Search results

  1. O

    Unapishana na mkeo bafuni guest house unaanzaje???

    Mi naona hapo ngoma droo, inategemea, kama ilitokea tu bahati mbaya, tusamehane tuendelee kulea watoto, kama ilikuwa ni kwamba kila siku choko choko haziishi ndani ya nyumba, bora kila mtu hapo achukue time yake. Samahani kutoka nje ya topic, we ni Nyani Ngabu? Au ume-copy na ku -paste...
  2. O

    Huyu mtoto huyu!

    Kamefanana na baba yake kila kitu, labda ndo maana nakenyewe kamempenda mama wa baba yake, kama baba yake alivyompenda mama yake
  3. O

    Kivazi cha Maunda Zorro Balaa

    Yesu wangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mimi nilivyoitazama nimejisikia niko uchi.
  4. O

    Hii ni kwenu nyie kina dada.

    Hamna lolote hapo kwenye nyumba ndogo, maana mbona hata hizo nyumba ndogo huwa zikiolewa zinaachwa,kidume kinaenda kutafuta tena nyumba ndogo si kingekuwa kinamfanzia mume wake manjonjo mpaka hasiende nyumba ndogo.
  5. O

    Mwanamke afariki baada ya kufanya mapenzi nje Ndoa

    Ni lini wake zetu watatulia? Siku mtakapo wapenda, kuwawajali na kuwaheshimu na kuwaonyesha kuwa mnawapenda, kuwajali na kuwaheshimu
  6. O

    Natafuta mchumba au rafiki

    Mh. ndugu mbona unamshtumu mwenzio bila hata sababu, alie-post hii thread ni Meale
  7. O

    I love you!

    Halafu NAKUPENDA sounds superior
  8. O

    I love you!

    Uproarious. U made ma day. And what about I luv U to u'r bf
  9. O

    I love you!

    Wewe huwa unasema wakati gani? Bora hata cc wanawake huwa tunajitahidi kulisema. Maana hapa umesema wife huwa analisema wakati wa chakula cha ndoa je wewe ni wakati gani?
  10. O

    In Memory of all those who love their bosses !

    Inaonyesha boss alikuwa mkorofi sana, na labda ofisini walikuwa wawili 2 yeye na boss wake na kuna malipo yamefanyika kwa hiyo itakuwa ni halali yake kwa hiyo sio tu kwamba anataka kusikia kwamba boss amefariki dunia bali alivyopata utajiri maana si kawaida.
  11. O

    Mume wa mtu ni sumu!

    wewe ni mmoja wa wanaofanya huo ujHinnga nini? maana ake iko kama vile imeku-touch kiaina
  12. O

    Wazazi wengine wanashangaza

    Wanapendana nini wakati mume alisham-cheat. Na kama wanapendana mbona mume ameweza kuwasiliana na huyu mwanamke mwingine mpaka kufikia hatua ya kutengana au upendo umekuja ghafla baada ya kuludiana na mbona bado hawajaludiana kwa sababu wazazi wa mke hawamtaki mume. Au una-mbania tu huyu...
  13. O

    Ukishangaa ya musa

    Imenichekesha saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana tu jamani!!!!!
  14. O

    Lady Jay Dee ajibu hoja ya Wakurya!

    Mimi ndo ningekuwa Jide ningemfungulia huyo mtu mashtaka ya kuniita muuaji, halafu akifika huko athibitishe uuaji wangu. Hii ingekuwa ni fundisho kwa watu wote wanaopenda kulopoka, kwa maana huyo kijana au m-baba inaonyesha alilopoka. Sidhani kama Jide aliukana ukurya kiasi hicho yeye...
  15. O

    Hey guys, look how perfect they match.

    Makubwa kaka!
  16. O

    Hili nalo ni Kaburi ati!!

    Linaongelewa kaburi, unamaanisha nini kuanika 2012 sio mbali
  17. O

    Haya jamani kaburi/mazishi ya Balali haya hapa!!

    Yeye kasema kaburi la balali hili hapa, yaani kamaanisha lipo hapa na sio kwamba anauliza
  18. O

    Adhabu nyingine bana?

    Hawezekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kama ni kweli huyu mwalimu anatakiwa ashitakiwe. Maana akiwakanyaga na hiyo toyo take si vidole vitapondeka pondeka jamani.
  19. O

    Felician Barongo wa Mzumbe University

    Wanaume wapo hila inavyoonyesha huwa anawafanyia makusudi tu wanawake hasa wale ambao anakuwa anataka kuwafanyia huo ufisadi.
  20. O

    Accused of Breaking up Marriages and Dating Married Men, Sexy Actress Mercy Johnson B

    Kuna ubaya gani kupewa habari za ma-celebritie, iwitoshe ameileta mahali panapofaa yaani panapo tuletea habari za ma- celebrities binafsi nampa shavu mbonea kwa hii thread. Thanxs mbonea.
Back
Top Bottom