Search results

  1. G

    Polisi watia fora maandamano CHADEMA: Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!

    Hapa ndipo penye changabaridi (.changamoto)
  2. G

    Paul Makonda kuzungumza na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

    Makalio makubwa ameufyata.
  3. G

    Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    This is absurd and intolerable. Kwanini wao wajione muhimu sana ktk muungano huu? Kauli kama hizi kutoka kwa kiongozi (mbunge) hazivumiliki!
  4. G

    Siasa za Makonda ni kama za Trump wa USA sema tu Watanzania ni Washamba

    Ni makosa kufananisha siasa za Trump na upuuzi wa Makonda.
  5. G

    Asikilizwe Huyu Mzee tunaposema uchaguzi wa mwaka 2020 haukuwa uchaguzi bali ni uhuni muwe mnatuelewa!!

    Jiwe alikuwa dikteta mpuuzi. Kuna kila sababu ya kumfuta kwenye orodha ya marais wa nchi hii.
  6. G

    Idadi ya Wanawake Wanaomiliki Ardhi Nchini Imeongezeka Kutoka Asilimia 25 Hadi Asilimia 41

    Takwimu hizi ni za kupika. Yaani walikuwa 25% halafu hivi sasa ni 41% !?!!. Karibu nusu kwa nusu?? Mbona huku mtaani hatuioni hiyo takwimu ikijidhihirisha hivyo?
  7. G

    Napendekeza Jeshi la Polisi kusukwa upya kuondoa tuhuma za mauaji zinazolikabili mara kwa mara

    Tunaelekea kwenye uchaguzi mauaji yatakuwa mengi sana. Serikali ya CCM na vyombo vyake hovyo kabisa.
  8. G

    Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

    Hata ule mto unaoita jirani na Meta Sec pale haipiti wiki maiti lazima maiti ziokotwe mle.
  9. G

    Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

    Mhe. Hasunga alikuwa waziri wa kilimo. Mhe. Godfrey Zambi .
  10. G

    Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

    Ni kwasabb ya wingi wa wahutu na watusi.
  11. G

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Makalio makubwa kasema anawajua. Sasa awataje, asipowataja ulanakula umeme aende kulima vitunguu.
  12. G

    Dr. Nchimbi, Wananchi wa Mkoa wa Njombe na Ruvuma tunakukaribisha Sana. Karibu Nyumbani

    Nchimbi na Makalla ni bonge la viiongozi, wanaongea kwa staha, wanaheshimu watu na wanajali utu. Siyo kama lile li paka shume.
  13. G

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Taharuki ipi mkuu?
  14. G

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Kumekucha na makucha yake. Watoto wa mjini hawataki mchezo. Makonda akileta za kuleta atapewa ONYO kisha ONYO KALI, litafuatiwa na KARIPIO. Akiendelea atakula umeme.
  15. G

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Oyooooo! Imetulia hiyo. Huyu mropokaji abananishwe ili awataje mawaziri wanaomtukana rais. Asitafute umaarufu ubwete (cheap popularity)
  16. G

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Magufuli alizikwa, hata falsafa zake inabidi ziendelee kuzikwa. Hatutaki mambo yake ya hovyo yajirudie tena.
  17. G

    Jinsi pikipiki za CCM zilivyowagawa wanaccm majimboni

    Chama cha ulaji, malalamiko yao ni kuhusu ulaji tu
  18. G

    Paul Makonda: Mimi ni yule wa jana, leo na hata milele. Hakutakuwa na copy ya Makonda mwingine!

    Ushauri kwako. Anza kunimwagia sifa mm, kwasabb 2035 nitakuwa rais wa nchi hii na nitakuteua kuwa msemaji wa serikali
  19. G

    Paul Makonda: Mimi ni yule wa jana, leo na hata milele. Hakutakuwa na copy ya Makonda mwingine!

    Vipi kwa upande wako Lucas Mwashambwa ? Utaendelea na ukunguni huu mpk lini? Umri unaenda...!
Back
Top Bottom