1. Bila mshahara wa 1m sikubali kuajiriwa, kila mtu lazima aji value
2. Chuo chetu ni chuo bora, waajiri wakikiona ktk interview wanatuchukua
3. Ajira nitakayokubali iwe Dar, Arusha, Dodoma na Mwanza. Huko kwingine siendi
4. Kwa hii GPA najua simalizi mwezi mtaani bila kazi
Sasa ndio...
Dada tunajua nia yako njema vijana wasikae bure ukaja na wazo la zile Baiskeli za miguu mitatu kubebea abiria upande huu wa chumba chako yaani juu kusini.
Tatizo hawa vijana wako wanaziendesha kwa fujo kibarazani na hawaambiliki wala kupangika na ni wengi hadi inakuwa kero tofauti na maeneo...
Kuna umuhimu mkubwa wa kufundishwa diplomasia kwa kila mzungumzaji kwenye hadhira iliyo na watu wa mataifa mbalimbali.
Unaweza kudhani unachekesha watu kumbe unaharibu.
Public speaking is an art, the untrained need to be trained before being given platform.
Pale utakapohitaji kuaminiwa zaidi, watu wataangalia nyayo zako kote ulikokanyaga. Inawezekana sasa unaona kama ndoto zako kubwa haziwezi kutimia hivyo unapiga bora liende, ila kuna siku watu watatazama nyayo zako na ndizo zitatumika kuamua yakuhusuyo.
Freemind to think and advise, no personal...
Wanaopita barabara ya Mandela mpaka daraja la Kigamboni watakuwa wameona shughuli.
Je, tatizo ni nini na litakaa muda gani watu wajiandae kisaikolojia?
Bila shaka swali hili la nyongeza litajibiwa na waziri mwenyewe sio naibu wake [emoji2][emoji2]
Kanuni huwa ni moja tu
Ukiondoka kikaoni wenzio wakabaki, wewe ndio utaanza kusengenywa/kujadiliwa na waliobaki.
Salama yako ni kuwa unapoondoka, ondoka na wenzio na kikao kifungwe au EPUKA na EPUSHA vikao hivyo period!!.
Ushauri wa bure.
Hivi hakuna namna serikali inaweza kufanya ili kuwapunguzia mzigo wananchi wa Kigamboni wanaolazimika kulipia daraja wavuke kwenda kwao on a daily basis?
Serikali inaweza kulipa deni hilo kwa NSSF kupitia kodi za wananchi maana madaraja mengine yamejengwa kwa kodi za wote. Yaani mlipa kodi...
Hili la ndugu zetu Tigo kukaa kimya wakiwa na pesa zetu, tunashindwa kufanya miamala na hawatoi maelezo mapema kwa walaji, Waziri ulifanyie kazi.
Napendekeza kila mwenye fedha TigoPesa apewe gharama za usumbufu 3% ya kiasi alichonacho katika account
Sijafanikiwa kusikiliza mipango toka kwa Mheshimiwa RC ihusuyo mkoa wa Dar na hasa Kigamboni, naomba aliesikiliza atoe update ya mipango specifically wilaya hiyo maana ndio kama bado iko nyuma ukilinganisha na wilaya zingine za Dar,
Kama alumni wenu ninapenda kujua kinachoendelea huko lakini nafikiri ni zaidi ya miezi 6 siioni hata website yenu hewani. Tulizoea kuwaona through mu.ac.tz au hata ku-google direct name lakini siku hizi naona ile ya Mbeya na ya Dar tu, Main kulikoni? Je ni kweli kuwa Mzumbe ya ukweli iliondoka...
Karibuni kwa sherehe au kujipanga kumalizia palipobakia, NBAA hawapoi hawaboi Examination Results |BODI YA TAIFA YA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU TANZANIA (NBAA)
Nenda website yao kwa upya,
1. education and training
2. examination
3. examination results
Kama list ya waliotokeza tu njoo hapa
Umofia kwenu,
Leo nipende kuleta kero ya baadhi ya mamonita madarasani. Hii inahusisha mamonita wa shule za kata hadi zile za private ambao kwa kweli wanatumia nafasi na madaraka yao vibaya. Tunafahamu kuwa ninyi ni viongozi wetu wa madarasa lakini tunaona kuwa kuna mambo mnahitaji kujua...
Maembe yaliyoiva yanavirutubisho vyote muhimu kuliko yale ambayo hayajaiva. Toka zamani kuna baadhi ya wanyama wamekuwa na tabia ya kuiba maembe ambayo yako mitini na kuyala ilihali ni mabichi na wengine kula na chumvi kitu ambacho sio sawa, ilibidi wayasubiri yakomae yaanguke yenyewe wayale...
Kampuni yetu iliyopo Dar inahitaji kuwa ISO Certified, kama kuna mdau humu anafanya kazi ya kusaidia kuandaa document tuwasiliane ili apewe kazi. Naona makampuni mengi yanayofanya kazi hii ni kutoka nchi jirani sasa, hii tenda akipata mbongo itakuwa poa zaidi. Kama yupo mtu tuwasiliae pm
Nimejaribu kufuatilia bei za viwanja na nyumba Jf na ktk mtandao fulani maarufu wa kuuziana vitu na nimegundua kuwa bei za nyumba huko kidogo zipo chini sana, mathalani, unakuta nyumba ya vyumba vitatu ambavyo vina tiles, umeme, maji na gypsum inauzwa around 16M je hii ni hali ya kawaida? au...
Shamba ekari moja jirani na barabara maeneo ya Kibaha, Kiluvya au Baobab kwa bajeti ya 5m lisilo na mgogoro linahitajika.
Vinginevyo kiwanja kikubwa kiasi mitaa hiyo kwa bajeti similar tuwasiliane pm ili tufanye biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ndo naamini kulikuwa kikosi cha kwanza cha timu iliyopita
1. Mizengo
2. Makame
3. John
4. Benard
5. Asha
6. Steven
7. Shukuru
8. William
9. Mary
10.Mark
11. Abdallah
Substitute
Harrison
William
Samuel
George
Jumanne
Sospeter
Anna
Emmanuel
Lazaro
Hamis
ILIKUWA TIMU...
Najua kuna wale wanaosoma kwa mfumo rasmi na wale wasiosoma mfumo rasmi sasa ningependa kufahamu kwa kutumia wataalamu waliopo humu ni taaluma gani ambayo unaweza kujiajiri maana kusubiri kuajiriwa inawezekana ukasubiri sana wakati mwingine kama kuna uhakiki wa vyeti feki. Pia elimu hii inaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.