Search results

  1. Halaiser

    Je Makonda kapata au kapatikana?

    Hatimae Paul Makonda amuibua Rais Mstaafu wa awamu ya nne kutokana na matamshi yake kwenye kumbukizi ya Hayati Edward Moringe Sokoine. Je nini kitafuata baada ya Mzee Kikwete kuyatoa yake ya Moyo ni??
  2. Halaiser

    Wako Wapi Wanasiasa hawa?

    Kwa muda mrefu sasa sijawaona wala kuwasikia Wanasiasa wafuatao: 1. Harrison Mwakyembe 2. Mark Mwandosya 3. Job Ndugai. Yawezekana wameshakata tamaa kwenye harakati zao za kisiasa au wamepigwa pini wasijihusishe na siasa?? Asanteni.
  3. Halaiser

    Ya Kibwetere na Makenzie Yayweza kutokea pia huku kwetu Tusipokuwa makini na Hawa watumisi feki

    It is a very complex issue! Shida ilianzia kwa siasa - kukuza bunge ili kupata kura na kuunda serekali kuuubwa vyote vikitumia kiasi kikubwa zaidi cha pesa kujiendesha badala ya kufuta ujinga na umaskini! Our parliaments and Governments are bigger kuliko nchi zilizoendelea na tunawalipa pesa...
  4. Halaiser

    Je, ikitokea Hayati Magufuli kafufuka nini kitatokea?

    Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu. Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa. Yaani...
  5. Halaiser

    Wapi Humphrey Polepole??

    Wakuu tumeshamuona Bashiru Ally akirusha mawe gizani huko aliko. Hii imenifanya nimkumbuke huyu jamaa hasa kipindi chake kile cha "Shule ya Uongozi". Sina mengi zaidi.
  6. Halaiser

    Top Question of the Day

    A MIND- BLOWING QUESTION-: Which country will be celebrating 60 years of independence on December 9, 2021? A. Tanganyika? B. Tanzania Mainland? C. Tanzania? A. Tanganyika doesn't exist B. Tanzania Mainland doesn't make sense as a number of islands, eg Mafia are excluded C. Tanzania was born...
  7. Halaiser

    Kwako Waziri wa Mambo ya Ndani

    Nianze Kwa kusema au kuuliza kuwa hivi huyu Waziri husika yupo kweli na kama yuko kasusia awamu hii ya sita au?? Kwenye awamu ya tano alisikika Sana akikemea mwenendo mbovu wa Jeshi la Polisi hasa kitengo cha Usalama Barabarani. Sasa hivi kimya. Kero yangu kubwa ni hili suala la sticker baada...
  8. Halaiser

    Serikali iangalie tatizo la ukosefu wa ajira kwa umakini

    Wasalam wanajamvi. Kwa miaka kadhaa sasa kumekuwa na tatizo la ajira Kwa wahitimu wa vyuo mbali mbali. Wengi wa vijana hao wamekuwa wakijitolea kwenye Idara na Taasisi mbali mbali za Serikali Kwa mkataba wa miezi/ mwaka mmoja. Wamekuwa wakiahidiwa na watendaji wa maeneo hayo kuwa vibali vya...
  9. Halaiser

    Masharti ya mazishi ya Wakili Munuo

    MASHARTI YA MAZISHI YA BW. NICHOLAUS IMBIANDUMI NDAASHUKA MUNUO @ Lord MUNUO!!! LORD MUNUO, Wakili maarufu wa Arusha, ametamgulia mbele za haki. MASHARTI YAKE: 1. Atazikwa na ngozi bila jeneza na amesema atazikwa na ngozi ya Chui 2. Mwili wake utafungwa na masago ya migomba 3. Anazikwa...
  10. Halaiser

    Nini kimewasibu wabunge hawa??

    Kuna Baadhi ya Wabunge ambao Bunge la hivi sasa linapoelekea ukingoni hawasikiki tena. Yaani wamezimika kama mishumaa. Kuna Mama Anne Kilango Kuna Mama Salma Kikwete Kuna Nape Moses Nnauye Kuna January Makamba Kuna Ridhiwani Kikwete. Na wengineo waliokaa kimya. Sijaelewa kama kuna tatizo...
  11. Halaiser

    Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, kero hii unaiona?

    Hivi sasa yapata miaka mitatu na nusu tangu Jiji hili livurugwe mpangilio wake wa awali. Kero kuu ni hli lakuwaachia Wamachinga kufunga baadhi ya barabara kwa kuvitandika bidhaa zao chini barabarani au kujenga vibanda vya muda kwenye njia za watembeao kwa miguu. Hivi sasa asilimia sitini ya...
  12. Halaiser

    Tokea Rais Magufuli aingie madarakani kuna mwekezaji mkubwa aliyevutiwa na sera zake na kuja kuwekeza nchini?

    Heshima kwenu Wakuu na Heri ya Mwaka Mpya 2019. Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba mnipatie ufafanuzi ktk maswali yangu kadhaa. Mosi- Hivi toka Mh Rais wa awamu ya tano aingie madarakani kuna Mwekezaji Mkubwa hata mmoja aliyevutiwa na sera zake nakuja kuwekeza hapa Tanzania? Pili - Hawa...
  13. Halaiser

    Bunge la Spika Job Ndugai liache kigeugeu

    Salam Wakuu. Mtakumbuka mara baada ya Mh Magu kuingia madarakani alianza na tamko la SUKARI sote ni mashahidi na sina haja yakutolea ufafanuzi. Bei ya sukari kabla na baada ya tamko lile. Hivi karibuni akiwa mkoani Singida alirudia tamko lingine na pia aliendelea kusisitiza pale Ikulu...
  14. Halaiser

    Ni lini wabunge wetu wataacha unafiki?

    Ndugu zangu wana Jf heshima kwenu. Kama mnafuatilia Bunge la Bajeti linaloendelea pale Dodoma utakubaliana nami kwamba Waheshimiwa wengi pale mjengoni ni wanafiki. Walio wengi utawakuta wakiisifia kwa mbwembwe serikali ya ccm lkn baada ya kugain momentum wanarudi kuishambulia serikali. Kazi ya...
  15. Halaiser

    Je ccm wana haki yakutumiliki sisi raia?

    Ndugu zangu naombeni mnisaidie swala hili la chama tawala. Chama hiki hasa ni cha wanachama wote au ni cha kikundi fulani ndani mwake? Nasema hivyo kwasababu kukiwa na nafasi ya uongozi kuanzia ngazi za chini mpaka kitaifa kama wewe sio zao lao basi andika maumivu hata kama wewe ni chaguo la...
Back
Top Bottom