Search results

  1. M

    Kijana wa kusimamia mradi wa ufugaji

    Habari wakuu, Nina plan ya kuanzisha mradi wa kufuga nguruwe, mbuzi na kuku wa kienyeji, Niko dodoma, nahitaji kijana mwamininfu mwenye taaluma ya mifugo at least certificate level, awe mvumilivu (not too demanding) mwamininfu ambaye atakuwa anaishi hapo hapo, gharama za chakula na matibabu ya...
  2. M

    Miamvuli kwa bei ya jumla

    Habari ya humu wadau? Nauliza mtu anayejua sehemu wanauza MIAMVULI KWA bei ya jumla Dar
  3. M

    Naombeni ushauri kuhusu kubadilisha engine ya gari

    Wadau kuna mtu aliniambia unaweza kununua engine ya 4cylinders na gear box yake ukaweka kwenye gari ya 6cylinders mfano mark ivi gx 110, je inawezekana? Msaada tutani
  4. M

    Natafuta kiwanja Dodoma

    Nina bajeti ya 2m faster! Kiwe maeneo yenye umeme na Maji. Pesa IPO mkononi
  5. M

    Ivi clouds wamechoka namna hii kweli???

    Nilikuwa naskiliza kipindi chao cha michezo muda si mrefu(clouds FM) mchambuzi amesema kuwa Libya wanacheza na South Sudan leo na kutoa uchambuzi mrefu tu kuhusu huo mchezo! Mbona ratiba ya CAF inaonesha Libya wanacheza na South Africa leo? Nimesikiliza muda sijasikia masahihisho yoyote, ina...
  6. M

    Kuna nini uwanja wa ndege wa Dar?

    Wadau nimeingia dar kwa Mara ya kwanza tangu July Mwaka huu, nimezoea kuona madege makubwa yakipaa angani na kutua, tangu saa kumi hadi sasa ivi nimeshuhudia ndege moja tu angani, kuna mabadiliko gani? Kwa anayejua anijuze, ingependeza mwenye data vzr akatufafanulia. Kwangu mm haya ni maajabu...
  7. M

    Tatizo kwenye redio ya gari

    Wadau naomba anayejua anisaidie. Redio ya gari langu kuna muda inatoa mlio mkali kama mluzi nalazimika kuizima. Tatizo ni nini? Kama vile kuna mwingiliano wa mawimbi au cjui nn.
  8. M

    Dreamliner kwa sasa inapiga ruti za wapi?

    Naomba anayejua anijuze. Bado inaendelea na ruti za ndani au?
  9. M

    Rim sports za land cruiser hardtop

    Wadau kuna rafk yangu kaniambia anahitaji rim sports za hard top cruiser Dodoma au singida, je atapata kwa sh ngapi kwa pc moja? Zinahitajika za chuma siyo aluminum
  10. M

    Brevis vs mark ii grande gx 110

    Wadau, Niko morogoro nakaribia kufanya maamuzi magumu ya kununua gari. Kati ya hizo gari naomba mnishauri ni IPI nzuri? Kuhusu ulaji wa Mafuta najua zinafanana ni cc 2500
  11. M

    Natafuta gari la kununua

    Wadau natafuta brevis au gx110 iliyo katika hali nzuri bajeti 7m, mileage isizidi 100,000 na CC isizidi 2500
  12. M

    List ya majina ya watumishi wanaotakiwa kuhakikiwa tena naomba kueleweshwa kitu

    Ukiangalia hayo majina colum ya mwisho inasema matokeo hayajakamilika (results -incomplete), je, ni matokeo ya chuo walichosoma au la? Naomba anayejua anifahamishe
  13. M

    Suala la nyongeza ya mishahara likoje mwaka huu?

    Kwa kweli mimi sielewi naomba wadau mnifahamishe kuhusu hili. Naona mshahara uko vile vile na hii ni Julai
  14. M

    Kwa mtu aliesoma Transport Management

    kama umesoma masomo ya transport na uko mikoa ya kanda ya ziwa, magharibi au kati. au kamautaweza kutoka mkoa wowote ukafanye kaz kanda hizo, kuna halmashauri unaweza kupata kaz ya mkataba then uingie kwn ajira ya kudumu. inbox for more details
  15. M

    Mtandao mpya wa simu za mkononi

    Kuna network mpya ya simu inasomeka pale unaposearch available networks kwani simu inaitwa Hits tena ina 3G internet. Hii nimeiona Moshi, Tanga, Pwani, Morogoro na Dodoma (haya ni maeneo niliyopita). Je, ni vietel wameanza kwa staili hyo au? Anayejua atujuze.
  16. M

    Tatizo la Haja kubwa kuwa cheusi

    Wataalam naomba mnisaidie. Kuna ndugu yangu amegundulika na tatizo la Amoebiasis akaandikiwa Flagyl akaanza kutumia. Siku ya pili akaanza kusikia tumbo linavuruga huku anajisaidia choo chenye rangi nyeusi, ni siku ya pili sasa. Msaada tafadhali.
  17. M

    Shule ya Sekondari Kazima yafungwa kwa kukosa chakula

    Hii shule kongwe imefungwa jana kwa sababu tajwa hapo juu. mbaya zaidi ina form 6 watakaofanya mitihani may. kwa anayejua zaidi karibu. Source: mwalimu anayefundisha hapo. Hali ni mbaya kwa kweli
  18. M

    Wapi naweza kupata shamba kubwa ekari 500-1000?

    Wadau, kuna mtu anatafuta shamba lenye ukubwa kuanzia eka 500 hadi 1000 mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida kwa ajili ya kilimo kikubwa cha nafaka hasa mahindi. Liwe maeneo yasiyokuwa na migogoro, kusiwe na ukame sana, kunakofikika halafu maeneo yanayoweza kuchimbwa kisima kwa ajili ya...
  19. M

    Naomba kuuliza kuhusu LAPF

    Naomba kuuliza. kama mtu amefanya kaz ya kuajiriwa kwa mkataba wa kudumu akijitoa baada ya kufanya kaz kwa miaka mitano anaweza kupata mafao yake toka LAPF? kama akisitisha mkataba na mshahara wa 850,000 gross atapata sh ngapi?
  20. M

    Wadau naomba kuuliza swali kuhusu serikali ya Tanzania na ujenzi wa shule za sekondari

    Ni zaidi ya miaka 50 tangu tujitawale wenyewe. nimetafakari sana kuhusu hali ya miundombinu ya shule kongwe za sekondari za serikali ilivyokuwa mbaya kwa sasa. hizi shule tumezirithi toka kwa wakoloni lakini zilikuwa full(madarasa,maabara,maktaba,nyumba za staff kuanzia headmasters/mistress hadi...
Back
Top Bottom