kweli Tanganyika tulipata uhuru bila kumwaga Damu?

    Tulipewa bahada ya huko nyuma kupambana sana siyo hivi hivi tu.
  5. V

    Ni kweli Tanganyika tulipata uhuru bila kumwaga Damu?

    Ukisema hivyo utakuwa unakosea kwani Zanzibar si ilifanya Mapinduzi?
  6. V

    Ni kweli Tanganyika tulipata uhuru bila kumwaga Damu?

    Nimekuwa nikijiuliza sana bila kupata jibu kwani historia inaonyesha tulipata uhuru kupitia kwa U.K. Bila kumwaga Damu, kwani wakina Kinjekitile walikuwa wanapigania nini? Na wakati wanapigana walikuwa hawamwagi Damu? Naomba mnisaidie wana jamvi naamini kuna wengi wanafahamu sana historia ya...
  7. V

    Tanesco makumbusho hii line yenu tumewakosea nini?

    Napenda kutoa malalamiko yangu kama Mteja wenu na ninafanya bihashara hapa Makumbusho stand kwa kweli Meneja wa Tanesco kanda hii tunaomba ushughulikie hili tatizo umeme unakatika masaa hata 24 tunapiga simu wanatupa tu code hawaji kutengeneza kila mara linatokea hili tatizo naomba sana...
  8. V

    Naomba kujua mambo yakuzingatia kwenye biashara ya mtumba

    Mimi nakushauri fanya research kabla yakufanya hiyo bihashara ya mitumba mwanzo mgumu ila ukitulia utafanikiwa nimefanya hii bihashara kwamuda sasa , kama utapenda ushauri zaidi unaweza kupitia hapa Makumbusho stand kwenye maduka ya mitumba
  9. V

    Tukate mzizi wa fitna: Uzi upi mkali?

    Young Africa wewe!!!
  10. V

    Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, AS Vita Club dhidi ya Simba SC, Injinia Ngapi?

    Mnawashindwa Mashujaa mtawaweza Wakongo wazee wa Vumbi!!!
  11. V

    Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

    Mbona hiyo channel hawaonyeshi ya tpa mnatudanganya
  12. V

    Simba mwaka huu marefa wanatuonea

    Hooo ndugu jitahidi kuwa mkweli simba tatizo siyo marefa sasa hivi wanasimba wanacha kulia na uongozi kujipanga next year mnalalamika tu!!! Wewe Jana wachezaji wanabaki na kipa wana piga nje sasa ulitaka refa hawaingizie mpira golini? Ngoma na Tambwe wakipata nafasi kama zenu goli mnalalamika...
  13. V

    Ligi Kuu Bara : Simba SC vs Azam FC

    Tumekuelewa msemaji wa mkia Hajra manara"
  14. V

    Jerry Muro amtusi tena Haji Manara

    Hoo mbona kila hatakachosema muro nikibaya kwenu nyie mikia!!!! Huyo Hiji kutwa kuisema yanga hamumkosoi na mnajua kabisa yanga inacheza mashindano ya kimataifa ndiyo mahana mechi zake zikasogezwa Mbele ila manara kila kukicha yanga hooooooo wanabebwa mpaka kaenda kwa waziri na yeye bila...
Back
Top Bottom