Search results

  1. Mh2

    Kutoka Mahakamani: Mbunge wa Arusha Godbless Lema apata dhamana

    ASANTEH MTUMISHI NIMEKUELEWA. "Hata katika biblia kulikuwa na wafalme wehu" Mfano Mfalme Belshaza. Msishangae kwa kile kinacho endelea katika Duniani yetu, Mungu aliwaondosha hao watawala ama wafalme wehu,alipotaka kufanya hivyo. Haya ni mapito tu na mwisho wake u karibu kutimia maana...
  2. Mh2

    Kuelekea Uchaguzi: Shinyanga Mjini hali ni mbaya

    Hahahahaha patam hapo.
  3. Mh2

    Lazima watu wafe tu,mhe. Pinda wapigwe tu.

    Jamani Natamani hata kwenda kijiji leo hii. MWANZA hakufai hata kidogo. Jamani sijawahi kuona tangu nizaliwe. Sijajua manake hawa sio mapolisi niwajuao ,wamevaa kama wanajeshi, nimepita mabati wanapiga gwalide,yani kesho ni Noma. Lazima mtu afe kwa namna yeyote ile. Hatari mi siwatishi ila mimi...
  4. Mh2

    Ushauri: Namuacha kwasabababu ya harufu sehemu ya siri

    kaka we unasema tu,wengine tunaish kwa kufuta wazee we2 wanasema nini. Manake bro alikataa kuchaguliwa mke alipo maliza chuo kikuu udizm. Kilichomfka wanaukoo ndo tunakijua.
  5. Mh2

    Ushauri: Namuacha kwasabababu ya harufu sehemu ya siri

    Jaman wanajf,kwa Dr. Ndondi nilishaga enda,na kwa dk. Mwaka.
  6. Mh2

    Mke raha jamani

    Nitakutafuta umenikuna na kwa kua cjaoa utanitafutia mke mwenye mautundu.
  7. Mh2

    Mke raha jamani

    Hongera sana,mpaka nimetaman kama ungelikuwa my wife ningeringaje! Dah mme wako anajisifu kwa kuwa na mke hodari kama weye. Ama we ni wa Tanga kule mapenz yalikoanzia? Dah...! Nikitaka kuoa nitakutafuta unipatie mdogo wako. Ila mfundishe kwanza maujanja kama yako.
  8. Mh2

    Ushauri: Namuacha kwasabababu ya harufu sehemu ya siri

    Haki ya Mungu namuacha kwa hali hii. Wana Jf nawaombeni ushauri. Kama nisipopata ufumbuzi tunaachana. Namulaumu sana baba yangu kwa kunitafutia mwanake wa kuoa ambaye anaharufu kali na mbaya sana sehemu zake za siri. Na ndo maana ni bora kufanyanae mapenzi mwanamke kabla ya kumuoa ili...
  9. Mh2

    Mikopo

    Mnazani wote tunakaa mjini? Wengne tumemaliza foim 6 na kwenda kijiji kuchunga ng'ombe zaidi ya kilomita 320 kuja mjin. Na huku kwa babu ni zamu kuchunga ng'ombe. Kilichonisaidia kusoma ni yeyebo. Juz ndo nimepata hela na kununua haka ka cmat fone ndo nikaona nijiunge jf na kuuliza. Munanilaumu...
  10. Mh2

    Mikopo

    Wakuu mwisho wa kuomba mkopo kwenye bodi ya mikopo ni lini?
  11. Mh2

    NACTE wametoa majina waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu

    mi nipo Mwanza,kwani hapa mwanza kunaofisi zao?
  12. Mh2

    Msaada wenu wa selection

    Mpaka sasa sijajua kama nimechaguliwa kwenda chuo ama hapana. Profile yangu inasomeka hivi:JINA LANGU,Profile applied for Teachers Education NTA 7. Wadau hii maana yake ni nini?
  13. Mh2

    NACTE wametoa majina waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu

    Nimeingia kwenye email yangu sijakuta chochote. Nikaangalia profile yangu kwa juu mpaka chini hakuna taarifa ya kuwa selected ama ya kutokuwa selected. Msaada jamani nimeangalia kwenye website ndio wametoa lakin mbona mimi cjapokea hata meseji? Au ilikuwa pending application yangu? Ama wanatuma...
  14. Mh2

    NACTE wametoa majina waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu

    mbona mpaka profile yangu nimeangalia cjaona k2?
  15. Mh2

    NACTE wametoa majina waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu

    Nimechek mpaka kwenye profile yangu hakuna k2 kaka.
  16. Mh2

    NACTE wametoa majina waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu

    Jaman acheni uongo nimechek profile yangu hakuna k2.
  17. Mh2

    NACTE wametoa majina waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu

    Nahiji kwenda kusoma lakini kila nikiangalia profile yangu hakuna chochote. Nimeapply kwenda diploma ya Ualimu. Ama wezangu mmeshapokea selection za vyuoni?
  18. Mh2

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Kesho Ijumaa Lowasa atarudi tena hapa Mwanza mjini. Na Mama lowasa leo hii anatinga hapa mwanza,kwa kazi moja tu, kufunga hesabu.
  19. Mh2

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Magufuli alia mwenyewe asema amesalitiwa,na kama angejua usariti huo asingethubutu kugombea. Kikwete amtelekeza, Mkapa akimbilia Tanga na Mwinyi nae asepa Zanzibar. Siku 62 za kampeni kikwete aonekana mara 2 tu,cku ya uzinduzi na Morogoro. Mwanza tunamunyoa Magufuli.
Back
Top Bottom