Search results

  1. Mr.panya

    Je, inawezekana kuchaji battery za solar kwa umeme wa Tanesco?

    AC to DC inverter input 220acV Output 18dcV charger, Nitajuaje kama hii chaja inaweza kuchaji battery kwa mfano ya 100Ah mana kama solar panels inakuwa rated in watts kwahy inakuwa rahisi kujua mfano solar ya 200W inaweza chaji battery ya 100Ah na ikajaa
  2. Mr.panya

    Je, inawezekana kuchaji battery za solar kwa umeme wa Tanesco?

    kwa hiyo kwa mfumo huu itahitajika both rectifier na inverter, Rectifier itumike kwenye kuchaji DC battery from AC power source then ili kutumia battery kwenye vifaa vyangu vya AC inabidi kuwe na inverter si ndio
  3. Mr.panya

    Je, inawezekana kuchaji battery za solar kwa umeme wa Tanesco?

    Si kuna charger controller itakua inadisconnect battery ikishajaa
  4. Mr.panya

    Je, inawezekana kuchaji battery za solar kwa umeme wa Tanesco?

    Wakuu habari, ninapoishi umeme upo vizuri tu sema unakatika baadhi ya muda kwahiyo nahitaji backup system lkn sitaki kuingia gharama ya kununua solar panel nataka ninunue battery za solar, charge controller na inverter hapo nakuwa natumia umeme wa kawaida wa Tanesco kuchaji battery za sola...
  5. Mr.panya

    Mpanda: Wasichana wadaiwa kufanya ngono kwa Tsh. 1000

    Delta 2,this is Alpha 1 reporting Coodinate 050 446 113 Female terrorists is on sight,code red we have been hit One man down we need backup I repeat we need backup, Do you copy? over! Alpha 1 this is delta 2, backup take the girls down unleash the bazooka show no mercy i repeat show no mercy...
  6. Mr.panya

    9 Most racist Countries in the World

    Mi naona list ya mtoa mada imebase kwenye ubaguzi wa dini na ukabila ila sio ubaguzi wa rangi
  7. Mr.panya

    Bilionea Jeff Bezos aunda jopo la Wataalam kuangalia namna ya kuzuia kifo

    Sijui kwann watumishi mnapenda sana kuamini stori za ajabuajabu. Mkuu karne hii watu wanafanya tu mambo yao hawaelewi hizo habari zenu za mungu sijui kafanyaje ,hemu fikiria miaka hiyo watu walikuwa wanaamini ukijenga majengo marefu sana ni kumjaribu mungu ila angalia sahv sio tu kujenga majengo...
  8. Mr.panya

    Mgogoro mkubwa baina ya Serikali na wananchi waishio ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

    Waje kuungana na binadamu wa kawaida au sio mkuu [emoji23][emoji23]
  9. Mr.panya

    NASA yaingia kwenye anga hewa la jua

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We jama unachekesha sana , anyway we baki tu na huo ujinga wako mi sina cha kukufanya
  10. Mr.panya

    NASA yaingia kwenye anga hewa la jua

    Naona stori zimekua nyingi ila uzuri ni kwamba kwenye sayansi hamnaga blah blah fact unazozitaka nimekuwekea hapo chini na nimejaribu kuandika kwa lugha nyepesi ili upate kuelewa kiurahisi nimeanzia jinsi gani chombo kinatoka duniani mpaka kinavyofika huko kwenye sayari ya mars na kama...
  11. Mr.panya

    NASA yaingia kwenye anga hewa la jua

    Nimesimuliwa wapi mkuu kwani umesikia hiyo ni history, sayansi mzee haisimuliwi tu hivihivi lazima uje na proven facts with mathematical formula ndio utaeleweka yani ningekuona unamuelekeo flani hivi wa sayansi ningekupigia lecturer ya rocket science na orbital mechanics nikuonyeshe ni jinsi...
  12. Mr.panya

    Uzoefu wa kusafiri na Rocket kati ya Misri na Afrika ya Kusini

    Dah kmmk mkuu hii chai kiboko, mzee hata sijui unatuchukuliaje sisi
  13. Mr.panya

    Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

    Wanafunzi wenyewe bangi tupu siku hizi, na wale wakike kwa umalaya ndio usiseme hapa kitaa sahv kuna kitoto cha form 3 kanalazimisha kuja geto eti anasema anataka kuja kunipikia
Back
Top Bottom