Search results

  1. gidjr

    Mashine za kuondoa sumu mwilini zapigwa marufuku

    Kuna mama mmoja nusu apoteze uhai baada ya kupimwa na kupesa majibu na wanaojiita wataalamu wa hizi mashine, kwanza alikutwa ana moyo mkubwa,figo zote hazifanyi kazi sawasawa, mfumo mzima wa mwili ulikuwa mbovu, dozi laki mbili na nusu. Masharti alopewa yalinishangaza sana, asile nyama...
  2. gidjr

    Tatizo la Ajira (zenye tija) nchini: Ripoti ya Benki ya Dunia na Mikakati ya Serikali ya Tanzania

    SULUHISHO Namba 1 = 3 Kama wanaoleta suluhisho nao pia tatizo hili hilihili limewashinda,tutegemee nini? alonacho ataongezewa na aliye na kichache atanyang'anywa. Hii si hoja yenye kuleta tija juu ya tatizo la ajira. Naungana na ndugu wachache juu ya kulekebisha curriculum packages ya tz...
  3. gidjr

    Tatizo la Ajira (zenye tija) nchini: Ripoti ya Benki ya Dunia na Mikakati ya Serikali ya Tanzania

    Hapana cha maana kati ya hizi njia tatu. Naona namba 1 ni sawa na namba 3. Kama sikukosea mwandaaji wa mada hii hajazingatia vina na mizani. Hapo ameongelae swala moja tu la kilimo mwanzo mwisho. Aisee! mambo ni magumu sana. Hta hao wanaopendekeza mbinu za kupunguza ajira, ajira bado ni...
  4. gidjr

    Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania mjini Dodoma leo

    Tangu mwanzo wa thread sijasikia wananchi mnasemaje kuhusu Mh. Rais kuita kikao kwa kutafuta suluhu zaidi ya ya juice maji, chupa, unafiki na majina kwa kashifa. Sasa kama ndiyo hivi, napata picha halisi ya watanzania walio wengi.
  5. gidjr

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Jaribu kuvitaja hivyo vyakula vya asili mkuu. Hospitali ni mhimu aende,Pia dawa ni mhimu kumeza hasa za kuzuia maumivu ila siyo za kuongeza nguvu.
  6. gidjr

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    1. Hospital 2. Wataalamu wa saikologia kwa ajili ya ushauri nasaha, maana mind ikivurugwa hamna kitu kinachoenda sawa. Ila ili kuzipoteza kumbukumbu za zamani ndiyo hivyo inatakiwa , mazoezi kwa sana , kazi kwa sana, ibada zaidi. Karibu
  7. gidjr

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Kaka kuacha nyeto,simple,ila kuhamisha akili ndiyo swala gumu sana, kwa sababu inatakiwa aache kabisa kuwaza swala la sex kwa sasa ili ku-gain momentum hususani katika swala zima ya tendo na linahitaji utulivu wa kutosha na kujikubali. Ushauri wangu; 1. Inatakiwa mhanga awaone wataalamu wa afya...
  8. gidjr

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    Ushauri wangu kwako, jina lako halifanani na jitihada za ubongo kufikili, may be you put it in other way around perhalps opposite, sijaongelea juhudi za mtu. Nimezama kwenye haki. Just read btn the line. Naamini utaelewa kama sijakosea ushauri hapo redbolded.
  9. gidjr

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    Sawa kabisa ccm imeifikisha cdm hapa ilipo. Lakini si sawa cdm imfikishe zito anakotaka. cdm na ccm ni vyama vyama vya wananchi na siyo cha mtu mmoja. Wewe na mimi ndiye tunawajibika kuutengeneza mustakabali mzuri wa nchi yetu na uwezo tunao. hivyo zzk has got nothing to do with National...
  10. gidjr

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    Kama mashuhuri anatumia MOYO na asiye mashuhuri anatumia JIWE nakubaliana na comment yako, vinginevyo I PROVE YOU WRONG.
  11. gidjr

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    Yesu alikufa ili watu wapate uzima wa milele Hayati Nelson Mandela alisota jela karibu miongo mitatu, mwisho alionekana uhuru ukapatikana. Mahatma Ghand alikuwa akijinyima chakula (fasting) kwa ajili ya haki na uhuru wa watu wake mpaka umauti. Na wengine wengi unaowafahamu wewe, mchango wao...
  12. gidjr

    Shahidi aeleza alivyoingiliwa kimwili na mganga

    Ndugu yangu Muisraeli kuja kwa Yesu sijakataa ila; Mara ngapi hawa wachungaji wa kondoo wamewatumia dada na mama zetu wenye shida kama hizo? Hapa tuombe neema ya Mungu ili kila mtu apate kadili ya matendo yake. Hawa watu wanalengwa na makundi yote ya utapeli mpaka huko makanisani shughuli ni...
  13. gidjr

    Shahidi aeleza alivyoingiliwa kimwili na mganga

    Kwa upande mwingine mjinga akifundishwa anaweza kuwa mjanja, ila unapoita wajinga wakati kuna public figure zili attend samunge, unanitia shaka na hii lugha yako. Kama kuna kiongozi wako wa nchi alifika kule samunge naye ni mjinga? anawezaje kukuongoza? The truth has to be told in the right way...
  14. gidjr

    Shahidi aeleza alivyoingiliwa kimwili na mganga

    Dunia imefikia ukingoni, kuna namna nyingi za utapeli zinaibuka. 1.Hebu tujiulize kuhusu (kamali)bahati na sibu na mazingaombwe (ikiwemo makanisa)ni wangapi wanacheza hata leo? siyo utapeli? 2.Mgonjwa huwa anatapatapa kutafuta tiba, hata wanaomuuguza hufika kipindi nao wanakuwa wagonjwa...
  15. gidjr

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    Kama ZZK ku-gain politically, yupo fit na he has done his job men. Kufa ni kufa fine, ila unakufaje? Tufumbe macho wakati watu wanaumia? simply kwa sababu ni kufa. Kila mtu ana haki ya kuishi.
  16. gidjr

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    Aliyejitolea alijaza kurasa mbili ikiwa naye alizungumzia general. Ungeuliza specifically, ungepata jibu , kwani aulizaye anataka kujua.
  17. gidjr

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    Forgive is for men and divine is for heaven. Nisamehe ndugu yangu cause sikuiona hii motion. Kweli hili ni tatizo sugu la kuchukua sheria mikononi hapa nchini. Ila pia kuna sababu zinazofanya watu wafanye hivyo. Inauma sana unapompeleka mtuhumiwa leo na kuona kesho yuko huru bila muafaka sabili...
  18. gidjr

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    The issue is like this, the motion brought forward was the perplexity death of our beloved sister Betty. You were suppose to chance it and give it weigh beyond reasonable doubt. The matter on the suspicious death of so called two men were suppose to brought by you inhere so that to be discussed...
  19. gidjr

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    Uko sahihi kabisa ndugu yangu. Ila ilitakiwa uwe specific zaidi. Swali hili la Betty ni nani liko too general, tunaweza kujaza kurasa. Hayo ni maoni yangu kwako.
  20. gidjr

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    Utangulizi ulitolewa vyema tu na mleta mada, kuwa Betty alianza elimu yake majengo, akaenda udom, akaishia kwenye uanamitindo... je ulitaka nini zaidi ili uguswe na kifo cha binadamu mwenzako? Naamini utaridhika na majibu na tuendelee na mada.
Back
Top Bottom