Search results

  1. SPANISH CP

    Watoto wa kike Kugaiwa pedi Arusha.

    Shirika la ACTION FOR CHILDREN la jijini Arusha limeanzisha mradi wa kugawa pedi kwa wanafunzi wa kike wa shule nne za msingi ktk jiji la hilo! baadhi ya shule ni Ngaramtoni,Engosengeu na Seliani. Watoto wanavunja ungo wakiwa wadogo kweli siku hizi.
  2. SPANISH CP

    Happy new year

    Nyie waajiriwa wenzangu mwaka wa fedha{kiserikali} umeisha jana na leo 1 july tumeunza mwaka mpya. popote ulipoajiriwa jiulize mwajiri wako anapokulipa mshahara anakusudia ukaufanyie nini.
  3. SPANISH CP

    Samahani kwa picha hizi sio nzuri, Tumuonee huruma

    Binti Mwanaidi Vuai Salehe amelazwa ktk Hospitali ya jeshi Bububu Zanzibar kwa miezi minne sasa anauguza majeraha ya ajali ya moto. Hali yake inazidi kua mbaya na anahitajika Tsh Milion 15 aweze kupelekwa India. Kama uko tayari kumsaidia A/c 051206007686 PBZ-Malindi. 0773599466-mama yake...
  4. SPANISH CP

    Kungekua hakuna kifo maskini tungeteseka sana

    Mimi hata baiskeli sina
  5. SPANISH CP

    Wakazi wa Dar punguzeni ulevi.

    Jiji la Dar es Salam lina jumla ya bar 692 zilozopewa leseni halali kuuza pombe. Chukulia kila bar inapata wateja 20 tu kwa siku ina maana ndani ya Dar kila siku kuna walevi 13,840.
  6. SPANISH CP

    TAHADHARI: Picha ya kutisha - Ajali Mwanza

    Kijana aliebeba rasket(begi mgongoni) akiwa ktk bodaboda alinaswa na kuvutiwa uvunguni mwa roli walilokua wanaovatek. Begi ndo lilisababisha avutwe baada ya kunasa.
  7. SPANISH CP

    Akamatwa na sare za JWTZ Dar

    Kijana Francis Martin mkazi wa Kawe amekamatwa akiwa awevaa sare za Jwtz na cheo cha luteni. Akihojiwa ktk mikono ya polisi amejitetea kua sare hizo ni za kaka yake anaeitwa Benedict Martin anaefanya kazi 36kj Kibaha. Kilichomponza ni kumpigia salute askari alie na cheo chini ya alichovaa...
  8. SPANISH CP

    Afariki kwa kurukiwa na samaki mdomani.

    Ni ktk Wilaya ya Morgogoro vijijini kijana mmoja amefariki dunia baada ya kuingiwa na samaki mdomoni baada ya kumvua. IMANI ya ushirikini inahusishwa na tukio hilo.
  9. SPANISH CP

    Kipaji toka utotoni

    Akikuzwa vizuri atakuja kua mtaalamu mzuri.
  10. SPANISH CP

    Hii tabia katundisha nani?

    Nimesoma vitabu vya dini za Uislam na Ukristo sijaona sehemu inayoelekeza tujenge vituo vya kulea watoto yatima,bali tunaelekezwa namna ambavyo tunaweza kuwalea mayatima ktk majumba yetu na kuwapa malezi bora,kuwapenda,kuwajali,tusiwadhulumu,kuwaweka ktk mazingira mazuri ili waweze kuondokewa na...
  11. SPANISH CP

    Mbona sisi member wa Jf ni waongo?

    Nashangaa mtu anapokoment kwa kuandika haha haaaaa ha haa eti amefurahia jambo anacheka. Kitaalamu furaha ama kicheko,huzuni ama kilio ni matendo ya hisia haiwezekani kufanywa kwa kuandikwa.
  12. SPANISH CP

    Polisi mbarara waingia mtaani Arusha.

    Kamata,kamata,mshike mshike imeanza ktk jiji la Arusha na mitaa yake baada ya polisi kuruta toka CCP Moshi kuingizwa mitaani na kufundishwa kazi kwa vitendo.
  13. SPANISH CP

    Baba, mimi kama mwanao sijaridhika na umasikini wako!

    Baba yangu mzazi ahsante kwa kushiriki ktk mchakato wa kuniletea hapa duniani. LAKINI baba kweli ulishindwa kabisa kupata nafasi yoyote ndani chama na serikari nami nikaitwa mtoto wa kigogo ktk nchi hii? Kama elimu ya wastani unayo! Kama porojo za kisiasa unazo! Inaniuma sana kila...
  14. SPANISH CP

    Nahitaji kiwanja Mkuranga

    Nahitaji kiwanja/shamba maeneo ya Vikindu Mkuranga au karibu na maeneo hayo.
  15. SPANISH CP

    Mheshimiwa Spika naomba kuuliza

    Eti Muheshimiwa Spika hawa wabunge wanaolala ama kusinzia bungeni huwaoni? Mbona huwaamshi
  16. SPANISH CP

    Haya maombi sasa ni kero

    Ni ktk hospitali ya mkoa Mt.Meru Arusha,asubuhi na mapema wainjilisti na waombezi wanajazana ktk wodi za wagonjwa kelele tupu,uongozi wa hospitali uliangalie vyema hili ni usumbufu kwa wagonjwa.
  17. SPANISH CP

    Kwa hali hii mjini kutanishinda.

    Kufuatia hotuba ya Jk ya jana. Leo naamka nakuta bonge la Tangazo. Kupanda kwa kodi ya nyumba Single tsh 40,000/= double tsh 70,000/= inaanza trh 1 June, Hongereni mnaoishi kwenye nyumba zenu.
  18. SPANISH CP

    Kama unapenda kwenda JKT acha matumizi ya toilet paper

    Matumizi ya mara kwa mara ya toilet paper baada ya kujisaidia hupelekea kukatika kwa vinyweleo vya maeneo ya siri.JKT hawapokei watu wa namna hiyo kwa kuhisi kwamba njia imeshachezewa. Chukua tahadhari
  19. SPANISH CP

    Utata kuhusu H.I.V window period

    Nimejaribu kugoogle,kusoma articles tofauti nimeona kuna maelezo tofauti kuhusu window period kati ya wiki 8 hadi miezi 3 na kati ya wiki 8 hadi miezi 6. Wataalam ipi ndo sahihi nataka kufunga ndoa kule tulikopima mwanzo imeshapita miezi mitatu,sasa sijui nifunge ndoa au nisubiri hadi hiyo...
  20. SPANISH CP

    Kamanda wa Polisi Mkoa amethibitisha kutokea kwa mauji hayo.

    Hivi hawa makamanda Polisi Mikoa hawana kazi ingine zaidi ya kuthibitisha kutokea kwa ajali,mauji na vifo?
Back
Top Bottom