Search results

  1. babo

    Nawezaje kuweka Whatssap kwenye TECNO T635?

    Ila naona kun watu wana sm kama hii wanatumia Whatsap
  2. babo

    Nawezaje kuweka Whatssap kwenye TECNO T635?

    Nina simu aina TECNO T635, nashindwa kudaniload whatsapp ktk hii cm, kwa anaefaham anielekeze.
  3. babo

    Ving'amuzi vina kamera za kumchunguza mmiliki?

    Wanaobisha jambo hili hawajui maana ya sayansi na tecnolojia. Hivi sasa dunia ina sayansi ya hali ya juu hata ukiambiwa ukweli kwa akili za watu zilivyo finyu, huwezi kuamini. Jambo hilo linawezekana sana kuwepo. Uwezo wa wazungu kufikiri usalama wao ni tofauti na uwezo wa mwafrika kufikiri...
  4. babo

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Kumbuka na utahakikisha magamba ya nyoka waamue mambo 2. Wamnyime comred lowasa chama kife au wampe lowasa ukawa ishindwe. Msumali ni wa jk. Kutema na kumeza anashinswa.
  5. babo

    Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

    Ukweli ulio wazi hizi shule ni majanga hata jk anjua. Ni uozo na uongo shule ina wnfnz 500 walimu 10 hapo mwl wa sayansi hayupo kwa mda wa miaka 6. Wiki 1 wanasoma somo 1. Tena kiswahili. Alafu tunajifariji kwa mambo ya kijinga. Eti matokeo makubwa sasa fulish.
  6. babo

    Ni kweli kuwa mwanamke hawezi kutunza siri kuliko mwanamume?

    Hilo unalosema ni kweli mm mke wangu nilimwambia sri lkn cj ya ck
  7. babo

    Tangazo la Kazi

    Mwisho lin ndg
  8. babo

    Msaada kuroot LG E405

    Poa kiongozi,ila nilitaka kuroot bila kutumia computer,kwa hapo inakuaje
  9. babo

    Msaada kuroot LG E405

    Naombeni msaada jinsi ya kuroot lg e405,kwa anae fahamu anipe msaada
  10. babo

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Mim natumia lg e405 ss natumia lin zot za TZ hii ipo poa au nikienda nje ya nch itazingua locked,msaad
  11. babo

    For JamiiForums Mobile users

    kumbeipokazi
  12. babo

    For JamiiForums Mobile users

    [color=red]kweli kazi ipo[/color=red]
  13. babo

    Naomba msaada tatizo la storage space kwenye simu ya tecno

    Msaada jinsi ya kuhamisha vitu kutoka kwenye system memory kwenda ktk internal memory,cm yangu ni LG_E405
  14. babo

    Naweza kuweka mfumo huu kutumia media com receiver ?

    Start gold hiyo haina mwez kam zingin,make ulivyo sema mpira nimeipend san hiyo receiver
  15. babo

    Jifunze njia rahisi ya ku-root simu

    Bona inagoma mkuu,cm yang ni LG-E405,nimedownload nimeinsult ikaleta insult superus alafu ikaleta gandalf,hapo nikijarbu inaandika failed,nipe mwongoz wadau niingie nami
  16. babo

    Naweza kuomba chuo gani kwa alama hizi

    Asant,kwa sasa naweza kupata nafasi au nimechelewa
Back
Top Bottom