Search results

  1. PATIENCE PB

    Deadline ya kusajili NBAA ni tarehe ngapi?

    Wanajamvi wa Elimu forum kwa anayejua mwisho wa kujisajili NBAA kwa ajili ya mitihani ya CPA anifahamishe tafadhali. Asanteni!!
  2. PATIENCE PB

    CPA(T) .Mwenye uelewa juu ya ili.

    Wanajukwaa wazima? Mi mzima nauliza kama ulifaulu NABE |,NABE || na NABE |||.Pia una vyeti vyote vitatu.na O level ulisoma commerce na bookkeeping ukaifaulu vizuri ,pia A level ukawa umesoma ECA na kufaulu vizuri pia.Je kwa vigezo hivo ukienda kufanya CPA(T) unaanzia hatua (level) ipi?
  3. PATIENCE PB

    B.Sc Economics vs B.A. Economics

    Wanajamvi ni kipi bora kati ya B.Sc. Economics ya MZUMBE na B.A.Economics ya UDSM.na kwanini?na zinatofautiana vipi? Asanteni!!
  4. PATIENCE PB

    Nahitaji kuifahamu B.A. Economics ya UDSM

    Wakubwa shikamooni!! Wanajamvi naleta huu uzi mwenye kujua hii course ya B.A.Economics ya UDSM anieleze ina opportunity zipi za kazi kwa sababu mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na nimepata div. One na nataka nifahamu kuhusu hiyo course na wapi ntakuwa nafanya field kama ntakuwa nimesoma...
  5. PATIENCE PB

    Mliochaguliwa Kibaha Boys kidato cha tano

    Ilo ni bweni mojawapo la kidato cha tano hapo kibaha boys. Kwanza nipende kuwapa pongezi sana kwa kuchaguliwa special school.Cha msingi mkifika hapo shule ni kuanza kusoma kwa bidii(msuli) kwa sababu ushindani uliopo pale ni mkali sana ....Usishangae ulikuwa unakimbiza(unaongoza) huko O level...
  6. PATIENCE PB

    Enzi za utoto!!! Tukumbushane

    Tulipokuwa Wadogo,ukienda Kucheza Mbali Na Nyumbani Kidogo Hasa Hasa Mpira Wa Miguu, Mtaa Kwa Mtaa.Ukichelewa Kurudi Nyumbani Tayari Jua Limekwishazama,hapa Kuna Ka-jua Fulani Ka Mwisho Mwisho Hivi Kalikuwa Kanatudanganya Wengi,yani Jua Kama Linachomoza Hivi Kumbe Ndo Linazama,si Tulikuwa...
  7. PATIENCE PB

    Form six mliomaliza mwaka huu, tukutane hapa

    Kwa wale wote form six waliomaliza mwaka huu na hawajaenda JKT tukutane hapa tubadilishane mawazo.......unataja kombi uliyosoma ....pamoja na shule.......mi KIBAHA BOYS(ECA) Haya twende sasa..........
  8. PATIENCE PB

    Msaada kwa anayejua mambo haya ya course za chuo

    Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha 6 (ECA) ,na nategemea kwenda chuo kusomea ualimu wa economics...kama Mungu atajalia matokeo yakatoka vizuri. pia chuo ninachopenda ni UDSM ....vp ni faculty gani nisome? na sio kwamba nataka kusoma education pure. Mungu akijalia nisome tena M.A...
  9. PATIENCE PB

    Joining instruction ya kibaha high school

    Mwenye nayo au uwezekano wa kuipata anisaidie
  10. PATIENCE PB

    Hii namba 0600900, inanipigia kila saa 11 alfajiri

    hii namba 0600900,inanipigia kila siku saa 11 alfajiri kwenye namba yangu ya tigo,leo ni siku ya pili sasa,sa vipi niipokee au?Ila nshasikia ni namba za freemason eti? Eti ukipokea waweza kufa hapo hapo ,naomben mawazo yenu
  11. PATIENCE PB

    Post za kidato cha tano

    ETI NI KWEL POST ZA KWENDA KIDATO CHA TANO ZIKO KARBU KUTOKA? na ni jinsi gan wizara ya elimu inafanya selection.wanatumia wakuu wa shule au computer ndo zinachagua electronically,nijuze wana-jf
  12. PATIENCE PB

    Bam(basic applied mathematics)

    Nilikuwa naomba mnipe topic za bam za advance kuanzia ya kwanza mpaka ya mwisho, ili nione mambo yakoje huko
  13. PATIENCE PB

    Accountancy paper one and two

    mi nilitaka kujua ni vitabu gan ni vizur kutumia advance kwenye hiki kipindi kwani vitabu vingne vpo ila havko relevant na mtaala wa advance ,nisaidieni kama ukinipatia title na mtunz wa hicho kitabu itakuwa poa,mi naijua FRANKWOOD TWO japo haina topic zote
  14. PATIENCE PB

    Underground hip hop

    asee kuna vijana wa tamaduni music chini ya mpishi DUKE,yan hawa vijana nawakubali sana,hasa hasa SONGA NA MOKO WA MIUJIZA kwan licha ya kutoa burudan ,wanatoa elimu pia. HIP HOP,TAMADUNI MUZIK 4EVER,we unamkubal nan hapo tamaduni
  15. PATIENCE PB

    Patience pb wa bukoba

    hodi hodi humu..! mi naitwa patience pb rutta wa bukoba nilikuwa naomba tuwe wote,mi nimemalza kidato cha nne nategemea kwenda cha 5 mwezi wa 7,FOR SURE JAMII FORUM IS A PLACE TO BE!
  16. PATIENCE PB

    Nishaurini kuhusu ECA(Economics,Commerce,account ancy)

    Naombeni ushauri wenu,juu ya hii combination ya ECA,ikoje huko mbele,mi nimemaliza kidato cha 4 na ndio ninategemea kwenda kusoma
Back
Top Bottom