Kwanini tuendelee kutumia vyanzo vya maji wkati kuna jua kuna upepo na kuna gesi tuna nyukilia pia viongozi walioko madarakani hawana nia yakutatua matatizo ya watanzania ili waendelww kuwepo katika nyadhifa zao
Vipi kwani mpango wake wa kuinject trilion 5 umeshindikana au hizo trilion hazipo Tena hii serikali ina watu wa hovyo sana yaani wenye kujijali n akujali maslahi yao tu.
huyu ndie mtu aliekuwa akitangaza nia ya kugombea uraisi tuna raisi mchumi tuna makamu wake tunawaziri pia alafu mwisho wasiku wanakuja na mawazo mufilisi kama haya juu ya namna ya kumuibia mwananchi ukiangalia hizo nchi jirani anazozungumzi kwenye uuzji wa mafuta kuongeza sh mia vip rea sjui...
Vodacom ni trush kila siku huwa nawambia na wanatabi aya kumuunga mtu na huduma alizojitoa zaid ya mara tatu yaani mtu ulalamikie tatizo wakuondoe baada ya masaa mawili ukiweka salio wana kukata tenaaa ukiuliza unambiwa ulijiunga nimesumbuana nao sana hivi sasa line yao ni marehemu wanakwambia...
wanauliza ana kazi gani au anajishughulisha na nin kwani wana hitaji mtu mwenye uwezo wakuimudu familia yake ila changamoto kubwa siku hizi hzta kazi tulizonazo haziwatoshelezi vipi tutaweza mudu familia kwa ujumla wake na maranyingi mambo hayo huwakumba wanawake waliotegemezi na mara chache...
Unapotaka kuwa na mitazamo yako ni lazima ujiondoe kwanza kwenye mamlaka yako na uelezee maoni binafsi ila unapokuwa na kofia inayokubeba unaaminiwa kwamba ni maoni ya watu unaowaongoza na sio mitazamo binafsi
natangia mwenda zake ameondoka hakuna kampeni za nyung sio kwa viongozi wenye mamlaka hata waimba mapambio wa kipindi hicho saiz wakipigia kampeni njia za kisasa
hata kwenye kundi la wanyama ukimuondoa alfa katika kundi ni ngumu sana kuwa na muunganiko kwa hawa wadoo itawachukuwa muda mrefu kuunda mbinu na kuandaa kiongozi mpya wa kundi na wakai mwingine ndo huwa ina kuwa ni mwisho wa hyo regime
sikuona kongamano kwa hayati Ben ila kwa huyu haraka na mapema kutuaminisha kuishi katika legacy yake hawajui kila zama na vitabu vyake tyr kitabu kile kimesha fungwa tuanze kuhesabu kurasa mpya
Mapambio hayawezi kauka hasa katika swala la kupigania kikombe chako na mkate wako mezani usikauke viongozi wadini walikuwa wa ndimi mbili na wako waliokemea maovu nakuonekana wazalendo tuwe makini na viongozi wetu wa dini has katika nyakati hizi za mwisho kila ataekuja kwa kimvuli cha dini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.