Search results

  1. D

    Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

    Mkuu apply chuo kizuri sana,hata ndugu zangu watatu wanasoma sasa
  2. D

    Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

    Mkuu usiwe na wasiwasi,ajila ziko nyingi sana mimi mwenyewe nimesoma bachelor open na nikawashinda wao unaowasema wa vyuo vingine,na kuna jamaa angu nimesoma nae na sasa ni anafundisha mzumbe university sheria.
  3. D

    Mbeya accommodation

    Ndugu zangu wana jamii nimepata safari ya kikazi mbeya lakni nataka kusafiri na familia yangu,ni wapi nitapata apartment ambayo naweza kukaa kwa Amani hapo mjini kwa bei nafuu.
  4. D

    Mwongozo wa Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Mini Supermarket

    Wanajamii naomba kujua vigezo vya kuanzisha biashara ya supermarket.Pia naomba kujua wapi nitapata shelfu vike za chuma za kuwekea vitu kwa bei nzuri,naombeni msaada wenu.
  5. D

    Msaada madirisha ya aluminium

    Wanajamii natafuta sehemu ambayo wanategeneza madirisha ya aluminium ya ukubwa wa 5*6 kwa garama nafuu,napatikana dodoma nahitaji madirisha 10.
  6. D

    Mashine za kuchimba visima

    Ndugu wana jamii naomba msaada kwa mtu mwenye utalaamu au aidia kuhusiana na aina yoyote ya mashine za kuchimba visima ambayo inafaa kibiashara kwa ajili ya kuwachimbia watu kama biashara yenye garama nafuu.na garama ya hyo machine na kuhusiana na garama zingne kama inawezekana.
  7. D

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Wana jamii wenzangu nawekaa hii mada tuweze kupeana ujuzi kuhusiana na hii technology inayotumika na mataifa ya nje kulisha mifugo Yao kwa mazao bora yanayotokana na hiyo mifugo,si hivyo tu hata majirani zetu kenya wameanza kutumia hii njia katika ufugaji.mwenye ujuzi kuhusu hii kitu naomba...
  8. D

    Msaada: Duka la nguo za watoto

    Wapi nitapata hii bidhaa kwa bei nafuu?
  9. D

    Mashamba yanapatikana

    Mkuu wadau wa mashamba tunahitaji bei kwa ekari moja .
  10. D

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    NASHUKURU NITAKUTAFUTA ILI NIWEZE KUFANIKISHA HII BIASHARA
  11. D

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu kwa wana jamii forum kwa misaada ya kimawazo tunayopeana,pili naomba kufahamishwa vigezo muhimu vya kufata wakati wa kufungua duka la dawa muhimu maana nasikia kuna masharti mengi sana pamoja na kujuana.naomba msaada wenu wandugu.
  12. D

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Nashukuru sana mkuu kwa maelezo yako, vp kwa huo mzigo mkubwa wa semi trailer kwa utalaamu wako ukisafirisha kuuza Dodoma utakuwa na faida nzuri? Na vp kuhusu garama za usafiri hadi Dodoma?
  13. D

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Nashukurun kwa maelezo yako kwani yamenipa mwanga sana,kwa utalamu wako kati ya hizo njia tatu za ununuaji ni ipi ambayo ni rahisi na inaleta faida nzuri zaidi?
  14. D

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Nashukuru sana mkuu kwa maelezo yako,vp kwa huo mzigo mkubwa wa semi trailer kwa utalaamu wako ukisafirisha kuuza dodoma utakuwa na faida nzuri? Na vp kuhusu garama za usafiri hadi Dodoma?
  15. D

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Wandugu naomba msaada kwa mtu mwenye aidia ya biashara ya mbao kutoka iringa na kusafirisha kuuza mikoani, natanguliza shukurani.
Back
Top Bottom