1.Mpe tu na wala chenji usiulizie, ndio uanaume huo. usipo mpa anaweza akaamua kuzitafuta hata sehemu isiyofaa
2. Halafu....anyway najua umeteleza, '' sisi wanaume huwa hatulalamikii hizi ghalama za mapenzi '' love costs'' sana sana huwa tunajipeleka wenyewe na tunatoa wakati mwingine bila hata...
yeye amekuzidi miaka 13. kwa kawaida labda mumewe kamzidi yeye miaka 10 hivi jumla miaka 23. Huyo jamaa ndie best wako anaekuzidi miaka takriban 23 !!!!!! SIJAKUSOMA MKUU.
Mkuu kama ulitoa kibali pesa ziende pande ile achana nae, Si unajua tena? tukishatoa sadaka tumetoa mchungaji/shehe azimissuse au azitumie kihalali sisi hatumo, TUNASONGA MBELE.
Mke hafuatiliwi wala kuchunguzwa kama mbuzi au mhalifu ni makosa makubwa mkeo ni wewe mwenyewe kwa hiyo unajichunguza SIYO??. Kila siku unaweza kupata story mpya ya uongo na ya kweli, yaani uache kazi zako za kutafuta noti uanze kuwinda mtu alieamua kugawa...NO.
Hadi umeamua kumuoa umeacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.