Search results

  1. A

    Orodha ya Majimbo ambayo CCM wameyapoteza mpaka sasa

    Kwa utafiti upi ulofanya hapa kama sio ushabiki tu! Kuna wabunge viazi tu wa ukawa na wamepita kwassb ya upepo huu wa sasa wa kuwatumia vijana vibaya! Hivi watu ka sugu utanambia wanauwezo wa kujenga hoja! Tuache ushabiki nina uhakika kuna wabunge wazuri tu ssm this tym na impact itaoneka tusubiri
  2. A

    Mke wa Mtikila ataka iundwe Tume kuchunguza kifo cha mumewe, Lowassa, Sumaye na Mnyarwanda watajwa

    Umetumia maneno makali as if unajua huyu mama anatumika, sidhani kama uko fea kwa maneno ulotumia otherwise useme una uhakika kabisa na kifo misingi yake, Mungu aendelee kumpa wepesi mama mtikila
  3. A

    Tukiwachagua CCM ni aibu hata kwa majirani zetu na dunia

    Magufuli atashinda mapema sana watanzania wengi wamemwellewa sana! Ukweli ni kwamba historia ya el inatukwaza wengine tunao fikiria mbele zaidi, wapo baadhi ya watu wachache sana ukawa ambao nawaamini lakini kwa aina ya hawa akina mzee kingu na Mr 0 hakika ikulu hamchomozi hata iweje. Magufuli...
  4. A

    Njia hii Sio ya Ikulu ni ya kuzimu!

    Wananchi gani wameamua,? Sema nyie wavivu wakufikir na kuchanganua mambo mnaopelekwa kwa nguvu ya viroba ndo mmeamua, kwakuwa tupo wote subiri uone kama magu hataingia ikulu tena kiulaini kabisaaa
  5. A

    Magufuli: Natambua kuna ambao ni wanaCCM mchana halafu usiku ni wapinzani!

    Acheni uongo wenu hata sisi twaangalia TV hakuna hizo mambo bhana jamaa yuko ngangari kichizi sio kinanii,
  6. A

    Wapinzani wajiandae kisaikolojia, takwimu hazidanganyi

    Hapana Shaka kwa takwimu hizo magufuli atashinda kiulaini
  7. A

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Hakuna anayemponda watu wanazungumzia Khali yake, it's true that mzee is unfit to run the nation, sote twaliona hilo sema twajitoa fahamu, huo ni uvivu wa kufikiri, tuache ushabiki tuwe wa kweli,
  8. A

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Mmeshikwa pabaya si mchezo, hizo kauli zako wewe tu isidhani wananchi hawajui na hawahitaji Rais aliye fit, kazi ya urais si lelemama, tuache ushabiki tu wakipuuzi
  9. A

    Kura za Dr. Magufuli dhidi ya Lowassa

    Ccm imejipanga hakuna utata aisee magufuli kushinda mbona kawaida aisee, magu atashinda kiulaini sana
  10. A

    Yaliyojiri viwanja vya Furahisha Mwanza: Mkutano wa kampeni ya Dr. John Magufuli - Oktoba 17, 2015

    Hakuna tatizo watu kusafirishwa, acha wawezeshwe kwenda Kusikiliza sera hamna mbaya wala, tulieni dawa ya ukawa inachemka
  11. A

    Yaliyojiri viwanja vya Furahisha Mwanza: Mkutano wa kampeni ya Dr. John Magufuli - Oktoba 17, 2015

    Hakuna namna wasombwe wasisombwe yote Kheri tu, ukweli mchungu sana magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano
  12. A

    Kwa haya ya Mwanza, kuna bomu linatengenezwa

    Mwambie huyo, sisi tumeshuhudia mikoa kibao tu watu wanawezeshwa tena ukawa ndo usiseme, kuwawezesha watu kuja kusikiliza sera sio tatizo
  13. A

    Magufuli atokwa na Machozi Kifo cha Deo Filikunjombe

    Unasikitisha crashwise, msiba ndo ushatokea ni mipango ya Mungu, mbona hata wengine wamefariki aisee leo tukianza kuulizana ati ccm walishindwa kufanya,, tutakumbushana mengi tu hata ya cdm, tumwombe Mungu rehema zake tuvuke salama
  14. A

    Magufuli atokwa na Machozi Kifo cha Deo Filikunjombe

    Jamani kuchanganya siasa na ajali ni kuchoka kufikiri huku, Mungu akipanga yake hakuna mwanadamu anaweza kuzuia, ifike mahali tufikiri kwa kina. Kutumia misiba kama rungu la kuipiga ccm ni kushindwa kufikiri sawa sawa, ajali ngapi na vifo vimetokea leo hii mnaleta siasa katika jambo muhimu kama...
  15. A

    Deo Filikunjombe, Capt Slaa ni sababu nyingine ya kwanini sitaichagua CCM kabisa

    Nimegundua leo watu tunaweka siasa na maslahi yetu mbele, kwelii ajali ikipangwa na muumba kuchukua wema wake kuna mtu atakaye pinga?? Leo hii watanzania tunaingiza siasa, tunaitumia ajali kama rungu la kuipiga ccm hakika tumechoka kufikiri sasa, mtikila kafariki kwa ajali, Mtoi pia, lembeli...
  16. A

    Picha: ''Kufuru'' ya Magufuli katika uwanja wa Mnazi Mmoja, Zanzibar

    Hakuna Shaka magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano, chini ya magu tz itakuwa salama zaidi
  17. A

    Msimamo: Kama hakuna kulinda kura, hatupotezi muda kupiga kura!

    Tatizo la ukawa ni kuwa wanene tu ndo wanafaidi hawa wengine wanalipwa kiduchu safari hii mawakala watakua na neema hamna namna otherwise walipwe vyema wafungwe Kamera na traka juu ili kufatilia mienendo yao kama mnawasiwasi nao hahahaha, mtakaa ukiwa
  18. A

    UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

    Hakuna vita itatokea hapa, kila mtu atii sheria bila shurti, game bado haijachezwa watu wanaanza kusanda, ni uoga tu unatusumbua kama hatujajiandaa kushinda hatushindi, kuna mechi waamuzi wananunuliwa lakini huezi amini mtu anakula kichapo kama kawa! Kwahiyo tuwe wapole wavumilivu
  19. A

    Vijana wamesimamisha Msafara wa Magufuli

    Kusomba watu ni njia sahihi kabisaaa ya kuhakikisha watu wanafika kwenye eneo la tukio la kusikiliza sera, mbona el anawasomba pia, tena sana tu, kikubwa waje wasikie sera, sasa mzee wetu el yeye hata dk 5 tu haziishi hatumwelewi
  20. A

    Vijana wamesimamisha Msafara wa Magufuli

    Kusomba watu ni njia sahihi kabisaaa ya kuhakikisha watu wanafika kwenye eneo la tukio la kusikiliza sera, mbona el anawasomba pia, tena sana tu, kikubwa waje wasikie sera, sasa mzee wetu el yeye hata dk 5 tu haziishi hatumwelewi
Back
Top Bottom