Haya ni mawazo ya hovyo kabisa asee
Yaani Kanda yote ya Ziwa umewaona Dotto na Bashite?
Huwezi kutumia watu wawili kujiridhisha kuwa wote wanachukiwa sio kweli
Mbona Mpina hasemwi si anatoka Kanda ya Ziwa?
Juzi juzi nilienda kumlipa Binti yangu ada kwenye shule fulani ya watoto wa kike kufika office ya Mhasibu nikamkuta mama flani namslimia akanishusha tu akaendelea na mambo yake. Nikamsalimia mara ya pili ndo akanijibu "nimeshakusikia" nikaamua kusubiri alipomaliza mambo yake ndo akaniita "haya...
Acheni kupiga ramli
Kiuhalisia Kuna Tatizo Fulani kwenye mikopo kwa CRDB Bank binafsi Nina mwezi wa pili sasa kila nikienda naambiwa fomu zilishatumwa makao makuu tusubirie.
Na sio mimi tu Nina jamaa zangu kibao mpaka wameamua kukimbilia NMB
Nina uhakika kama serikali ingeweza kudhibitisha pasipo shaka kuwa Mh Mbowe alishiriki ugaidi japo kwa 10% tu basi hata viongozi wa dini wangekesha wakimwomba rais isingewezekana kuachiwa.
Kuachiwa kwa Mbowe ni matokeo ya udhibitisho kuwa kesi yake ilikuwa ya mchongo kwa 100%
Umenikumbusha mama mwenye nyumba aliniletea simu yake nimrekebishie kwamba msg haziingii nikaanza kuzifuta kilichonishangaza nilikuta Kuna chat za Askofu wa AIC wanavunja naye amri ya 7
Nilishangaa sana maana ni watu wa show za kuwa wapo deep kiimani familia mzima na ni mtu mzima sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.