Search results

  1. Braibrizy

    Je, ni Rais gani aliyependwa kuliko wote Tanzania?

    Daah umenikumbusha nilikuw siko tayar saa mbili inikute nje na nyumban ili tu nijue mwamba kafanya nini huko barabarani..! Na mimi simtaji...!
  2. Braibrizy

    Nahitaji msaada wa kisheria juu ya hii kesi

    Duh hapa sijui msaada gani wa kisheria unataka mkuu, Badilisha heading iwe 'MSAADA JINSI YA KUFANYA DENI LIPOTEE JUU KWA JUU" ila dawa ya deni ni kulipa tu
  3. Braibrizy

    Laptop aina ya HP inahitajika

    Habari wakuu, title inajieleza, Spec RAM kuanzia 4Gb Hdd kuanzia 500Gb Processor 2.4 Ghz Battery iwe inakaa na charge Hata kama ni Used lakini iwe kwenye condition nzuri..! Hela iko mfuko wa shati, karibuni
  4. Braibrizy

    Naomba msaada kwa hili - Pro evolution soccer (pes)

    Habarini za wakati huu, Nmekuwa nikicheza Pes for Pc kwa muda mrefu sana lakini je ni kwanini player akiwa HOME anakuwa na nguvu, speed na accuracy sana? Kuna jamaa nikicheza nae ikiwa yeye akiwa HOME ananifunga sana bila ya mimi kupata hata goli moja na ikiwa na mimi niko HOME namfunga mogoli...
  5. Braibrizy

    Mobile WIFI 4g Lte

    Inatumia line zote Ina speed ya kutosha hadi 150mbs Imetumika mwezi mmoja tu Betri inakaa na chaji sana.![ATT] Bei 80,000/= Napatikana Dar Es salaam
  6. Braibrizy

    Kuitwa kwenye uptitude test TPb benk

    Ndugu zangu wana jamvi, wale tulioomba nafasi za Bank operation officers ktk benk ya Tpb majib tayar, vp kuna mtu yeyote mwenye taarifa pia..?
  7. Braibrizy

    Hunger Aid Africa

    Habarini za wakati huu wana jukwaa, leo asubuhi nmetumiwa email na hawa Hunger Aid in Africa lakin wameniagiza nitafute PAR certification , Nmejaribu kufuatilia nmeona ni email ileile ambayo imekuw ikitumwa kwa watu tofaut tofaut kwa muda mref sasa, je kuna mtu ana taarifa juu ya hawa watu au ni...
  8. Braibrizy

    Usaili wa TAA duu changamoto

    Kwa mara ya kwanza leo nmewashuhudia invigilators wanacheka , Co poa interview zingine unakuta addition pepa zinaaombwa hadi unashangaa bt leo, utafikir tulikuw tumepewa True or False questions wakati ilikuw ni full maelezo..! Binafsi mtihan umenitoa jasho coz nlizama sana kusom mambo ya...
  9. Braibrizy

    Laptop inahitajika haraka sana pesa iko mfuko wa shati

    Habarin wanajukwaa, Nahitaji laptop aina ya Hp au Dell kwa matumizi ya ofic, sifa betri iwe inakaa na chaj, hdd haimati kabsa..! Bajeti yangu ni sh laki 3.5 - 4 kamil Napatikana Dar es salaam
  10. Braibrizy

    Natafuta tamthilia zifuatazo...

    Natafuta series zifuatazo kwa yeyote mwenye ako nayo yoyote kati ya hizi anisaidie..![emoji440] 24 Breaking bad Homeland The widow Lost Money heist Narcos House of Cards Hanna na The wire..! Pia nina series kali kwa yeyote atakaehitaji ambazo ni full Hd na pia nying ni Complete kama Game of...
  11. Braibrizy

    Ugonjwa wa mipapai

    Habarini za wakati huu wanaJukwaa Kwa yeyote mwenye kujua dawa ya hawa wadudu anisaidie iwe ya kienyeji au ya kitaalam ntashukuru..!
  12. Braibrizy

    New army boot for sale

    Habari zenu wanajukwaa, Hiyo buti inauzwa ni size 45 na haijawah valiwa kabisa (Mpya)..! Niko Dar es salaam kwa yeyote atakae kuwa interested Price : 50,000/=
  13. Braibrizy

    Ukweli kuhusu mihogo mibichi, karanga na nazi

    Hivi no kweli vyakula tajwa hapo juu vinasaidia kuongeza nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa ? msaada tafadhal ili tulinde heshima ya ndoa zetu..!
  14. Braibrizy

    Wanaume mnaopenda Mpira

    Unajua kuna kipnd ligi znaisha kabsa lakn mke yupo tu daily..[emoji3][emoji3]
  15. Braibrizy

    Mafuta mazuri ya wanaume

    Sawa unafanya biashara lakn nafikir n bora ungeanza kwa kuelezea ubora na ingredients znazoyafany hayo mafta kuw special kuliko kuelezea baadh ya makilio mbalmbl ambay umeshakutana nayo Nawsilisha
  16. Braibrizy

    Series zangu ninazozipenda taja za kwako

    Jaman naweza pata wap Series ya 24, Narcos au Vikings..? Nko Dar es salaam
  17. Braibrizy

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Arsenal bna..[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
  18. Braibrizy

    Taja Jina zuri Kwa mtoto

    Chemu
  19. Braibrizy

    Ushauri: Nataka kumuoa ila anapenda pesa na muda wote yupo mtandaoni

    Kama kwa wiki laki 3, inamaana kwa mwez unampa mil 1 na laki 2..Angalia kpato chako halaf fungeni ndoa kabsa [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Back
Top Bottom