Search results

  1. M

    Mkorogo

    Ha ha hah hivi khantwe mzima wewe dah hii nimeipenda
  2. M

    Bata wapi leo?

    Ha ha ha ha huyu mtoa mada naona kajuta
  3. M

    Mwanaume kuwa na mapozi ya kike

    Ha haha ha ha umenifanyanicheke kwa Nguvu mwenzio mpaka naonekana kichaa,
  4. M

    Miss neddy just remember one thing

    Tumekuita sana au umepagawa kuona watu wanakula Mali zako hadharani
  5. M

    Mwanamke Kalio bwana, Kama Sura hata Mbuzi anayo

    Ha ha ha wewe ndio umemaliza ha ha ha
  6. M

    Najisikia Kichefuchefu

    Najisikia kichefuchefu kusoma hiz comment
  7. M

    Miss neddy just remember one thing

    No no no miss neddy sio x ila wewe Ni mke mkubwa, usimfanyie hivyo excel jaman, hiv unajua excel ana hali gani tangu kapata hii habar
  8. M

    Miss Tanzania 2014

    Yule Ni MTOTO wa mbunge TEMEKE kabebwa yule kipitia cheo cha baba yake
  9. M

    Miss neddy just remember one thing

    Ni kwel ila tulikubaliana tutakuwa wote ,ooh excel akiona hapa si ataumia sana
  10. M

    Nipeni faida za kudate wamama, yaani wanawake wa kuanzia miaka 30

    Fungua theard yako sio vizur kuleta jambo lako kwenye thard ya mwenzio
  11. M

    Tangazo tangazo kwa wachaga wote@imebaki miezi 3 kujisajili upya

    Mwaka huu nasimamia gorofa langu so sitoenda
  12. M

    Nipeni faida za kudate wamama, yaani wanawake wa kuanzia miaka 30

    Nashukuru umekubali mwenyewe, hujambo lakini
  13. M

    Nipeni faida za kudate wamama, yaani wanawake wa kuanzia miaka 30

    Nyinyi mnapowaongelea wanawake mnakuwa wasemaji wetu ?Nimeongea coz yananihusu
  14. M

    Nipeni faida za kudate wamama, yaani wanawake wa kuanzia miaka 30

    Sio naamini najua kabisa anae ila ni hulka tu mlizonazo wanaume so huwa hazinushughulishi na huwez kusikia nalalamika eti Mume Wangu amenisaliti, ninajiamini na ndoa yangu
  15. M

    Nipeni faida za kudate wamama, yaani wanawake wa kuanzia miaka 30

    Sio Mimi hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja so kwa style hiyo hakuna mwanamke anayemridhisha mwanaume
  16. M

    Nipeni faida za kudate wamama, yaani wanawake wa kuanzia miaka 30

    Utaniona Mimi ni wakukupikia na kukulelea watoto wako, wewe unatumia na michepuko tu
  17. M

    Nipeni faida za kudate wamama, yaani wanawake wa kuanzia miaka 30

    Bora uwe unakula kwa wiz coz mkituzoea ni shiiiiiiiiiiida
Back
Top Bottom