Kuna uwezekano akatakiwa alipe fedha yote aliyowapa wabunge wasio na Chama ikiwa ni Pamoja na Mishahara na posho zote walizopokea pasipo uhalali. Huu ni uhujumu uchumi.
Nimesoma thread inayoeleza kuhusu Kenya kusaini MoU ya ufundishaji Kiswahili Afrika ya Kusini kama hili ni kweli imenihuzunisha sana. Nchi yetu ina walimu wengi sana wa kiwango cha Umahiri(MA) Kiswahili na wanafundisha shule za msingi na sekondari (O level) baadhi ya walimu hao walishajisajili...
Naomba kujuzwa kwa waliokuwa wanafuatilia hotuba ya rais wakati wa ufunguzi wa mkutano wa cwt. Je amegusia suala lenye utata la watumishi waliopanda madaraja 2016 n'a baadaye kusitishwa ili kupisha zoezi la uhakiki?
INAUMA SANA, JAMANI CWT NA TUCTA MKO WAPI? KUNA WATUMISHI WALIKUWA NA MIKOPO BANK, HESLB WAKAJA NA 15% WAKAFYEKA BAADHI YAO KWA SASA WANA MISHAHARA YA 20,000/= NA CHINI YA HAPO, TEGEMEO LILIKUWA MALIMBIZO YAO NA MSHAHARA MPYA MWEZI HUU. LAKINI KWA YANAYOKEA MATUMAINI KWA MTUMISHI YANAFIFIA.
Kuna taarifa iliyoletwa humu toka kwa katibu mkuu utumishi kwenda kwa maafisa utumishi ikiwataka wafanye marekebisho ya barua walizonazo watumishi ambazo walikabidhiwa tangu mwaka 2016 baada ya kupanda madaraja na baadaye kusitishwa ili kupisha zoezi la kuwaondoa watumishi hewa n'a wale wenye...
Ni takribani wiki tatu sasa tangu katibu mkuu utumishi autangazie umma kuwa watumishi 450 waliokuwa wamekata rufaa wameshinda nà kutakiwa warudishwe kazini. Kwa masikitiko makubwa baadhi ya halmashauri hadi leo tarehe 1/8/2017 hazijawaandia watumishi hao barua za kurudishwa kazini...
Kumekuwa n'a kudhani kwingi sana baada ya statement ya Rais kuwa kuna mtu alimteua anajiita Prof wakati ni Dr. Wengine wanasema alimaanisha Muhongo wengine Ntalikwa n'a wengine Kafumu. Sasa ni nani aliyeongelewa n'a Rais? Mwenye jibu tafadhali tuondolee utata huu.
Hivi hukumu hii itakuwa ya haki wakati waathirika hawajapewa haki ya kusiklizwa kuhusu yaliyomo kwenye rufaa zao. Ingefaa wakapewa nafasi ya kujieleza kwasababu wapo tayari kwa lolote ili kutetea haki zao.
Muendelee kuwa kazini mpaka pale waajiri wenu watakapowaandikia barua za kuwafukuza kazi. Je wakurugenzi mudà utapofika watakubali kuandika barua hizo au watasema agizo limeshatolewa na mkuu wa nchi.
Ninaishauri NECTA katika kutatua rufaa hizi ifuatilie majalada ya watumishi katika ofisi kama za TSC makao makuu ili kujua watumishi hao walitumia vyeti gani wakati wa kuajiriwa. Maana tatizo hapa ni kuwa mtumishi alighushi ili kujipatia ajira, kunufaika kielimu na kupanda cheo kazini.
Dunia imetuangukia, mipango, mikakati na taratibu zote za maisha zimecollapse. Watoto wanashangaa furaha ndani haipo tena, baadhi ya watu wanafurahia kuwa sasa ataishi kama shetani. Kuzoea maisha bado muda ni mfupi sana. Mungu tia moyo wa ujasiri kwa watu hawa kwani hawana Kimbilio jingine bali...
Waziri Kairuki fanyia kazi ushauri huu tafadhali. Pia mwenye email adress au namba za Mh waziri au katibu mkuu utumishi aziweke ili niwatumie ushauri huu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.