Search results

  1. K

    PSSSF ziko wapi Billion 14 za Rais Samia alizolipa kwenu kwa ajili ya Wastaafu wa ATCL

    PSSSF Pesa alizolipa Rais Samia kwenu kwa ajili ya wastaafu ATCL walipeni wazee hawa au mnataka wafe.
  2. K

    PSSSF ziko wapi Billion 14 za Rais Samia alizolipa kwenu kwa ajili ya Wastaafu wa ATCL

    Raisi Samia Suluhu Hassan alilipa billion 14 za mapunjo ya madai ya kustaafu waliokuwa wafanyakazi wa Air Tanzania Company Limited tarehe 27/12/2023 kwenye mfuko wa PSSSF. Hadi muda huu ni asilimia thelathini tu ya Wastaafu ndio wamelipwa wengine wanapigwa dana dana hawalipi. Hawa ni pamoja...
  3. K

    Bunge litaendelea kutunga sheria za kibaguzi hadi lini?

    Duh. Hatari. Aliyenacho anaongezewa. Ukweli ni kuwa wenza wa viongozi wastaafu wanaishi katika pepo na sasa wanaongezewa sijui waende wapi. Anyway walipeni basi wastaafu wakawaida wanaohangaika na bunge mmeshindwa kuwatetea. Narudia lipeni madai ya wastaafu wananchi wa kawaida. Bunge, Serikali...
  4. K

    Muswada wa wenza wa viongozi kulipwa mafao ya kustaafu umepita vipi; mbona madai ya wastaafu Posta na ATC hawalipwi?

    Inawezekana wewe ni mmoja wanao nugaika na michango ya wastaafu kwa kilipwa posho ndio maana unaita usumbufu madai halali ya wazee wastaafu. Mungu anakuona japo wazee hawa hawakuoni. Endelea kula pesa za wastaafu.
  5. K

    Muswada wa wenza wa viongozi kulipwa mafao ya kustaafu umepita vipi; mbona madai ya wastaafu Posta na ATC hawalipwi?

    Bunge limepitisha haraka mswada wa kulipa mafao ya kustaafu wenza wa viongozi. Huzuni kubwa ni kuwa bunge limeshindwa kuibana serikali kulipa madai ya kustaafu wastaafu wa Posta na ATCL. Madai halali hayalipwi lakini tayari sheria inatungwa kuwaongezea mafao katika maisha ya wenza wa viongozi...
  6. K

    Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Hii nchi aliyenacho huongezewa asienacho hupokwa zaidi. Bunge limepokea msaada na kuupitisha ili wenza wa viongozi wastaafu walipwe mafao ya kustaafu. Sio vibaya kwa kuwa hoja ina mashiko kwa wahusika na ilitolewa na mmoja wa wanufaika aliomo bungeni. Wananchi wa kawaida waliofanya kazi na...
  7. K

    Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

    Walimu 6 wa Jangwani Sekondari jijini Dar es salaam wamemhukumu kwa kumchapa makalioni fimbo 20 mwanafunzi wa kike wa kidato cha tatu na kumjeruhi vibaya kwa tuhuma za kuwa alionekana ameshika simu. Mwalimu aliyesema hivyo alimvua nguo na kumpekua kila mahala na hakukuta simu. Alimchukua hadi...
  8. K

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Rais tunaomba ulipe madeni ya PSSSF kwa wastaafu ATCL. Kila siku watendaji wako wanasema suala liko hatua ya mwisho. Wapo wasio watiifu wizara Ujenzi na Uchukuzi na wapo muda mrefu. Marehemu John Kijazi akiwa Katibu Mkuu Kiongozi aliwahi kukemee tabia hii ya dharau na kuitaka wizara hii kulipa...
  9. K

    ATCL bado kulipa madai ya wastaafu wake tofauti na inavyoelezwa na Serikali

    Hili ni jinamizi linalo isumbua serikali kwa wasaidizi wa Rais kuto kuwa watendaji wa haki kwa wasio na mahali pa kupazia sauti.
  10. K

    ATCL bado kulipa madai ya wastaafu wake tofauti na inavyoelezwa na Serikali

    Hadi sasa ATCL (kwa maana Serikali) bado kulipa madai ya wastaafu wake japo kila wakati serikali inasema imelipa madeni ya ATCL. Inasikitisha kwa kuwa suala la malipo lilisemwa lipo katika hatua ya mwisho katika bunge la January/February, 2022. Inasikitisha mno pale ambapo inazidi kuelezwa kuwa...
  11. K

    Arusha, amuua kaka yake kwa kisu baba yake akishuhudia

    Mauwaji ya Arusha yananikumbusha yale ya mwishini mwa December, 2021 ambapo mama Jane Rose Dewasi aliuwawa pale Njiro Arusha. Hadi sasa ndugu wa marehemu wanataka kujua polisi wamefikia wapi kuhusu upelelezi kwa kuwa serikali ya mtaa haijui lolote na haijapata mrejesho toka polisi.
  12. K

    Mwalimu wa Hisabati Shule ya Sekondari Jangwani uwezo wake kufundisha mdogo, aondolewe

    Kutokana na maelezo ya baadhi ya walimu, wazazi na wanafunzi wa Jangwani Secondary School yupo mwalimu wa Hisabati uwezo wake wa kufundisha madarasa ya juu secondary ni mdogo. Mwalimu huyu anawaburuza tu watoto hata kama hawajaelewa yeye anaswaga tu. Uwezo wake wakuwaelekeza wanafunzi ku solve...
  13. K

    Polisi Arusha tendeni kiweledi upelelezi mauaji ya Jane Rose Dewasi pale Njiro

    Ukweli upo wazi kijana marasta wa mareheme Jane inabidi achunguzwe kwa sababu vipo viashiria vinaelekeza kumtilia shaka katika mauwaji haya. Hata baada ya kifo cha mama yake mlinzi aliyopo sasa anapitia wakati mgumu wa kuviziwa na huyu kijana kwa lengo la kutaka kumdhuru.
  14. K

    Polisi Arusha tendeni kiweledi upelelezi mauaji ya Jane Rose Dewasi pale Njiro

    Inasikitisha kuona hadi sasa polisi Arusha waneshindwa kupeleleza kitaalamu mauwaji ya mama Jane Rose Dewasi yaliyotokea kwa kupigwa kwa kitu kama jembe kichwani akiwa nyumbani kwake pale Njiro. Hadi sasa wapelelezi wamebadilishwa na kufikia watatu lakini hakuna kinacho endelea. Kuna nini...
  15. K

    Darasa la saba waanza Mitihani

    Mungu wabariki watoto wetu. Wastani wa kila Watanzania 60 mmoja ni darasa la saba.
  16. K

    Wastaafu ATCL bado hawajalipwa licha Waziri Mkuu kueleza umma vinginevyo

    Ni lini itatokea wastaafu kuthaminiwa iwapo serikali haioni umuhimu wao.
  17. K

    Wastaafu ATCL bado hawajalipwa licha Waziri Mkuu kueleza umma vinginevyo

    Inasikitisha wastaafu hawa wanapungua zaidi ya kumi na wamefariki. Jana 6/09/2021 amefariki mstaafu mwingine Medhod Barabara Hii inasikitisha sana kwa kuwa kama angekuwa amelipwa madai haya ya mafao yangemsaidia kupata matibabu stahiki. Sio yeye pekee na wengi wa hao waliofariki ugumu wa kupata...
  18. K

    Wastaafu ATCL bado hawajalipwa licha Waziri Mkuu kueleza umma vinginevyo

    Muda usiopungua miaka kumi na hadi sasa wapo wastaafu wa Air Tanzania Company Limited wanadai mafao ya PPF sasa PSSSF hawajalipwa. Wastaafu wa ATCL wanadai haki yao kwa kuwa walikatwa kutoka katika mishahara lakini haikupelekwa PSSSF (PPF) hivyo kuwafanya waambulie mafao kidogo wakati wa...
  19. K

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    hongera sana raisi Samia Suluhu Hassani. Baada ya pongezi kwa kazi nzuri napenda kukumbusha kuwa baadhi ya watendaji na wasaidizi wako hawanania ya dhati kuona wananchi wanafurahia uwongozi wako hivyo huzalisha chuki kwa serikali. Mfano ni kuto walipa Wastaafu wa ATCL madai yao. Najua hili suala...
  20. K

    Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

    Raisi alitoa mfano tu wa huyo askari mchapa kazi lakini jukumu kamuachia IGP Sirro kuhakikisha usalama wa Dar unaimarika amrudishe huyo askari au hapana ni jukumu la IGP.
Back
Top Bottom