Search results

  1. ALU-MASOLI

    Rais Magufuli amemteua Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

    Hongera zake. Akatende kazi ya kuwatumikia Watanzania
  2. ALU-MASOLI

    Uchaguzi mkuu BAWACHA kutoka Mlimani city

    He is logical a bit ila inabidi tiache ule uchama zaidi na kufocuss national interest
  3. ALU-MASOLI

    VIDEO: Kakobe aongoza maandamano ya Kanisa lake

    What impact has he made to the society
  4. ALU-MASOLI

    Uganda yaishutumu Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete juu ya EAC

    Wanatu'undermine sana haawa jamaa its time to stand up and fight for what we believe and we are capable of. Lets not be driven.....
  5. ALU-MASOLI

    DOCTOR: Kwa Damu yako hii na Mke wako, Kamwe Hamuwezi kupata mtoto/watoto!

    You are details are true mkuu, thats waht I do understand too. Ila hiyo fact ya doctor i dont know for real. Kimsinginahisi kuna masuala mengine ila ishu ya blood groups kuwa sawa mhhhhh.....lets make more indepth research and see............ :)
  6. ALU-MASOLI

    Fatma Almasi Nyangasa kuwa makini, aliye karibu na rais ni mkuu wa jeshi la ulinzi

    ulimi hauna mfupa ila next time aconcentrate anapokuwa kazini
  7. ALU-MASOLI

    Vichwa vya hadithi enzi hizo premary

    Siku ya gulio katerero
  8. ALU-MASOLI

    Huyu dada yangu nimeshindwa kumwelewa kabisaa.

    Be straight with her if u want to help her help her in the way u'r conscious tells u its right
  9. ALU-MASOLI

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    Hii ndio tanzania yetu lets fight for the right thing ila tusifuate mkumbo coz kuitafuta haki in the wrong way is also wrong
  10. ALU-MASOLI

    VIDEO: Kilichotokea Chuo cha Uhasibu Arusha, Lema alivyowatuliza wanachuo

    Sijaiona hii video may be check vizuri na uwe sure na hi link
  11. ALU-MASOLI

    Naombeni ushauri kuhusu zoom tanzania kabla sijafanya maamuzi

    Before doing anything or taking any legal or other measure kasome kwanza terms and conditions za kutumia link ya zoom halafu unaweza ukaongea nao kuhusu privacy ya CV zetu coz unaweza kuchukua hatua kumbe kila kitu kiko open kwenye terms and conditions. So better do that and see to them first...
  12. ALU-MASOLI

    Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

    any way angetoa ushauri tu kwamba maambukizi sasa yako juu generally bila kurefer clients wake nna wasiwasi anaweza kukutajia kabisa ni kina nani hao walioenda kupima kwake confidentiality is needed the most
  13. ALU-MASOLI

    Anahitajika accountant

    Jina la kampuni kaka am sorry for asking but ishatokea tunatuma cv to untrusted people af wanaanza kusumbua kwenye eamil zetu na kutupigia cm kwa mambo yasiyo na mantiki
  14. ALU-MASOLI

    Selection upload TCU

    Tupia ya MBB na Geology mkuu
  15. ALU-MASOLI

    Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

    ninaimani na jeshi la tz hawawez kutuangusha mungu ibariki TANZANIA
  16. ALU-MASOLI

    Kwa wahasibu wetu: Nyumba ni 'Asset' au 'Liability'?

    Hata nyumba unayoishi still ni asset coz th benefits u'r getting is th cost u c'd've rented somewhere else
  17. ALU-MASOLI

    Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

    Mi naomba nipingane na wewe. Nimshauri Dr. afokas kwenye mbio za urais na harakati nyingine za Chama. Kugombea jimbo hilo ataonesha ana uchu wa madaraka coz there others who can stand for that post. He better stays behind
  18. ALU-MASOLI

    Picha na maelezo: Kikao cha Marafiki Wa Regia BC

    Mungu awabariki sana kweli hivyo mtakuwa mnamuenzi na mnayyaenzi yale aliyokuwa akiyasimamia kwa vitendo. Now I can see some kind of vision for tz
  19. ALU-MASOLI

    Unakaribishwa Miaka 50 ya Peace Corps Washington DC: Mgeni Rasmi Kikwete

    Du tumemzoea lakini na mishe zake za nje
Back
Top Bottom