Search results

  1. Mnyenz

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Hivi yule mke wa Dr slaa anaitwaga nani vile? (Samahani nje ya mada)
  2. Mnyenz

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Cam Cameraman never die. We uliskia wapi Cameraman akafa?
  3. Mnyenz

    Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

    Habeeb ni mwanaume kwa kiarabu,
  4. Mnyenz

    Mnao walazimisha mabwana zenu wawawekee wadada wakazi pitie hapa haraka

    Mkuu Mkuu, hata ukila ban mie nitakutetea maana sio kwa ukatili huo.
  5. Mnyenz

    Msaada wa kutafsiri Ndoto

    Sasa kama kila mara unacheza mpira, ulitegemea uote unachoma nyama? Achana na mambo ya kutafsiri, ndoto ni matokeo ya maisha yako ya kila siku achana na imani za kutafsiri. BTW ukilala usikunje miguu utakua unafunga vizuri tu.
  6. Mnyenz

    World war 1, Dar es Salaam

    Hivi na hii vita kuu ya tatu ya dunia na sie tutapigana? Au
  7. Mnyenz

    Ikitokea Ukanda wa Middle East Waarabu wakaungana wakaipiga Israel na kuiangamiza. Je, asili ya Israel itabaki pale?

    Naskia baada ya Hitler ilitakiwa waletwe Africa maeneo ya Ethiopia. Sijui nini kilifanya wasije. Huku tusingepigana nao, tungefyeka kizazi Chao kwa kuzaa nao tu. Imagine tumemzingira Israel (hapo ilipo Ethiopia) tuna mu attack kwa mboo kutoka kila kona. Akienda magharibi anakutana na kuni za...
  8. Mnyenz

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Na hata simbanking, hawakwambii kiasi kilichobaki kwenye akaunti. Mpaka uulize ambapo nahisi kuna kiasi utahitaji kulipia, sio kama tigopesa and the like. Au ni akaunti yangu tu jamani
  9. Mnyenz

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Vipi kwa mfano nikiisomea hiyo risiti mtandaoni. Je, bado watakata?
  10. Mnyenz

    Lori lililobeba mafuta limepinduka Kibaha, wananchi wachota mafuta bila woga

    Unakufa kwa moto ukiwa unaiba mafuta, na mbinguni ukienda unakutana na moto.
  11. Mnyenz

    Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

    Aseee katika maeneo yenye mbwa waliozagaa hovyo ni Mwanza, mara ya kwanza nilipoenda niliona kundi la mbwa kama 20 hivi, mwanzo nilidhani labda ni mbuzi, ile kucheki vizuri ni mijibwa tupu
  12. Mnyenz

    Gari langu linapiga kelele nikiingiza gia

    Spea mkuu. Naenda kulikatakata
  13. Mnyenz

    Gari langu linapiga kelele nikiingiza gia

    Fanya mpango mkuu. Gari kuanzia million 1 kurudi chini nanunua.
  14. Mnyenz

    Gari langu linapiga kelele nikiingiza gia

    Vipi mkuu marks bado ipo? Naitaka
  15. Mnyenz

    Tuliokwama Kimara Mwisho kwenye foleni muda huu tujuane

    Si mpaka awe na gari sasa, kama hana bora atembee Pembezoni mwa barabara wasije kumkaba buure
Back
Top Bottom